Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Gharika ya hadithi za kuficha hali... wanahabari walifika wakaongea na wakazi walioona mauaji. Walisema wengi waliuawa na kuzikwa tayari wakati Warusi bado walikuwepo . . .
Sioni hii ilikuwa amri kutoka juu, ni matendo ya wanajeshi waliokata tamaa, wakiongozwa vibaya.
Mambo haya yametokea katika vita mbalimbali na pande mbalimbali (Marekani Vietnam - My Lai..) ... ni sehemu ya unyama unaosababishwa na vita na mauaji, kupaswa kuua wenyewe na kuona jinsi gani rafiki anauawa karibu na mimi. --

Lakini kujaribu kuificha kwa uwongo ni bure. Kuna mashahidi wengi mno waliobaku ambao wanatoa ushuhuda . . .
MAsimulizi hayo ni ya kitoto, eti Waukraine wanasafirisha lori la maiti na kuyamwaga barabarani . . . - mashahidi ni wengi mno
Mwanzoni hapa tulionya saaaaana, tena saaaaana kuwa kuwapa Raia silaha ni ujinga na italeta maafa makubwa zaidi, pia raia waliambiwa waondoke na waache silaha chini wao wakajikuta makomandoo.
Silaha zinafichwa kwenye makazi ya watu na kwenye masuper market, mlitarajia hiko kichapo kitapelekwa baharini sio??
 
Russia kasafisha jina kwenye vita hiyo, kaweka heshima kiasi kwamba nchi nyinginezo maadui zitakuwa zaogopa kuichokonoa zikijuwa kuwa jamaa wakikasirika huwa wanageuza miji magofu na vifusi....

Halafu pamoja na kichapo chote kile, Russia wao wanaita eti operesheni maalumu ya kijeshi🤣😂😃
We kutu aibu aliyoipata russia vita ukraine bado una ujasiri wa kuandika hivi? Kwanini russia mission yake ya kumtoa Zelensky haikukamilika na kumuweka wakala wake kama alivyomueka Asad Syria???

Amevamia mtupu mtupu na kumalizia mtupu mtupu, sasaiv Zelensky ana hiyari yake kujiunga na NATO au umoja wa ulaya au aache kwa sababu zake binafsi na watu wa Ukraine lakini sio kwa hofu ya russia tena,

Putini ameshindwa kw aibu kubwa lakini udhaifu wake amewapa advantage Marekani kumsoma na kwamba sivyo walivyokuwa wanaitarajia russia, kumbe ni nchi dhaifu sana kw vita, silaha zake kabakiwa na nuclear tu, kashindwa kutoboa ukraine
 
Mwanzoni hapa tulionya saaaaana, tena saaaaana kuwa kuwapa Raia silaha ni ujinga na italeta maafa makubwa zaidi, pia raia waliambiwa waondoke na waache silaha chini wao wakajikuta makomandoo.
Silaha zinafichwa kwenye makazi ya watu na kwenye masuper market, mlitarajia hiko kichapo kitapelekwa baharini sio??
Unajaribu sasa yaleyale kama mwenzako huko juu kwenye #25,241 ? Maiti hizo za Bucha sasa ni watu walioshambulia Warusi kwa silaha??
Ajabu jinsi gani wengine wanajaribu kuficha ukweli kwa maelezoy asiyo na msingi wowote. Angalia majaribio ya Warusi wenyewe. Hii hadithi yako hawakujaribu bado!
Wanajaribu kuuza
a) wanazi Ukraine walichinja watu (raia wao wenyewe)
na ilhali mantiki ya hadithi hii ni dhaifu mno, wameleta hadithi nyingine
b) Waukraine walileta mizigo kadhaa ya maiti na kuzimwaga barabarani kabla ya kuruhusu wanahabri kufika.

Kwa bahati mbaya kwa Putin, na habari nzuri kwa ukweli, kuna mashahidi wengi walioishi muda wote chini ya mamlaka ya askari wa Putin . . .
Basi, nenda ukatunge hadithi mpya.
 
