Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Nchi kama Russia, China na North Korea huanguka from within, Hofu ya haya mataifa ni nani atachukua utawala wa Nchi mfano ni CCM.Mkuu, endapo russia asingekuwa na nukes, UK, France, German n.k zingeweza kumtoa putin kwa mtutu madarakani.
CCM haina nguvu ya kushindana na EU au USA in terms of militarily, so Ina option kuu moja ya kuwa chama cha kinafiki Kuabstain kwenye mambo yatakayo muuzi bwana mmoja wapo.
Anayehakikisha CCM haitoki madarakani ni China na Urusi, na kuhakikisha watu Fulani wanadili na wapinzani wao Kisiasa ni watu wa Ulaya au China...
Mfano now CCM Kuna makundi mawili yaliyohakika na Bayana... Leftist (Akina Bashiru), Rightist (Akina Samia na Kikwete) Samia anatamani sana kuwalaumu Russia lakini anashidwa kwa sababu atamkasirisha bwana mwingine...
But all in all this scenario ndio itaiangusha CCM na ndio itazingusha nchi kama North Korea na Russia