Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Acha uhuni wew? Juzi Russia wamesaini decree ya kubadili means ya payment ya gesi. Chancellor wa Germany kapiga simu kwa Putin kua hawatalipa kwa ruble kwasababu kuu mbili, moja mkataba hauwaruhusu, mbili hawajui sehemu ya kuipata hyo ruble... Putin akamjibu sawa nimekuelewa, lipa kwa euro au dollar ila kwanza fungua account kwenye kampuni zangu za benk ikiwemo gazprom bank, na lipa kw euro au dollar na hyo benk ita convert hyo pesa kwa rubles ili iingie Russia k ama rubble.
Unaelewa maana yake? Sasa tafuta ukweli.. ikiwa Russia imewekewa vikwazo vya SWIFT, je wanauza gesi kwa hasara pale EU??? Maana mpaka leo hii wamepewa gesi.

Mpaka juz, USA amechukua oil Russia na ameondoa vikwazo kwenye mbolea na baadhi ya products, ina maana USA na urusi wataendelea kufanya biashara, ndio maana bunge la urus DUMA wanataka malipo ya rubles yaende kwenye ngano na mbolea. Watakataa,,???
Wewe hujielewi, sio benki zote za urussi zimepigwa sanction, kuna zile zimeachwa kwa madhumuni ya kufanya biashara ya mafuta/gesi.

Sasa Putin alipoona ulaya imedinda kununua kwa rubo, akabadili msimamo na kuwarusu kulipa kwa dollar/euro alafu benki ya gazprom iigeuze kwa rubo.

Sasa hapo Putin kazidiwa maarifa na jeuri ya kufunga mifereji hana kwa sababu anahitaji pesa kwa uchumi wake uliokua dhaifu.

Ulaya wananunua mafuta kwa dollars/euros. Period
 
Kwahiyo hakuna utabiri ktk uchumi? Ushawahi kujua kwanini kila nchi inakuwa na reserve ya fedha za kigeni? Unajua ni kwanini watu na nchi zina reserve ya Gold?
Utabiri wako upo kwenye ushabiki, sio hali halisi. Ili urusi ipotee kwenye uchumi wake, ni kuzuia export yake. Sasa waliomuwekea vikwazo ndio wanaongoza kununua product yake ya gesi na mafuta.
Ndio maana USA wanapinga ujenzi wa nord stream 2, wanajua ulaya itakua dependancy kwa Russia kwa zaidi ya asilimia 80 kwenye nishati.
Nikuulize swali, kwanini SWIFT inaendelea kwenye baadhi ya benk zu russia?
 
Kyiv plans to embezzle $400 billion from frozen Russian assets.

This was stated by Zelensky's adviser on economic issues Oleg Ustenko. According to him, the funds will go to the so-called fund for the restoration of Ukraine.

They want to take $300 billion from the funds of the Central Bank of the Russian Federation and another $100 billion “from the assets of Putin’s inner circle.”

The day before, the Verkhovna Rada adopted a law on the nationalization of the property of Russians and those who support the Russian special operation.
Galip SV Liwagu
20220326_103402.png
 
Tatizo mnaleta ushabiki kwenye uchumi, nchi yenye ku supply gesi na mafuta kwa wingi duniani vikwazo havifanyi kazi. Ukitaka kuifilisi urusi ni kuivamia kijeshi kama libya na kufanya regime change, kuna nchi inaweza hicho kitu?
Jiulize kwenye vikwazo alivyopigwa urusi toka dunia imeanza havijawi kushuhudiwa, lakini sarafu yake inaimarika!! Unaelewa maana yake?
Wewe utafudhishwa Mara ngapi zalue ya sarafu sio ishara ya uchumi bora, unajua thamani ya pesa ya Japan imezidiwa na Kenyan shillings. Unaweza fananisha Japan na Kenya

Vigezo vya Uchumi ni vitu kama Inflation, balance of trade, Interest rate, consumer price index (CPI), GDP growth N.K
 
Mzee, kwa mfano leo kuna watu wakiamua soko la dhahabu likwame ni kweli linaweza kwenda zero...

Usifikiri Dunia hii hasa Ulaya na US inategemei gesi ya urusi tu ili ku survive as the only means sahau kabisa... kwa hiyo mrusi asifikiri yeye ana kitu cha kipekee duniani...nakuhakikishia ndani ya miaka 5 hadi kumi Urusi itapotea kiuchumi.

Haya yote huwa yanakuja na Trust....nani leo anamwamini Putin duniani?

Kama huaminiwi na mataifa ya Ulaya na US wewe huna maana yoyote...maana hela ndiko ziliko utake usitake.
Moja umesema ukweli kua gesi inaweza kua replaced, nakubali hilo. Lakini itachukua muda gani? Angalia makaa ya mawe( coal) yamekua replaced na ges after years.

Mtu anayetakiwa kua na makini ni US, maana pesa yake ndio imekua means of exchange na payment kwa mda mrefu. Fikiria watu wa mafuta na gesi duniani waki opt kutumia dhahabu au pesa zao za ndani kufanya biashara. Dollar itakuaje?

