VP mkuu Putin amekata gesi ya ulaya au wanalipa kwa rubles?
Very stupid statement. Sanctions and currency are not directly proportional.The sanctions imposed against Russia do not work, as evidenced by the strengthening of the ruble, said Polish Prime Minister Morawiecki.
Galip SV Liwagu
View attachment 2172932
Ukraine akipata hata moja, kilio kitaskika Moscow
Ipo wazi na imejidhihirisha Russia imeshikilia uchumi wa Ulaya mikononi mwake.
Najua Pro US mtatoa povu lakini huo ndio ukweli na imejidhihirisha.
Hakuna chombo cha habari cha west ama EU kitazungumzia mazuri na umuhimu wa Russia kwenye uchumi wa Ulaya.
The sanctions imposed against Russia do not work, as evidenced by the strengthening of the ruble, said Polish Prime Minister Morawiecki.
Galip SV Liwagu
View attachment 2172932
Ipo wazi na imejidhihirisha Russia imeshikilia uchumi wa Ulaya mikononi mwake.
Najua Pro US mtatoa povu lakini huo ndio ukweli na imejidhihirisha.
Hakuna chombo cha habari cha west ama EU kitazungumzia mazuri na umuhimu wa Russia kwenye uchumi wa Ulaya.
Ukiona mpolish kaongea ujue kwali maji yako shingoni walivyo hawampendi mrussi[emoji28]
Ni wa wapi huyu?
Hawanaga akili hao pro putinHivi mnakumbuka Pro Russia walisemaga Zelensky Yuko Poland [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawana uwezo wa kuzioperate maana hawajawahi kuwa nazoUkraine akipata hata moja, kilio kitaskika Moscow
Umekuwa mshabiki siku hizi badala ya kuwa mchambuziRussians wako vile, viongozi wao hawatofautiani sana tabia za hivi tangu kale enzi za Ivan the Terrible. Stalin alikuwa muuaji kuliko hata Hitler ila alipokufa alitazamwa na umati wa watu hadi wakauana. Vyombo vya habari vyote vinamsema vizuri Putin na censorship havimsemi vibaya. Warusi wa maisha ya kawaida wasio na exposure nje ambao ni wengi wanamkubali, wasomi waliowahi kuishi nje ndio wanajua tofauti. Miji yenye exposure na mchanganyiko wa wageni kiasi kama Moscow na St. Petersburg ndio kuna afadhali ila sio kule pembezoni kama Taganrog. Ila millenials hawampendi kama wazee na watu wazima.
Putin anakubalika Russia, wapinzani wote ashawamaliza na hafanyi kazi na watu wenye uwezo kupitiliza sasa nani mbadala wake machoni pa Warusi. Putin anafunga hata mayors wanaokubalika kwao, kule Yaroslav mayor wao alifungwa ingawa wapiga kura wake waliandamana kama mwezi hivi.
Mbona thamani imepanda maradufu na kurejea kwenye kiwango Cha juu...Sasa hiyo valueless imetoka wapi?!?! You have to be objective sometimes ..Akate warussi wale nyasi. EU wanalipa kwa dollars / euros wao wanazigeuza rubles(valueless piece of shit)
Kama ni movie na siyo uhalisia utao aje mwisho wake?!
Rubo imeimarika kutokana na speculation ya investors wanayoikimbilia wakidhania kuwa EU watanunua kwa rubo.Mbona thamani imepanda maradufu na kurejea kwenye kiwango Cha juu...Sasa hiyo valueless imetoka wapi?!?! You have to be objective sometimes ..
Sio speculation ni reality. Jamaa watafungua account nyingine kwenye account za benk za kirusi ikiwemo Gazprom bank. Watalipa kwa euro then pesa itakua converted kwenye pesa za kirusi (rubles)Value imepanda kutokana na speculation ya investors wanaodhania kuwa EU watanunua kwa rubo.
Baada ya muda kama mwezi hivi, rubo itarudi kuendelea kuanguka kama kawaida yake dhidi ya dollar.
Rubo imetimiza vigezo zote za kuitwa valueless