Mwendelezo kutoka post hii
LIVE - Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?
Kama tutaangalia vizuri bila ushabiki tutaona western walijipanga sana kwenye huu mchakato. Walicho anza nacho kikubwa ni kutawala muundo wa taarifa kwa kuzifungia taasisi zote huru za habari zilizo mlengwa wa Russia.
Walijitahidi sana kutafuta sympathy kutoka kona zote za dunia wakijarib kutuaminisha kua Russia ni Adui, jambo ambalo kwa kiasi wamefail. Kukurupuka ku'attack Russia economy ambalo ndio lilikuwa lengo haswa huku wakiepuka suluhu ya diplomacy kama aliyokuwa akiitaka Uturuki na wengineo.
Utumiaji wa gharama kubwa mno tena mno kui'sponsor hii vita mfano kama Marekani mpaka sasa katumia zaidi ya USD 13Billion kuisponsor hii vita. Lakin uikijiuliza nguvu zote hizi za nini ilhali matakwa ya Mrusi yanaongeleka kauli yao inabaki kua amevamia nchi huru
ilhal ule uvamizi uliandaliwa na wao wenyewe toka awali.
Wakati wa ukraine wakiumia, upande wa media walikuwa wamepashikiria vilivo na kueneza taarifa za ajab haijapata tokea. Tumeshuhudia Clip za Movie, Clip za Game, Picha za Zaman uko Syria na nyinginezo zikitumika kama kuonesha matukio yaliyopo Ukraine. Swali la kujiuliza hapo nini lengo haswa la udanganyifu huo.? Hapa kila mtu ana majibu yake.
Kwa ninachokiona Russia alijipanga, 2014 kule Crimea kuliwapa somo... They knew vizuri tactics wanazotumia upande wa magharibi...
Mambo yapi ambayo binafsi naona Russia kafanikiwa kutoka kwenye ajenda ambazo nazihisi zilikuepo nyuma ya pazia.
1. Kafanikiwa kuweka imani ndogo kwa mataifa ya magharibi kwa zile nchi ambazo zimewekeza katika nchi hizo. Hii kaifanya at expense of his foreign reserve.
View attachment 2168908
Ukiitizama vizuri hiyo list kisha ukaisikiliza hii video hapa chini. Utagundia kua ni kama vile ilikuwa kwenye ajenda tusisahau kama asilimia kubwa ya nchi duniani inataka kutoka kwenye mfumo wa kitumwa wa dollar.
View attachment 2168912
2. Kafanikiwa kuwachonganisha viongozi hao na wananchi wao wenyewe kupitia mfumuko wa bei na gharama kubwa za maisha, maandamano ya apa na pale apo ulaya tumayaona. Kiasi wengine wakaanza hizi meme.
View attachment 2168917
3. Now Russian Ruble is pegged to Gold, haina maana kua itapanda sana thaman kufikia size ka Sterling, Oman Rial ama Kuwait Dinar, ila itakuwa very stable kuliko currency yoyote ever. Na due to Default iliyowekwa na USA na wengineo hii itampa chance ya yeye kuanza ku'print ela zake mwenyewe ka afanyavyo USA na dollar zake.
4. Kinyume na ilivotarajiwa, waliosuka mpango wa Russia kuingia Ukraine walitegemea ataenda lipua lipua ovyo na kuua mamilion hivo uhalifu wa kivita. Ila hali ikawa tofauti. Ushahidi wa Ukrainians army kuua raia wao uko wazi. Japo Media zao zauficha. Kinyume chake kafanikiwa kuigawa Ukraine. Apa itakuwa kama North na South Korea ama North na South Sudan.
5. Ile mihemko ya baadhi ya kampuni za kimagharibi imepenyeza mwanya wa kampuni nyingi za kichina
kujipatia soko adhim bila nguvu nyingi ndani ya Russia. Hapa unakuja ule msemo wa ukisusa wenzio twala...
Mambo ni mengi mda mchache.
Mwishi niwaambie kua tunakoelekea saaasa ni kutam kuliko apa. Em vuta picha hii trailer ya Ruble kwa unfriedly countries. Kisha ziangalie vizuri hizo nchi zote kwa jicho zuri. Kisha tizama Kipengele kimoja tu cha Viwanda.
Anza kuangalia sehem muhim kuanzia Malighafi, nishati, na mengineyo. Kisha angalia sheria mpya iliyopitishwa ja Russia kwa Raia na wawekezaji kutoka hizo nchi. Kisha tuambizane nani anaenda kua mtumwa wa kiuchumi kwenye siku za usoni.
Hapo tuangalie shift ya Saudia kuhama kutoka Dollar kwenda Yuan kwa mauzo yake Gas, kisha tujiulize ikiokea Dollar ikaanza kupoteza stability maana ake itakuwa un useful sokoni. Nini kitajiri kwa nchi ambazo zimehifadhi Dollar notes kwenye reserves zao? Wataanza kuziuza kwa exchange of stable Assets kama Dhahab n.k Je nini kitatokea kwa US?