Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,853
- 14,082
We ujue inaitwaje unanunua nini toka Russia?Afu ukitaka kujua kwamba jamaa kakwamna kwenye kopo alIIlitongeneza wenyewe ni hivi eti anayetaka gesi ya urusi anunue kwa hela ya kirusi... hata mie sijui inaitwaje....hii ni panic
Mambo ya kitoto kabisa kwa Taifa ambalo linajinasibu ni kubwa ulimwenguni.
Sent using Jamii Forums mobile app