Kumbe marafiki wa Ukraine nchini Belarus (jeshi la Urusi lilishambulia Kyiv kutoka Belarus) walikopi na kutuma picha za kamera ya usalama katika duka la huduma ya kusafirisha vifurushi (kama posta ya binafsi) ambao askari Warusi waliorudi kutoka Ukraine walituma mizigo kwao nyumbani. Video hii inaleta picha kwamba askari hao waliiba vitu wakiwa Ukraine na kuvituma sasa kwa familia nyumbani.
Naambatanisha taarifa kutoka Hajun Project published the data of Russian marauder soldiers, who may be involved in crimes on the territory of Ukraine
Kama taarifa ni sahihi, ni dalili nyingine kwa hali ya duni ya nidhamu katika jeshi hilo. Angalau kuiba vitu si vibaya kama kuua hovyo jinsi walivyofanya hao wa kikosi cha 64 mjini Bucha! (ambayo naona pia kama jinai zilizotokana na jeshi lenye nidhamu ya duni inayojaa hofu na chuki..)

motolko.help

Hajun Project published the data of Russian marauder soldiers, who may be involved in crimes on the territory of Ukraine​

Yesterday, April 3, the Hajun Project published a 3-hour recording from an online camera of the CDEK delivery service in Mazyr (Belarus), through which soldiers of the Russian Armed Forces send, among others, things stolen from Ukrainian citizens.

Now the monitoring group of the Hajun Project has received an impressive set of personal data on criminals, who, according to the authors of the project, should be held responsible for stealing and killing people in Ukraine.
Thanks to this data, it became known that most of the Russian Armed Forces soldiers, who sent things from Mazyr, live in Rubtsovsk (Altai Krai, Russia), and that some of them also sent things to:
  • Gornyak (Altai Krai),
  • Chita (Zabaykalsky Krai),
  • Zheleznogorsk (Krasnoyarsky Krai),
  • Omsk,
  • Ulyanovsk,
  • Novosibirsk,
  • Moscow,
  • Angarsk (Irkutsk region),
  • Ussuriysk (Primorsky Krai),
  • Birobidzhan (Jewish Autonomous Oblast).
It is known that in one day, April 2, the soldiers of the Russian Armed Forces handed in for shipment to the office of the Russian CDEK express delivery service on Kuibysheva street, 32 in Mazyr (Belarus) more than 2 tons of things, a significant part of which is stolen.
The project published the names, phone numbers, and parcel contents of those soldiers who sent parcels of 50-450 kilograms to Russia. We publish this data unchanged.
Hajun Project published the data of Russian marauder soldiers, who may be involved in crimes on the territory of Ukraine

Screenshots with the faces of Russian soldiers at the CDEK office in Mazyr, 02.04.2022 / Hajun Project​

  • Kovalenko Yevgeny Yevgenievich sent 450 kg. of tools, music speakers, a table, a tent, etc. to Rubtsovsk. Phone number: +79130213100
  • Lazarev Artyom Petrovich sent 255 kg. of spare parts and an electric scooter to Rubtsovsk. Phone number: +79132257343
  • Nikolayev Pavel Aleksandrovich sent 205 kg. of tools, a TV and a chair to Rubtsovsk. Phone number: +79235652819
  • Serdtsev Andrei Nikolayevich sent 150 kg. of tools, clothes and a TV to Rubtsovsk. Phone number: +79831816692
  • Valiyev Georgy Muratovich sent 150 kg. of tools and clothes to Rubtsovsk. Phone number: +79133660555
  • Stepanov Nikolai Nikolayevich sent 140 kg. of spare parts and air conditioners to Ussuriysk. Phone number: +89146747822
  • Kanbolatov Eldar Arslanovich sent 140 kg. of tools and clothes to Rubtsovsk. Phone number: +79230096646
  • Zhukovsky Roman Aleksandrovich sent 130 kg. of tools, clothes and a TV to Rubtsovsk. Phone number: +79133615429
  • Chuchalin Yevgeny Viktorovich sent 100 kg. of tools, clothes and a few TVs to Rubtsovsk. Phone number: +79230018617
  • Voloshchuk Ivan Ivanovich sent 95 kg. tools, clothes and a TV to Rubtsovsk. Phone number: +79627939791 (wife’s/mother’s phone number)
  • Kolotsei Sergey Aleksandrovich sent a 90 kg. trunk lid to Ulyanovsk. Phone number: +79378814554 (relative’s number)
  • Yushin Vladimir Sergeyevich sent 85 kg of clothes to Chita. Phone number: +79243830515
  • Grigorian Artur Ashotovich sent 60 kg. of clothes, batteries and spare parts for PC to Gornyak. Phone number: +79831066239
  • Shulaikin Nikolai Nikolayevich sent 60 kg. of clothes and fishing supplies to Birobidzhan. Phone number: +79142155101
  • Datsyuk Ivan Andreyevich sent 60 kg of clothes to Rubtsovsk. Phone number: +79137976731
  • Kuzmin Igor Sergeyevich sent 50 kg. of tools and clothes to Rubtsovsk. Phone number: +79236497934
You can subscribe to the Hajun Project and our Twitter, you can also report anonymously any information concerning the Russian Armed Forces soldiers and movement of military equipment on the territory of Belarus to the monitoring group via @HajunBYbot.

