Rudia tena kusoma bandiko langu..nimekwambia kwamba huwezi kutamba ki uchumi duniani kama utawekwa pembeni na US, EU, UK na washirika wake..M
Budget kubwa wala sio sababu kwani hiyo budget unajua ni ya nini?? Hela nyingi hapo ni deal za makampuni makubwa ya PR na Uzandiki wanalipa media na kukodi kampuni nyingi sana kusema uongo na uzushi inayoelekea Jeshini ni kidogo mnoo..someni haya masuala myajue...
Hiyo hela nyingi ni deal za watu hamna kingine...Tofauti na Urusi haina makambi ya kijeshi nchi zingine ikiendesha ubabe na mauaji..Tukikuhesabia sehemu ambazo US Ana makambi ya uzushi na uuaji utalia...Nyamaza tu Dogo...
Nikakwambia tena kwamba hata kama unakumya almasi kila siku HUWEZIII.