Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani imesema drones za Turkey aina ya Bayraktar TB2 zilishindwa kuyakinga majeshi ya aridhini ya Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Russia kwa kuwa mifumo ya ulinzi ya anga iliyokuwa ikitumiwa na majeshi ya Russia ilikuwa ikizidungua kwa urahisi droni hizo.

Marekani yasema udhaifu wa droni hizo ktk kuharibiwa na mifumo ya usalama ya anga na hivyo kushindwa kulinda majeshi ya aridhini dhidi ya mashambulizi ya maadui unaonekana hata ktk mapigano ya Libya ambapo jumla ya drones hizo 39 zilidungushwa na kupotea, huko Syria droni 8 za aina hiyo hiyo zilidunguliwa, droni tatu zilidunguliwa katika mapigano ya Nagorno-Karabakh, na sasa hivi wanaendelea kuzihesabu idadi za droni hizo zilizodunguliwa na majeshi ya Russia huko Ukraine.

=======
View attachment 2175672View attachment 2175673
Bora turkey alitoa zake yeye kama anahisi anazo za ukweli si apeleke tu. Raisi wa Ukraine amemuomba silaha muda mrefu US anapiga tu domo. Apeleke tujue kama yaliyomo yamo sio kuanza kudiss za wenzake
 
Russia kasafisha jina kwenye vita hiyo, kaweka heshima kiasi kwamba nchi nyinginezo maadui zitakuwa zaogopa kuichokonoa zikijuwa kuwa jamaa wakikasirika huwa wanageuza miji magofu na vifusi....

Halafu pamoja na kichapo chote kile, Russia wao wanaita eti operesheni maalumu ya kijeshi🤣😂😃
Leo nlikuwa natazama Aljazeera anahojiwa waziri flani wa Poland, anasema wanaogopa atakayefuata ni Poland 🤣🤣
 
Orc Bure kabisa kichapo kikizidi wanafungua matairi wanakimbia magari yao wanayaacha barabarani
 
Marekani imesema drones za Turkey aina ya Bayraktar TB2 zilishindwa kuyakinga majeshi ya aridhini ya Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Russia kwa kuwa mifumo ya ulinzi ya anga iliyokuwa ikitumiwa na majeshi ya Russia ilikuwa ikizidungua kwa urahisi droni hizo.

Marekani yasema udhaifu wa droni hizo ktk kuharibiwa na mifumo ya usalama ya anga na hivyo kushindwa kulinda majeshi ya aridhini dhidi ya mashambulizi ya maadui unaonekana hata ktk mapigano ya Libya ambapo jumla ya drones hizo 39 zilidungushwa na kupotea, huko Syria droni 8 za aina hiyo hiyo zilidunguliwa, droni tatu zilidunguliwa katika mapigano ya Nagorno-Karabakh, na sasa hivi wanaendelea kuzihesabu idadi za droni hizo zilizodunguliwa na majeshi ya Russia huko Ukraine.

=======
View attachment 2175672View attachment 2175673
Mbona tuliambiwa zimempiga sana Mrusi

Kweli uongo huwa haudumu.
 
Back
Top Bottom