Hii vita ya uchumi, Russia akishinda itakua ni 'precedent ' kwenye nchi zingine. Ndio maana unaona US anatumia kila mbinu Urusi ashindwe... je ataweza? Tusubiri.
 
Wewe utafudhishwa Mara ngapi zalue ya sarafu sio ishara ya uchumi bora, unajua thamani ya pesa ya Japan imezidiwa na Kenyan shillings. Unaweza fananisha Japan na Kenya

Vigezo vya Uchumi ni vitu kama Inflation, balance of trade, Interest rate, consumer price index (CPI), GDP growth N.K
Aya twende kwenye inflation, CPI nk.. urusi tuifananishe na nani kipindi hiki?
 
Wanasema kuwa kuna taasisi za kifedha zitatengenezwa ili wateja wa Gas na Mafuta wanunue kwa Euro au Dollar kisha hizo taasisi zibadilishe hiyo fedha kwenda ktk Rubo.

Huu ni zaidi ya uwezandawazimu.

Endapo Rubo ikashuka thamani, au forecasting ikaonesha anguko la rubo, hakuna taasisi itakubali kununua hiyo Dollar na Euro ili ije ktk Ruble while wakijua kuwa Rubo itazidi kushuka thamani siku za mbeleni.
Putin amefanya hivyo kwa sababu anajua hakuna nchi itafanya biashara na pesa yake ya madafu.

Hicho amefanya ni kuficha aibu ili aonekane na watu wake wa urussi kwamba ulaya wananunua kwa rubo lakini ukweli ni kwamba dollars/euro ndo wanatumia
 
Wewe hujielewi, sio benki zote za urussi zimepigwa sanction, kuna zile zimeachwa kwa madhumuni ya kufanya biashara ya mafuta/gesi.

Sasa Putin alipoona ulaya imedinda kununua kwa rubo, akabadili msimamo na kuwarusu kulipa kwa dollar/euro alafu benki ya gazprom iigeuze kwa rubo.

Sasa hapo Putin kazidiwa maarifa na jeuri ya kufunga mifereji hana kwa sababu anahitaji pesa kwa uchumi wake uliokua dhaifu.

Ulaya wananunua mafuta kwa dollars/euros. Period
Sijui unaongea nini? Na mimi nimesema nini? Hapo anazugwa US. The only means ya kusumba uchumi wa Russia ni kuzuia export yake... nimekuuliza nani ataweza.? Maana hata juzi US kununua mafuta Russia, sio hivyo tu ..katoa vikwazo kwenye mbolea na baadhi ya products. Wewe umeenda shule, hiii ina maana gani? US na EU kuendelea kufanya biashara na Russia?
 
Putin amefanya hivyo kwa sababu anajua hakuna nchi itafanya biashara na pesa yake ya madafu.

Hicho amefanya ni kuficha aibu ili aonekane na watu wake wa urussi kwamba ulaya wananunua kwa rubo lakini ukweli ni kwamba dollars/euro ndo wanatumia
Anauza bure?
 
The Russian military destroyed the fuel storage facilities of the Kremenchug Oil Refinery with precision weapons.

It supplied the Ukrainian grouping of troops in the central and eastern regions of the country.

The main points from the morning briefing of the Russian Ministry of Defense:

▪️High-precision air-launched missiles disabled military airfields in the cities of Poltava and Dnepropetrovsk.

▪️Russian air defense in the area of Sumy and Urozhainy shot down two Ukrainian Mi-24 helicopters. Also destroyed in 24 Ukrainian drones.

▪️ During the night, 67 military facilities of Ukraine were hit. Among them are 2 command posts and 2 weapons and ammunition depots.

▪️In total, since the beginning of the special operation, 124 aircraft and 84 helicopters, 381 drones, 1882 armored vehicles, 203 multiple rocket launchers, 786 field artillery pieces and mortars, as well as 1764 units of special military vehicles have been destroyed.
 
Russia's profit from energy exports this year could grow by a third.

The sanctions have shaken the Russian economy, but its balance sheet could be "brilliant" if major importers continue to buy oil and gas from the country, writes Bloomberg.

Economists expect Russia to earn $321 billion this year, more than a third more than last year.
 
Putin amefanya hivyo kwa sababu anajua hakuna nchi itafanya biashara na pesa yake ya madafu.

Hicho amefanya ni kuficha aibu ili aonekane na watu wake wa urussi kwamba ulaya wananunua kwa rubo lakini ukweli ni kwamba dollars/euro ndo wanatumia
Baadae tukiwaambiia mna uelewa mdogo mnakasirika. Decree ishakuw signed na maelezo yaliopo kwenye decree unayatafsiri kwenye tafsiri ya kuuridhisha moyo wako. Namna gan mlivo watoto.

