Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,367
- 12,362
Vita bado haijaisha tu
🇦🇺🇷🇺🇺🇦Australia is banning exports of some luxury goods to Russia, including jewelry, gold, wines, vehicles and furs, over the situation in Ukraine, the country's Department of Foreign Affairs and Trade (DFAT) said.
Poland wanamchelewesha Sana kumpa gonorrhea sugu.Leo nlikuwa natazama Aljazeera anahojiwa waziri flani wa Poland, anasema wanaogopa atakayefuata ni Poland [emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16]Nyie jamaa mnachekesha, it is true mrusi ameharibu miji ya Ukrein, lakini naye amepoteza wanajeshi wake wengi, vifaru nadhani 80% ya vifaru vya kirusi vilipondwapondwa na St Jevelin ya muingereza, amepoteza ndege, magari mengi ya kivita
Lengo si kuikalia Ukrain yote kimabavu na kuweka utawala papet?
Kipenzi chako the US anasema hizo drones si chochote nashangaa wewe bado wazitetea kana kwamba na wewe Leo upo vitani ukimpambania rafiki yako Zelensky.
Sasa Tumuamini Muamerika anayejua habari zaidi za hiyo vita au tukuamini wewe uliokuwepo Machakos ??!!
Drone moja kabla kudunguliwa ilikua inalamba vifaru kama ishirini hivi, ukizingatia gharama ya kifaru kimoja inazidi drone kwa mbali, hehehe Putin anajutia sana.Silaha mnazompa nyie NATO na Muamerika isingewezekana kuikamilisha kazi ya kuiteka Ukraine kwa muda uliopangwa lakini retreating is a part of war strategies--- after re grouping Russia will be back to finish the mission.
Ninakula daku saahii, karibu.
Kabisa mkuu putini katutesa sana kisaikolojia
Kupenda kwako tabia za kish... zinakuharibu akili. Mkuu wa mashoga duniani anasema drones za Uturuki hazikufua dafu,we mfuasi unapinga. Unathubutu kupingana na mfadhili wako!?Isingekua kwa hizo drones, Putin angekua keshateka Ukraine kitambo, ila zimemtesa hadi raha.
Maustadh mnapaswa mpunguze mahaba kwa Putin hiki kipindi cha mfungo, kidogo mumkumbuke muddy.
Kupenda kwako tabia za kish... zinakuharibu akili. Mkuu wa mashoga duniani anasema drones za Uturuki hazikufua dafu,we mfuasi unapinga. Unathubutu kupingana na mfadhili wako!?
Akikasirika akakata ufadhili sijui K-... mtazitoa wapi
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Habari zako za ajabu.... Habari zilizojulikana nje ya JF: Kamanda Mrusi aliamuru wanajeshi wake kujenga mahandaki katika msitu wa Chernobyl . sehemu penye machafuko makali bado ya vumbi lenye mnururisho wa nyuklia. Baada ya muda mfupi askari walianza kuonyesha dalili za ugonjwa wa mnururisho. Walikimbia haraka wakapelekwa Belarus.😆😅😄😁 Eti Chornobyl imekombolewa na majeshi ya Ukraine!
Ebu kuweni siriazi kidogo jamani...na muwe mnakuja na taarifa walau za kushawishi akili.
Majeshi ya Russia yaliamua kuwapa/kuirejesha Chernobyl bureee kwa Ukraine toka tarehe 1 April baada ya mazungumzo ya amani, na majeshi hayo yakaondoka zake hilo eneo...sasa leo tarehe 5 nyie mnadai mmeikomboa Chornobyl! Kupewa pasi kupigania ndiyo kukomboa?!
View attachment 2176132
Ukipewa propaganda ili usambaze - huangalii ukweli wake???The West refused to hold a meeting of the UN Security Council on the situation in Bucha at the request of Russia, as this would undermine the anti-Russian plot - permanent representative.
According to him, Britain refused to hold an emergency meeting on April 4 on Bucha, as it considered that this situation did not require immediate action by the UN Security Council.
Galip SV
Urusi ya kifisadi haiwezi kuwa na ushindi wa kizalendo. Urusi inayotumia Wezi zaidi kujinufaisha binafsi kama kina Abromo!!Tatizo watu wanalinganisha urusi ya zamani ile ya kijamaa ya wazalendo wa kweli wa Russia hii ya zamani yakikundi kidogo cha mafisadi wa Jeshi wakiongozwa na Putin kisicho na support ya majority ya warusi
Hii ya Putini ya mafisadi magenerali wa Jeshi na Putin