На русском языке: «Беларускі Гаюн» опубликовал данные солдат-мародёров ВС РФ, которые могут быть причастны к преступлениям на территории Украины
 
Unajaribu sasa yaleyale kama mwenzako huko juu kwenye #25,241 ? Maiti hizo za Bucha sasa ni watu walioshambulia Warusi kwa silaha??
Ajabu jinsi gani wengine wanajaribu kuficha ukweli kwa maelezoy asiyo na msingi wowote. Angalia majaribio ya Warusi wenyewe. Hii hadithi yako hawakujaribu bado!
Wanajaribu kuuza
a) wanazi Ukraine walichinja watu (raia wao wenyewe)
na ilhali mantiki ya hadithi hii ni dhaifu mno, wameleta hadithi nyingine
b) Waukraine walileta mizigo kadhaa ya maiti na kuzimwaga barabarani kabla ya kuruhusu wanahabri kufika.

Kwa bahati mbaya kwa Putin, na habari nzuri kwa ukweli, kuna mashahidi wengi walioishi muda wote chini ya mamlaka ya askari wa Putin . . .
Basi, nenda ukatunge hadithi mpya.
We jamaa mara ya kwanza nilikuwa nakuona una busara kumbe nilikuwa nakosea.
Majeshi ya Urusi yana karibia siku 4 yameondoka lakini maiti hazijaharibika na nguo na viatu walizo vaa ni safi.

Na mbaya zaidi meya wa mji huo wa bucha alidhibitisha siku 3 zilizo pita ya kwamba majeshi ya Urusi yameondoka lakini hakutaja hizo maiti leo baada ya siku mbili unasema raia wamekufa mitaani ina maana mara ya kwanza walikuwa vipofu mpaka wasizione hizo maiti?


Alafu kingine unashindwa kufikilia hata kwa akili ya kawaida ya kwamba Urusi inaweza kuacha ushahidi wowote utakao mchafulia jina kwa faida ipi atakayo ipata kwa kuuwa raia alafu maiti atandaze barabarani?

Mkuu punguza mihemko hata kama ni chuki hii imevuka mipaka.
Hao unao watetea na kuwaona wema ndio vinara wa mauaji ya mamilioni ya watu duniani.
 
Shame on you ....nenda kawaambie bush kule iraq na ....tony blair ....na akina obama kule libya wamefanyaje sasa hivi wanaiba mafuta ya walibya huku wao wakiwapa silaha wauwane ...damu ya waliowaua itawalilia hadi vizazi vya 5......6......kalaka baho wewe na wamarekani wenzio ....fool u
Nilishakwambia wewe kunywa maziwa kwanza ushibe,bado una shombo la maziwa hebu kwanza walau ota baby teeth ndiyo uje kuniquote[emoji846]
 
Warusi Wanafukuzwa kama mbwa??!!---- vipi wale wanajeshi wa Ukraine nao unasemaje ??!!-- si wanauliwa na Russians hadi wanajificha kama panya.🤣

Mngeteka Kiev ningewaona wa maana, ila haya ni makelele bwana sheikh, umefuturu?
 
Unajaribu sasa yaleyale kama mwenzako huko juu kwenye #25,241 ? Maiti hizo za Bucha sasa ni watu walioshambulia Warusi kwa silaha??
Ajabu jinsi gani wengine wanajaribu kuficha ukweli kwa maelezoy asiyo na msingi wowote. Angalia majaribio ya Warusi wenyewe. Hii hadithi yako hawakujaribu bado!
Wanajaribu kuuza
a) wanazi Ukraine walichinja watu (raia wao wenyewe)
na ilhali mantiki ya hadithi hii ni dhaifu mno, wameleta hadithi nyingine
b) Waukraine walileta mizigo kadhaa ya maiti na kuzimwaga barabarani kabla ya kuruhusu wanahabri kufika.

