Hapo kwenye vifaru 80% sio kweli, sema 95-97%Nyie jamaa mnachekesha, it is true mrusi ameharibu miji ya Ukrein, lakini naye amepoteza wanajeshi wake wengi, vifaru nadhani 80% ya vifaru vya kirusi vilipondwapondwa na St Jevelin ya muingereza, amepoteza ndege, magari mengi ya kivita