Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wakati Marekani yupo kwenye majaribio Urusi ameshalitumia tayari na dunia yote imeona.

Wakati huo kumbuka US,UK na Australia kwa pamoja wameungana kuliunda hilo dude ambalo Mrusi tayari analifanyia kazi.

Siku Marekani na kombinenga yake akifanikiwa kulitengeneza jua Urusi tayari atakuwa amepata rada yake.
Mkuu mbona anayo Ile s 550
 
Endelea kuota na kujifariji...

Ungeamua kutumia kiasi kidogo cha akili uliyopewa bure na Mungu, ungejiuliza kwa nini Zelensky wa Ukraine alikuwa akilialia kila wakati na kila siku akiomba mazungumzo na Putin wakati Putin akiendelea na mishe yake ya kumchapa kimyakimya...

Kwenye ngumi, ukim-mudu na kumtwanga vyema adui yako huna haja ya kulialia kwa kuwa wewe ndiyo unashinda mechi hiyo...ila kama gemu limekuwa zito kwako na unapokea kichapo cha mbwa koko, ni lazima utakuwa walialia na kuomba kila mtu asaidie kuwaamua na kukuokoa na kichapo
kumbe hata watuts wanao lialia waliuawa sana basi walishindwa vita ?
 
Ww jamaa nadhani una uchungu na Ukraine kuliko hata rais nchi hiyo maana si kwa povu hili bila shaka vita ikiisha utapewa na uraia kabisa.
mbona sio povu hilo , hapo anakupa shule tu
 
Nafuu ungekuwa walau Kilaza ungejaribu kuficha Upumbavu wako.....lakini kwa bahati mbaya Ubongo wako umejaa kamasi na ndio maana unaleta hoja nyonge na dhifu zisio na mashiko
jamaa katoa hoja yake , na ww hoja yako ni ipi ? kumbuka huu sio uwanja wa kutia hudhuni , weka content mezani
 
EU country summons Ukrainian ambassador over “insults”


Hungary’s Foreign Ministry summoned the Ukrainian ambassador Wednesday over Kiev’s harsh criticism of Budapest’s stance on Russia’s ongoing military operation in Ukraine.


It was “time for Ukrainian leaders to stop their insults directed at Hungary,” the EU country’s FM Peter Szijjarto wrote on Facebook, insisting that Kiev should “acknowledge the will of the Hungarian people,” referring to Sunday’s election, in which Viktor Orban won by a landslide.


Ukrainian ambassador to Hungary, Lyubov Nepop, will now have to explain Zelensky’s words, claiming Tuesday that Orban feared Russia’s influence and warned that Hungary would eventually be forced to choose between Moscow and the “other world.”
 
duh mahaba mabaya sana.
1.hivi russia ndo amemweka assad madarakani?
2.hivi umewahi sikia putin amesema anataka kuteka kiev na kumuondoa zelensky madarakani?sijui vyanzo vyako vya habari ni vya nchi gani.
3..Mbona zelensky ameshasema siku nyingi kuwa hatojiunga na NATO tena.
bang zinakupeleka pabaya , fuatilia ujue vitu
 
Wao wanaongea sisi tunapiga. Mpaka lengo lifikiwe. Sanctions zitaisha zote.


Armed Forces of the Russian Federation delivered strikes with two high-precision Onyx missiles - targeting military infrastructure of the Armed Forces of Ukraine
 
Urussi avuliwa chupi tena, mnakumbuka zile habari uchwara kwamba majeshi ya Ukraine 267 wamesalimu amri. Wataalam was vita na Ukraine wamepinga.

-Uliona wapi mateka akaruhusiwa kua na pistol yake.
-Mateka hawana majeraha wala tone la damu
-Mateka nguo safi
IMG_20220406_212236.jpg
IMG_20220406_212303.jpg
 
NATO countries divided into two camps on the issue of relations with Russia - media.

According to The New York Times, citing sources, Poland, Lithuania, Latvia and Estonia are in favor of a complete break in dialogue with the Russian Federation.

But Germany, France and Turkey intend to maintain contacts with the Russian authorities, regardless of what is happening.
 
MKUU bado tu huelewi PROPAGANDA
JAMAA wameadhimia kuipaka matope RUSSIA yaani watafanya kila MABAYA ama kila UONGO halaf waitupie lawama RUSSIA na PUT IN
Wanachokifanya hao jamaa nikuipa jina baya RUSSIA ili ulimwengu uwaone RUSSIA wauaji wabaya nk lakini sivyo ilivyo
Mauaji ya BUCHA kuna mawili eidha wameyafanya wenyewe halaf wakaituhumu RUSSIA ama nimatukio tu yakutungwa nandio maana msemaji wa wizara yamambo ya nje ya UCHINA leo akasema picha zinaogofya ila hawawezi wakalaani ama wakalaumu bila kufanyika uchunguzi
Kwenye mgogoro wa SYRIA jamaa walikuja wakaibua shutma kama ASSAD alitumia silaha za kemikali ili wpate kisingizio na sababu yakumnyoosha walipoambiwa walete ushahidi kwamba ASSAD katumia silaha za SUMU jamaa mpaka leo hawajulikani walipokimbilia yaaani
Mwisho hata IRAQ walisema wana silaha za SUMU sijui NYUKLIA wakapata sababu yakuivamia kijeshi toka mwaka 2003 mpaka leo umeona ushahidi juu ya silaha walizodai zipo IRAQ
Ila kwakua hizi shutma zipo kwa GIANT kama RUSSIA upe muda nafasi yake utakupa majibu ila tukio la BUCHA ni uongo wawaaazi kabisaaaa
Maiti zenyewe za mchongo. Toka lini maiti isogeze mkono gari ikimkaribia?
Halafu mbona maiti zenyewe zipo kwenye mpangilio!!!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
mbna Venus Star ni mkristo tena umifatilia thread zake nyingi za nyuma ni za Kidini za kichrsto
mfano hii


