😀😀😀. Ingekuwa ni habari kuwa Ulaya imelipa kwa pesa ya Urusi hapa ndani tweets zingeshajaa na screenshots.Nimeona Al Jazeera,sasa sijui na wenyewe ni Western Propaganda
Propaganda hizi tokea vita imeanza RUSSIA alikua anapigwa hii halaiki kaifanya muda gani
Majeshi ya RUSSIA wameshiba mafunzo hawawezi kufanya huo unyama
Achaneni na PROPAGANDA
Duh..interesting😀Machi 1938 : Hitler anavamia Austria.
Oktoba 1938: Hitler anavamia maeneo ya Sudeten ya Chekoslovakia (baada ya kulazimisha Chekoslovakia kukubali);
Mei 1939; Hitler anavamia maeneo mengine ya Ucheki - Slovakia inakuwa jamhuri ya pekee;
Septemba 1939: Hitler anashambulia Poland, Vita Kuu ya Pili inaanza
Hawez peleka hizo tanks uko, hizo ni Abraham tanks, zina tecnologia kubwa ata kuzioperate hawawez, na pia sizan marekani anaweza toa siraha yake ambayo anaitumia sasa ukoGharama zimepanda wadau wanazidi kusomba silaha kupeleka Ukraine... View attachment 2173772 Na apo Biden kaongeza tena $3.5B in weapons hadi sasa nahisi zitakuwa zinakaribia kama $17B hivi.
Ilhali anyeitwa mvamizi anafanya haya View attachment 2173773 So heart touching... [emoji635]
Baltic countries wameshafungiwa bomba tayari, hakuna gas bila malipo kwa ruble.Hivi Ulaya ilinunua gesi kwa pesa ya Urusi? Maana deadline kama sijakosea imepita.
Umesahau kumuhusisha huyo unayempa elimu ya hicho kiungo. Ujumbe wako upo hewani tu.We fala , ushoga wewe unakusu nini ?unampangia mtu matumizi ya mkvndu wake ?,na we si utumie wako , mpvuzi wewe
Kwanini ugeuke sheikh yahaya kwa nchi za wenzako urusi sio kama family akifa baba inateteleka ukiwa unaiongelea urusi usifikiri ile ni iranMzee, kwa mfano leo kuna watu wakiamua soko la dhahabu likwame ni kweli linaweza kwenda zero...
Usifikiri Dunia hii hasa Ulaya na US inategemei gesi ya urusi tu ili ku survive as the only means sahau kabisa... kwa hiyo mrusi asifikiri yeye ana kitu cha kipekee duniani...nakuhakikishia ndani ya miaka 5 hadi kumi Urusi itapotea kiuchumi.
Haya yote huwa yanakuja na Trust....nani leo anamwamini Putin duniani?
Kama huaminiwi na mataifa ya Ulaya na US wewe huna maana yoyote...maana hela ndiko ziliko utake usitake.
Inawezekana uko sahihi kwa maelezo hayaMachi 1938 : Hitler anavamia Austria.
Oktoba 1938: Hitler anavamia maeneo ya Sudeten ya Chekoslovakia (baada ya kulazimisha Chekoslovakia kukubali);
Mei 1939; Hitler anavamia maeneo mengine ya Ucheki - Slovakia inakuwa jamhuri ya pekee;
Septemba 1939: Hitler anashambulia Poland, Vita Kuu ya Pili inaanza
Umekuwa ukiwaponda Pro Russia ya kwamba hawa ongei kwa hoja badala yake wana ongea kwa ushabiki lakini na ww huna tofauti na hao unao waponda tofauti ni kwamba mnashabikia pande tofauti.Mtu mzima kaumbuliwa vibaya sana,haya mengine ni blah blah tu za kutaka kuufurahisha moyo wako pia.Alivyoamua kuivamia Ukraine hakuyajua hayo yote ya kuharibu miundo mbinu na kupoteza maisha ya watu? Super power unachakazwa na mtu unamzidi kwa kila kitu,Superpower kumbe ni puto tupu liliojaa upepo.[emoji3]
Mpaka muda huu wanataman kuiondolea urusi vikwazo ila wanaona aibu tulisema hapa vikwazo vitawachapa wao wenyewe kuna wamarekani wa pale mabibo mwananchi walitubishia
Msemo wa njaa haina bausa unaenda kutimia.Hao US wenyewe wanaanza kuondoa vikwazo kwa aibu, fertilizer na ngano tayari wameanza kuondoa vikwazo ili kuondoa hatari ya baa la njaa duniani, huyo mmarekani anazidi kununua mafuta toka Russia.
Pro US hadi aibu wanaona, hao UK, EU wenyewe wakiongozwa na France na Germany wanasanda taratibu.
Huku kwetu Rais hana hata habari tena ndo Kwanza anachombeza kuunga mkono bei za vitu kupanda na kuongeza vikodi uchwara kwenye mafuta kisa tu vilishahesabiwa kwenye bajeti. INASIKITISHA SANA!
The cost of warScores of civilians executed by the Russian military.
Russia literally unfolded a killing spree in its occupied territories in Ukraine.
View attachment 2174019View attachment 2174020View attachment 2174022
View attachment 2174023