Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Sijakuzuia kutoa maoni hayo nimaoni yanguKumbe unaona hii ni mali yako? Wengine hawana kibali ila wewe? Hongera!
Sijakuzuia kutoa maoni hayo nimaoni yanguKumbe unaona hii ni mali yako? Wengine hawana kibali ila wewe? Hongera!
Nikusahihishe: hawakufungiwa, walifunga wenyewe. Wanajipatia kwingineko sasa.Baltic countries wameshafungiwa bomba tayari, hakuna gas bila malipo kwa ruble.
Interms ofIran! Imara?? Serikali iliyopaswa kugushi kila uchaguzi tangu miaka 30???? Putin angalau alishinda kwa kura akipaswa kutwanga kidogo tu.
Nyoosha maelezo alishaamua kurudisha majeshi nyuma maenep hayo na kuhamishia nguvu mashariki mwa nchi hiyo..Russia ameshaanza kurudisha majeshi yake nyuma baada ya ongoing talks za pande mbili. Hivyo automatically mji utakuwa chini ya Ukraine, hakuna ukombozi wowote hapo.
Hujaelewa story? Waandamaji kule Ujerumani walijaribu kumsumbua chansella wakipinga vikwazo vya Corona, si siasa kuhusu Ukraine.Kweli kabisa, soon France na Germany kuna namna wataachia tu, otherwise Macron anaweza asirudi ikulu tar.10.l, ujerumani tayari chancellor wao anachezea joto ya jiwe.
Kamkamateni Albashiir kwanza
Kumbe. Imara? Tangu miaka 40 serikali inaita wananchi waandamane na kupiga kelele "Marg bar Amrika" na "Marg bar Israel" (kifo kwa Marekani, kifo kwa Israel). Vifo hivi havikutokea bado. Nchini Syria wanajeshi wa Iran wanapigwa mara kwa mara na ndegevita za Israeli. (binafsi nasikitika wote wawili, maana hawana kazi kuzurua Syria)Interms of
UCHUMI
MIUNDOMBINU
SAYANS
ELIMU
USALAMA
VIWANDA nk
nchi yako imeizidi wapi IRAN
Hayo yakughushi yakunini mie sijayaongelea hayo nimasuala yao yandani
HahahaHuyo kajiunga JF mwezi huu bado mtoto hajajua hata kuitumia
Hawa ndio waliolipwa pale ubalozini kuendeleza PROPAGANDA wakati sisi tunatoa dozee dozeee
Nchi yako na Iran ipi imaraKumbe. Imara? Tangu miaka 40 serikali inaita wananchi waandamane na kupiga kelele "Marg bar Amrika" na "Marg bar Israel" (kifo kwa Marekani, kifo kwa Israel). Vifo hivi havikutokea bado. Nchini Syria wanajeshi wa Iran wanapigwa mara kwa mara na ndegevita za Israeli. (binafsi nasikitika wote wawili, maana hawana kazi kuzurua Syria)
Lakini serikali ya Iran ilifauli kuharibu sifa za nchi yake kimataifa. Hata imefaulu kupeleka mawaziri wa nchi za Kiarabu watembelee Israeli na kushika mikono na waziri mkuu wa huko.
Mafanikio kweli!! (miaka 10 iliyopita isingewezekana, sasa wanakuja kwa sababu wanaona Iran tishio)
Imara, eeh?
Ha ha ha ha. Lakini yupo anamchapa mtoto wenu vibao huku mkiangalia.😂😂😂😂😂😂😂😂
anaona ni sifa nzuri hioKwa hiyo unafurahia?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Taja moja na source ya Taarifa hatakama ni RT
wanaogopa regime change ndani ya mataifa yaoHao US wenyewe wanaanza kuondoa vikwazo kwa aibu, fertilizer na ngano tayari wameanza kuondoa vikwazo ili kuondoa hatari ya baa la njaa duniani, huyo mmarekani anazidi kununua mafuta toka Russia.
Pro US hadi aibu wanaona, hao UK, EU wenyewe wakiongozwa na France na Germany wanasanda taratibu.
Hivi Fertilizers kumbe ni gesi pia ..... Kichwa kikubwa kama jina lako Fuso akili ULEZI... Marekani mwenye SI aweke ban kwenye fertilizers na inputs za kilimo mbona karuhusu !!??Haueleweki we mjinga....uwe mshabiki kwa hoja. Je ni hoja ipi ambayo itamfanya Putin kuyakaba kooni mataifa ya magharibi na US ukiondoa gesi ?
Kanchi kama Haka unakuta kanalingana na Kigamboni tu wala hakana hata watu mil 3All natural gas for Lithuanian domestic consumption will be imported via the liquified natural gas (LNG) import terminal in the port of Klaipeda, the ministry said in a statement.View attachment 2173393View attachment 2173394