Yaan Putin, akisaidiwa na maombi ya kiothodox, warusi wa JF wpiganaji wa kukodiwa na wa kujitoa mhanga toka syria, chechen wameshindwa kabisa kabisa kuiteka kyiv na badala yake warusi wamesanda nao wamerudi nyuma, na hapo US/NATO hawakusema waingilie je wangeingilia hali ingekuwaje tukisema urusi supachawa warusi wa bonyokwa wanatoa mitusiWamebaki wanatatarika kama mahindi ya bisi kikaangoni,nacheka sana wanavyojitahidi kutoa maelezo marefu ya kwa nini ule mkwara wa kukata gesi haujatekelezwa na Baba yao Putin hata baada kugomewa kulipwa kwa Ruble
Hivi unajijua kuwa wewe ni MATACOREPutin in mpumbavu alifikiri ataiendesha dunia sababu ya hiyo gesi yake tu...
Ameshakwama.
Hayo umeyaongea ww unaye fananisha vita vinavyo poteza maisha ya watu na miundo mbinu na michezo ili kujifurahisha moyo wako.Ni aibu kubwa sana mpaka sasa Rashid Matumla anakwenda round ya 10 dhidi ya mshindani wake Tyson hayo mengine ni Mtu mzima anatafuta Exit plan baada ya the so called special operation kuflop.
Putin against all the odds and he is winning like nothing's wrong.Hizo silaha zenyewe wanaletewa baada ya kuzidiwa wanavua gwanda wanavaa nguo za kiraia wanakimbia wanaziacha Russia wanazikusanya View attachment 2173814View attachment 2173817View attachment 2173818
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kumuongezeaUnazijua Trillion 30 za Tanzania ni sawa na Dollar ngapi? Ngoja tukusaidie ni around 13Billion Dollars. Je Pentagon anatumia 13Billion Dollars? Huo ni UONGO...
Hii inaonesha jinsi gani mlivo washamba na vichwa vyenu vilivyo vyeupe. Nimekoma na kuwa'Qoute [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Next nifanye kuwa'ignore tu.
Tz na Irani zipoje kiuchumi!?Rudia tena kusoma bandiko langu..nimekwambia kwamba huwezi kutamba ki uchumi duniani kama utawekwa pembeni na US, EU, UK na washirika wake..
Nikakwambia tena kwamba hata kama unakumya almasi kila siku HUWEZIII.
Hiyo ya kumwita Biden ni moron duh...afadhali ya tusi kwa Putin kuwa ni butcherThe West wametangaza vita na Putin ni lazima a-fight back,he just can't sit down and watch his country being destroyed.Wamemuwekea vikwazo na yeye lazima aweke vikwazo,and let me tell you,hii vita ni mbaya zaidi kwa the West,kwa kuwa hawana strategic commodities za kutosha, kwa hiyo they certainly will loose to Russia.And they are already are kwa kuwa the US wamesha-anza kulegeza vikwazo,na hakuna shaka yeyote kwamba Europe will follow suit.Mkuu with their luxury commodites,the Fiat USD and €, they cannot win the battle.Mpaka Sasa a week ago,the Ruble had gained 21% of it's Callie,while the dollar is being wiped out of it's status as a Petro-dollar currency,and the Ruble will replace it.
Kuonyesha kwamba hali ni mbaya for the US, intelligence reports already show that the US Intelligence Community is planning to remove the smoky,dimentia,NWO minion,moron and hard core Marxist stooge Joe Biden from power.
hivi US huwa wanapumua kweli yan Ukraine-Urusi hawajamaliza wanaingia Pakistan sasa.
Walikua wanadanganyana kwamba Putin kakurupuka, wengine wanasema Putin hakujua kama haya yatamkuta.Mpaka muda huu wanataman kuiondolea urusi vikwazo ila wanaona aibu tulisema hapa vikwazo vitawachapa wao wenyewe kuna wamarekani wa pale mabibo mwananchi walitubishia
Kawaida yao kushangilia ujingaWe jamaa, mtu anazungumzia habari ya dunia kuamua dhahabu isiwe na thamani we unaona ameongea point hadi unamshukuru !!!!!
Halafu kuna watu wanakuambia hii siyo vita ni operation.Makaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi wa Urusi walikuwa wameikalia na sasa wameichia na kurudi nyuma.
Katika mji wa Bucha makaburi ya halaiki ya raia 300 waliouwa na majeshi ya Urusi yamegunduliwa.
Hali ya mauji ya halaiki ya raia Ukraine katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Urusi inahofiwa huenda ikafanana na yale yaliyotokea katika vita vya pili vya dunia katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Kinazi ya Ujerumani.
Duh ...wachumi wa Tanzania katika 'umahiri' na 'ubora' wao wa kujua mambo..but their country Tanzania is still languishing in poverty while we have experts in economic issues....Ndo maana nilikuuliza haya usemayo unaelewa? Rubo kwa sasa inapanda sababu wafanya biashara wa fedha wanabashiri kuwa hiyo gas na mafuta yatanunuliwa kwa rubo.
Endapo zoezi hili la kununua hiyo rubo kwa euro au dollar likashindikana, elewa hiyo fedha lazima ishuke tena. Thaman ya pesa ya nchi, inaendana na uchumi wa nchi.
Kwa vikwazo ambavyo Russia amewekewa, ni suala la muda tu utakuja apa kuzungumza kuhusu kushuka kwa hiyo thaman ya pesa. Tungekuwa russia sote tungeshuhudia kwa sasa hali ambayo wanapitia ya kiuchumi.
Eti rubo imeimarika katikati ya vikwazo, unajua uchumi wa taifa unapimwa kwa vitu gani viwili?
Nimeona Al Jazeera,sasa sijui na wenyewe ni Western PropagandaHii taarifa sijaiona, RT hawajaitangaza?
😀 Mkuu achana na hayo mengine kwanza,tupia ile ramani yetu ya jinsi majeshi ya Russia ynanvyosonga mbele kuelekea Kyiv.Mpaka muda huu wanataman kuiondolea urusi vikwazo ila wanaona aibu tulisema hapa vikwazo vitawachapa wao wenyewe kuna wamarekani wa pale mabibo mwananchi walitubishia
Niliwahi kusema, tunachosikia kwenye media ni kidogo mno cha uhalisia. Watu wengi wamekufa Ukraine, maisha ya ukraine yamevurugika, kama watalii raia wa Ukraine wapo zanzibar wanashindwa kwenda kwao sio sababu ya kukosa nauli. Muda utasema.Makaburi ya halaiki yameanza kugundulika Ukraine katika miji ambayo wanajeshi wa Urusi walikuwa wameikalia na sasa wameichia na kurudi nyuma.
Katika mji wa Bucha makaburi ya halaiki ya raia 300 waliouwa na majeshi ya Urusi yamegunduliwa.
Hali ya mauji ya halaiki ya raia Ukraine katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Urusi inahofiwa huenda ikafanana na yale yaliyotokea katika vita vya pili vya dunia katika miji iliyokaliwa na majeshi ya Kinazi ya Ujerumani.