Mmeambiwa Gas kwa nchi zisizo rafiki zitalipwa kwa Ruble, Nchi hizo ambazo sio rafiki zitatakiwa zifungue account ya ruble ndani ya Russia. Exchange ya hizo pesa kwenda Ruble itafanyikia ndani ya Russia. Na sio uko nje vichochoroni.

Then ulivo na akili zero waja twambia Gas inanunuliwa kwa Euro na dollar... A little coward em jifunzeni kuelewa basi kama hamuezi kuelewa.

Ukitoka kenya kuja kununua kitu Tanzania kwa Tsh, Exchange kutoka Ksh to Tsh ukaifanyia ndani ya Ardhi ya Tanzania utakuwa umenunua kitu hicho kw Ksh au Tsh?


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mna mahaba ya kingese mpk mnaboa yan.
 


🇬🇧In London, they are protesting against rising gas and electricity prices.

Those who gathered demand the resignation of Prime Minister Johnson, reports @rian_ru.

Prices rose due to anti-Russian sanctions.
 
Sijui unaongea nini? Na mimi nimesema nini? Hapo anazugwa US. The only means ya kusumba uchumi wa Russia ni kuzuia export yake... nimekuuliza nani ataweza.? Maana hata juzi US kununua mafuta Russia, sio hivyo tu ..katoa vikwazo kwenye mbolea na baadhi ya products. Wewe umeenda shule, hiii ina maana gani? US na EU kuendelea kufanya biashara na Russia?
Biashara katika ya marekani/EU na urussi imeporomoka kabisa, bila shaka lazima kutakua na biashara ambazo bado zinaendelea lakini cha msingi ni imepungua pakubwa.
Kumbuka urussi ina trade surplus na marekani ya Ulaya. Hio itabadilika baada ya sasa. Hii inagusa Kigezo kimoja cha Uchumi bora ambacho ni balance of trade
 
Wewe utafudhishwa Mara ngapi zalue ya sarafu sio ishara ya uchumi bora, unajua thamani ya pesa ya Japan imezidiwa na Kenyan shillings. Unaweza fananisha Japan na Kenya

Vigezo vya Uchumi ni vitu kama Inflation, balance of trade, Interest rate, consumer price index (CPI), GDP growth N.K
Value ya sarafu sio ishara ya uchumi, ila kuporomoka ama kushuka kwa thaman ya sarafu ni indicator ya stability of economy.

Kushuka kwa value ya sarafu maaana ake ni ongezeko ama mfumuko wa bei, kushuka kwa thaman ya sarafu kuna reduce purchasing power... Ambayo ndio GDP yenyewe...

Mfumuko wa bei unapelekea kuharibika kwa mifumo yote ya kiuchumi... Kuanzia chini kabisa kwe uzalishaji wa malighafi mpaka kwenye tertiary sectors za economy and Vice versa is true.

Imagine uko na Mil 2.5 bank thaman ya ela hiyo ikashuka in relative to certain currency ambayo iko stable, lel say Dollar. Kama mwanzo ulifanya exchange ya Mil 2 kwa $1000 na ukaweza kununua kitu kwa bei hiyo. Je ikishuka ikawa Mil2.5 kwa $500 utaeza kukinunua kile kitu kwa mara nyingine?

Jibu ni hapana, Je kama hayo ni manunuzi ya kibiashara hujaiathiri biashara? Na hiyo biashara si ndo shughuli zenyewe za uchumi hizo ama?

Haya ibadilishe katika ukurasa wa kukua kwa thaman, ambako kunapelekea deflation, that led to increase in purchasing power. Rudi kwenye huo mfano hapo juu kama una Mil 2.5 uliweza kuzichange kwa $1000 kisha ikapanda thaman ukaweza kias kile kile kwa $2000. Je kwa kupanda uko kuna leta tafsir ipi katika manunuzi?

Sasa utaiondoaje thaman ya ela kwe uchumi. Nyie watu mna nini lakini [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
The Russian military destroyed the fuel storage facilities of the Kremenchug Oil Refinery with precision weapons.

It supplied the Ukrainian grouping of troops in the central and eastern regions of the country.

The main points from the morning briefing of the Russian Ministry of Defense:

[emoji3502]High-precision air-launched missiles disabled military airfields in the cities of Poltava and Dnepropetrovsk.

[emoji3502]Russian air defense in the area of Sumy and Urozhainy shot down two Ukrainian Mi-24 helicopters. Also destroyed in 24 Ukrainian drones.

[emoji3502] During the night, 67 military facilities of Ukraine were hit. Among them are 2 command posts and 2 weapons and ammunition depots.

[emoji3502]In total, since the beginning of the special operation, 124 aircraft and 84 helicopters, 381 drones, 1882 armored vehicles, 203 multiple rocket launchers, 786 field artillery pieces and mortars, as well as 1764 units of special military vehicles have been destroyed.
Breafing nzur KABISA,
Ya Ukraine sijui tunaipataje.

Maana inaonekana Jeshi la linaendeshamwa shaghala bhagala
 
Back
Top Bottom