Nimesoma ulicho andika na nimebaki nikitikisa kichwa, kwa akili hizi Africa bado tunasafari ndefu sana.
Nilidhania huu muda mwingi umetumia kabla kunijibu utarudi na hoja za maana kumbe ni Yale yale matusi.
Umejaribu sana kukwepa maswali yangu lakini ukateleza na umeshajifunga mwenyewe.
Umetoa mfano kwamba nitume hela kwa ksh mpaka Uganda. Tukifikia hapo tu itakuwa hela niliyoitumia Mimi kama medium ya biashara itakua ksh sindio?
Je unafahamu msimamo wa Putin awali ilikua kinyume na hivyo. Kile alitaka ni benki za EU zinunue rubo moja kwa moja kutoka gazprom na waziifadhi kwa Benki zao ulaya. Alafu baade wachomoe hizi rubo wazitume benki kuu ya urussi kupitia gazprom.
Hapo Putin amelegeza msimamo wake na EU wanaweza jigamba kwamba wamelipia mafuta/gesi ya sarafu yao yeye akaigeuza mwenyewe kwa gharama yake na Benki take. Kuna kitu gani huelewi hapa.
Na kingine cha ajab kila mda nazidi kukwambia jifunze kuelewa hutaki [emoji23][emoji23][emoji23]... Apo nimesema kwamba umetuma ela ya biashara? Kabla haijaja hii mifumo ya sasa ambapo unafanya exchange Online.
Ingekuwa ni kutuma ela mkononi. Nje ya mipaka yako ungemtumia pesa ipi? Usipoibadilisha kabla ya kuituma ukatakiwa ukabadilishe ukifika utaenda na mawe au na hyo pesa ukaibadilishe uko ukifika.
Unajua kama Money Exchange ni business? Unafikiri hizo pesa zinabadilishwa bure? Ulishawahi kubadilisha ela yako kwenda ela nyingine bure?
Ukiambiwa na kaka ako kale hotelin kisha akaku,limit kula kwenye hotel ya rafiki yake tu unajua kamnufaisha nani apo?
Tumia akili kijana hayo mahaba ya kuchagua kutokuelewa hayakusaidii...
Hii mambo ata ukimpa mtoto wa darasa la tatu anaelewa... Hujiulizi sababu hasa za EU kulazimisha kuendelea kulipia kwenye Euro. Coz wanajua kubadilisha fedha kuna gharama. Na hizo gharama ndio hawazitaki na bahati mbay hazikwepeki labda waamue tu kuacha kuinunua Gas hiyo.
Nimekutolea mpaka mfano kua endapo mwanzo walikuwa wanalipa 1000Euro Directly sa hivi itabidi walipie 1000Euro plus Exchange Fee...
That is Before ilikuw 1000Euro Directly...
Now ni 1000Euro + Conversion Fee.
Na kwa taarifa ako Exchange Fee kwa Euro 1000 ni kama 25Euro hivi... Sasa piga hesabu ya Euro 25 kwa kila 1000Euro wanayolipia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Taratibu mtaenda mnarudisha mlizoiba kwa kisingizio cha Vikwazo zidi ya Ukraine.