na hata hao wengine pia hvyhvyo
Au umekosa HOJA mzee
Nafurahi sana mtu anapobuni dini ya mtu. Mimi ni mkristo tena hai. Sasa mtu akidhani tunaounga mkono Russia ni waislamu tu kapotea tena mbali sana.

Hata hoja zao zimepotea. Hawana hakika na wanachoongea.

Laiti wangejua malengo ya NATOAMERICA wasingemwabudu USA.
 
MKUU bado tu huelewi PROPAGANDA
JAMAA wameadhimia kuipaka matope RUSSIA yaani watafanya kila MABAYA ama kila UONGO halaf waitupie lawama RUSSIA na PUT IN
Wanachokifanya hao jamaa nikuipa jina baya RUSSIA ili ulimwengu uwaone RUSSIA wauaji wabaya nk lakini sivyo ilivyo
Mauaji ya BUCHA kuna mawili eidha wameyafanya wenyewe halaf wakaituhumu RUSSIA ama nimatukio tu yakutungwa nandio maana msemaji wa wizara yamambo ya nje ya UCHINA leo akasema picha zinaogofya ila hawawezi wakalaani ama wakalaumu bila kufanyika uchunguzi
Kwenye mgogoro wa SYRIA jamaa walikuja wakaibua shutma kama ASSAD alitumia silaha za kemikali ili wpate kisingizio na sababu yakumnyoosha walipoambiwa walete ushahidi kwamba ASSAD katumia silaha za SUMU jamaa mpaka leo hawajulikani walipokimbilia yaaani
Mwisho hata IRAQ walisema wana silaha za SUMU sijui NYUKLIA wakapata sababu yakuivamia kijeshi toka mwaka 2003 mpaka leo umeona ushahidi juu ya silaha walizodai zipo IRAQ
Ila kwakua hizi shutma zipo kwa GIANT kama RUSSIA upe muda nafasi yake utakupa majibu ila tukio la BUCHA ni uongo wawaaazi kabisaaaa
India tayari wamelaani mauaji ya Putin Bucha, wewe komaa hapo hapo.

NEW DELHI, April 5 (Reuters) - India on Tuesday condemned the killings of civilians in Ukraine's Bucha and called for an independent investigation, having earlier declined to explicitly criticise the invasion of Ukraine by its long-time partner Russia.
Recent reports of civilian killings in Bucha are deeply disturbing," T.S. Tirumurti, India's permanent representative to the United Nations, told a meeting of the Security Council.

"We unequivocally condemn these killings and support the call for an independent investigation."

Tirumurti delivered his speech shortly after U.S. Secretary of State Antony Blinken had a phone conversation with India's foreign minister, Subrahmanyam Jaishankar. The United States has repeatedly urged India to condemn Russia's aggression since the Feb. 24 invasion.
 
Wakati anaamrisha majeshi yake kuivamia Ukraine bwana Putin alidai anataka kuondoa Manazi wanaoiongoza serikali ya Ukraine, hiyo ilikuwa tarehe 24 March, leo ni zaidi ya mwezi hawajaweza kuondoa hata nazi moja pale Kyiv,

Tarehe 19 March mwaka 2003, majeshi ya marekani yalianza kuishambulia Iraq kwa lengo la kumuondoa Rais Sadamu madarakani eti kwa sababu alikuwa anamiliki siraha za maangamizi.

anyway, wote, USA na Russia walitoa sababu za kijinga sana kuvamilia mataifa hayo mawili, lakini wote walikuwa na objective moja, kuangusha tawala za mataifa hayo.

Tarehe 9 April 2003, serikali ya Sadamu ilianguka, ilichukua wiki tatu kwa wamerekani kutimiza lengo.
leo ni zaidi ya mwezi toka Russia waivamie Ukraine, walichofanikiwa ni kubadili malengo ya uvamizi wao

nadhani nimeeleweka nachozungumzia.
Marekani alisaidiwa na wachumba zake wote wa ulaya. Pia washirika wao wa kiarabu. Tena hao mashoga walivyokuwa waoga,walikuwa wakishambulia kupitia angani kwakuwa Iraq hakuwa na ulinzi imara wa anga. Ardhini waliingia kwanza waarabu na wa Iran. Ndipo mashoga wakaingia baada ya kusafishiwa njia.

Hii ndiyo sababu mtoto wa Sadamu akawaambia "makomandoo wao ni wazuri kwenye movie"
Bila waarabu na wafursi marekani na NATO wangekesha

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom