Finland wamesema wanamtaka Mrusi, Poland naye kasema yuko tayari kupokea nukes za US, sasa Mrusi afurukute kwa kuzivamia kama alivyoahidi.Russia kasafisha jina kwenye vita hiyo, kaweka heshima kiasi kwamba nchi nyinginezo maadui zitakuwa zaogopa kuichokonoa zikijuwa kuwa jamaa wakikasirika huwa wanageuza miji magofu na vifusi....
Halafu pamoja na kichapo chote kile, Russia wao wanaita eti operesheni maalumu ya kijeshi[emoji1787][emoji23][emoji2]
duh wamezidiwa au ?Video ya wanajeshi wa ukraine waliyokuwa kwenye mji wa Mariupol baada ya kujisalimisha
Wanajeshi 270 wa ukraine kutoka kikosi 503 baada ya kujisalimisha Mariupol
Wewe naye huwa mweupe kweli...waleta stori kavu kavu kama upo kwenye kijiwe cha kahawa....Finland wamesema wanamtaka Mrusi, Poland naye kasema yuko tayari kupokea nukes za US, sasa Mrusi afurukute kwa kuzivamia kama alivyoahidi.
Kwa ile habari bucha kama wameiona lažima wainue mikono juuVideo ya wanajeshi wa ukraine waliyokuwa kwenye mji wa Mariupol baada ya kujisalimisha
Nyie jamaa mnachekesha, it is true mrusi ameharibu miji ya Ukrein, lakini naye amepoteza wanajeshi wake wengi, vifaru nadhani 80% ya vifaru vya kirusi vilipondwapondwa na St Jevelin ya muingereza, amepoteza ndege, magari mengi ya kivitaRussia kasafisha jina kwenye vita hiyo, kaweka heshima kiasi kwamba nchi nyinginezo maadui zitakuwa zaogopa kuichokonoa zikijuwa kuwa jamaa wakikasirika huwa wanageuza miji magofu na vifusi....
Halafu pamoja na kichapo chote kile, Russia wao wanaita eti operesheni maalumu ya kijeshi[emoji1787][emoji23][emoji2]
Gharika ya hadithi za kuficha hali... wanahabari walifika wakaongea na wakazi walioona mauaji. Walisema wengi waliuawa na kuzikwa tayari wakati Warusi bado walikuwepo . . .Ex-deputy of Rada Kiva - about what happened in Bucha:
“The whole story with Bucha was planned and prepared in advance by the counterintelligence of Ukraine.
They arrived early in the morning, cordoned off the area, scattered the corpses, and then overtook the journalists there. For this, this jester Zelensky even returned.”
Galip SV View attachment 2175866
We endelea kuota njozi za mchana utashtuka pale utakapojimwagia maji ya chumvichumvi....Nyie jamaa mnachekesha, it is true mrusi ameharibu miji ya Ukrein, lakini naye amepoteza wanajeshi wake wengi, vifaru nadhani 80% ya vifaru vya kirusi vilipondwapondwa na St Jevelin ya muingereza, amepoteza ndege, magari mengi ya kivita
Duh...watanzania sisi kwa ujuaji ndio wenyewe....wewe unaangalia close up...unsfahamu kuanzia mita 30 au 50 kutoka kwa Zelensky Kuna ulinzi gani? Bila Shaka brigade nzima au hata mbili zimetanda mpaka kievUlinzi wa Zalensky kipindi cha vita ni mdogo ukilinganisha na ulinzi wa kila siku wa marais wetu Afrika .Marais Afrika wanahofia nini?