Kwa bahati mbaya kwa Putin, na habari nzuri kwa ukweli, kuna mashahidi wengi walioishi muda wote chini ya mamlaka ya askari wa Putin . . .
Basi, nenda ukatunge hadithi mpya.
Ni aibu kubwa sana kwa Russia,wametenda ukatili wa kupindukia mpaka wao wenyewe hawataki kuamini kama ni askari wao ndiyo wamefanya unyama ule.Unashindwa kupigana na Wanajeshi unakimbilia kuua raia na bado unataka tuamini ni Super power kijeshi.Hili halitapita bure na huyo Monster Putin atalipia huu unyama wote aliowatendea raia wasiyo na hatia
 
Vipi leo unapingana na.maneno ya kipenzi chako Beberu Muamerika??--- yeye anasema hizo drones ni kaput, na Russia kazidondosha kibao !!🤣.

Kumbuka hizo drones hazitolewi bure na Turkey na hizo zimeundwa kwa technology hafifu sana ndio maana zilipelekwa huko hasa ni katika.majaribio na zime prove failure , America hawezi kupeleka huko advanced Drones zake akiogopa kama zitatunguliwa.hiyo ni sawa na kuuza technology nk, kwa adui kwani Warusi watachukua hayo mabaki na kwenda kuyafanyia uchunguzi wa kifundi na kitechnology.

Kudondoshwa kwa drones sio maajabu, kikubwa ni kile zimefanya, zimemtesa sana huyo mtume wenu Putin......
 
Wewe naye huwa mweupe kweli...waleta stori kavu kavu kama upo kwenye kijiwe cha kahawa....

We wazungumzia Poland sijui Finland, ambavyo ni vifaranga vya Marekani, wakati Marekani yenyewe baba yao yamuogopa na kumgwaya huyo Russia!

Washindwe NATO (muungano wa nchi 30 tena zenye nguvu na maeneo makubwa zaidi kwa ujumla) aweze Finland[emoji1787][emoji23][emoji1][emoji38]

Achilia mbali hivyo vinchi viwili ambavyo wala havina nguvu yoyote ilee...chukua Marekani + Nchi 29 zingine za NATO, zote zinamuogopa Russia mmoja na Russia akiwatajia nukes tu wanaanza kulialia
Majibu yako ni haya
JamiiForums-248235958_500x496.jpg
 
Kudondoshwa kwa drones sio maajabu, kikubwa ni kile zimefanya, zimemtesa sana huyo mtume wenu Putin......


Kipenzi chako the US anasema hizo drones si chochote nashangaa wewe bado wazitetea kana kwamba na wewe Leo upo vitani ukimpambania rafiki yako Zelensky.

Sasa Tumuamini Muamerika anayejua habari zaidi za hiyo vita au tukuamini wewe uliokuwepo Machakos ??!!
 
Mngeteka Kiev ningewaona wa maana, ila haya ni makelele bwana sheikh, umefuturu?


Silaha mnazompa nyie NATO na Muamerika isingewezekana kuikamilisha kazi ya kuiteka Ukraine kwa muda uliopangwa lakini retreating is a part of war strategies--- after re grouping Russia will be back to finish the mission.

Ninakula daku saahii, karibu.
 
We kutu aibu aliyoipata russia vita ukraine bado una ujasiri wa kuandika hivi? Kwanini russia mission yake ya kumtoa Zelensky haikukamilika na kumuweka wakala wake kama alivyomueka Asad Syria???

Amevamia mtupu mtupu na kumalizia mtupu mtupu, sasaiv Zelensky ana hiyari yake kujiunga na NATO au umoja wa ulaya au aache kwa sababu zake binafsi na watu wa Ukraine lakini sio kwa hofu ya russia tena,

Putini ameshindwa kw aibu kubwa lakini udhaifu wake amewapa advantage Marekani kumsoma na kwamba sivyo walivyokuwa wanaitarajia russia, kumbe ni nchi dhaifu sana kw vita, silaha zake kabakiwa na nuclear tu, kashindwa kutoboa ukraine
Endelea kuota na kujifariji...

Ungeamua kutumia kiasi kidogo cha akili uliyopewa bure na Mungu, ungejiuliza kwa nini Zelensky wa Ukraine alikuwa akilialia kila wakati na kila siku akiomba mazungumzo na Putin wakati Putin akiendelea na mishe yake ya kumchapa kimyakimya...

Kwenye ngumi, ukim-mudu na kumtwanga vyema adui yako huna haja ya kulialia kwa kuwa wewe ndiyo unashinda mechi hiyo...ila kama gemu limekuwa zito kwako na unapokea kichapo cha mbwa koko, ni lazima utakuwa walialia na kuomba kila mtu asaidie kuwaamua na kukuokoa na kichapo
 
Back
Top Bottom