Marekani waongo mno, baada ya kuona Putin katumia makombora ya haipasoniki kuwatandika Ukraine na kuangamiza ngome za kijeshi na maghala ya silaha ya Ukraine, wamekuja na stori ya kujitia moyo na kutafuta tambo (wasionekane wapo nyuma ya Russia kiteknolojia).
Wanadai eti nao Marekani wametesti kimya kimya kombora la haipasoniki wiki mbili nyuma na likafanikiwa. Wanadai eti walijaribu kimya kimya ili wasilete taharuki na Russia kwa kuwa mahusiano ya Marekani na Russia yalikuwa tayari yako tete...
Hawa wapumbavu wanadhani sote ni wajinga, utesti kombora la haipasoniki (habari ya mjini duniani) halafu setilaiti za Russia na China zisijue kuhusu hilo jaribio lako, wala super power hao wawili wasiliripoti!
Itakuwa walijaribishia kombora hilo chumbani kwa Biden, na halikutoka nje ya kuta nne za chumba chake.
View attachment 2178481