Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇨🇳🇪🇺🇺🇦 Chinese President Xi Jinping on the events in Ukraine after the EU-China summit:

🔻China deeply regrets that the situation in Ukraine has gone so far.

🔻The legitimate security interests of all parties should be taken into account while resolving the root causes of the Ukrainian crisis.

🔻Should the situation in Ukraine worsen, it may take decades to restore international economic cooperation.

🔻China is ready to cooperate with the EU to avoid a large-scale humanitarian crisis in Ukraine;

🔻The Ukrainian conflict should be resolved in such a way as to prevent its effects on the rest of the world;

🔻The international community should make efforts towards peace in Ukraine rather than fuel tensions.
 
Habari!

Nimekuwa naifuatilia hii vita inayoendelea ya mafahali wawili, majirani na ambao mwanzoni walikuwa ndugu wa jamii USSR ambao ni Urusi na ndugu yake Ukraine na sababu zimekuwa ni nyingi sana lakini kuu ni ikiwa Urusi ikimtuhumu Ukraine kujiunga na umoja wa nchi za kujihami (NATO) na kwamba kunahatarisha usalama wa Urusi na vyanzo vingine vingi. Na mpaka wakati huu hii vita imesababisha mauaji ya maelfu ya raia wasio na hatia na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na mali kama madaraja, shule, hospital, na makazi ya raia. Inavyosemekana hii ni vita mbaya kuwahi kutokea barani Ulaya baada ya vita kuu za dunia. Urusi imekuwa inaonyesha ubabe wake licha ya kuwekewa vikwazo vingi vya kiuchumi na jumuiya za kimataifa, na licha ya vikwazo lakini Urusi inaendelea kuruhusu mabomu na wanajeshi wake wazidi kushambulia Ukraine. Zoezi la usuluhishi unaendelea japo kwa taadhari sana maana nimesikia kwenye vikao watu wanapeana hadi sumu na hii inazidi kuweka ukakasi wa kuaminiana kwenye jitihada za kutafuta Suluhu! Kwanini nasema War is not the Answer kwamba vita sio jibu la Suluhu kwani hapa wote wanaumia Urusi na Ukrani. Wanapaswa wakae chini watambue tofauti na kuangalia namna gani wanamaliza hii vita na wasijiangalie wao tu kwani wao ni mafahali wanapogombana sisi pia tunaumia sana tu hata kwenye sekta ya misaada ya kifedha kwa Africa tutayumba sana ukizingatia wazungu wanadhamini sana maisha ya wazungu wenzao lazima miradi mingi ya maendeleo yataelekezwa Ukraine. Hapo bado hatujazungumzia ngano, mafuta na gas ndo balaa. Urusi na Ukraine wakae pamoja na kumaliza tofauti hii dunia tumetoka kupata majaribu mengi sana ya Maradhi kama HIV/AIDS, UVIKO 19, na sasa vita. Watuache tupumzike kidogo aisee na waache hizo vita ili dunia iwe sehemu. Michael Jackson aliimba make the world a better place for you and me
 
Wakuu tuwe wawazi. Zile silaha wanazotumia kusambaza vifaru vya urusi na rule kama RPG flani hivi waUkraine wamepewa na UK kwa kutungulia ndege. Bomu linafuata Moshi wa engine hadi kieleweke vimemaliza na kumchosha kabisa Russia.

General mmoja wa US anasema tusitegemee kabisa kuna convoy ya vifaru vya Russia Ukraine. Ambushi ya kikosi kidogo cha kimkakati cha Ukraine kinafuta convoy nzima na kuacha vifaru mascrapers.


Vita imeisha wakuu.
Watakwambia propaganda, zile javelline anti tanks missiles ni moto wa kuotea mbaliii.
 
Hasara waliyopata Russia ni kubwa ikizidiwa tu na ile waliyopata kwenye vita vya pili vya dunia.

Hata ile waliyopata kwenye kile kipigo chao kwa Japan mwaka 1903 na dhidi ya Finland mwaka 1940 na ya Afghanistan mwaka 1979-1989 haijafikia hii. Russia wamepata pigo kubwa sana kwa kweli ambacho hawatakaa wasahau milele.
Mkuu wewe hizi taarifa unazipata channel gani ebu tusaidie na wengine tuangalie hizo taarifa.nnavyojua channel zote za Russia zimeondolewa kwenye ving'amuzi vingi tu hata Azam hawaoneshi kwahiyo tunapata habari za vyombo vya westen binafsi nikiri sijaona hizo hasara wakionesha au kutangazwa sana namuona rais wa ukraine akiomba misaada ya kijeshi kila leo.Msaada please ili na sisi tusipitwe na hizo Habari.Hapa naangalia bbc sky news aljazeera kwenye redio nime tune Dw na BBC toka asubuhi .
 
Habari!

Nimekuwa naifuatilia hii vita inayoendelea ya mafahali wawili, majirani na ambao mwanzoni walikuwa ndugu wa jamii USSR ambao ni Urusi na ndugu yake Ukraine na sababu zimekuwa ni nyingi sana lakini kuu ni ikiwa Urusi ikimtuhumu Ukraine kujiunga na umoja wa nchi za kujihami (NATO) na kwamba kunahatarisha usalama wa Urusi na vyanzo vingine vingi. Na mpaka wakati huu hii vita imesababisha mauaji ya maelfu ya raia wasio na hatia na kusababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu na mali kama madaraja, shule, hospital, na makazi ya raia. Inavyosemekana hii ni vita mbaya kuwahi kutokea barani Ulaya baada ya vita kuu za dunia. Urusi imekuwa inaonyesha ubabe wake licha ya kuwekewa vikwazo vingi vya kiuchumi na jumuiya za kimataifa, na licha ya vikwazo lakini Urusi inaendelea kuruhusu mabomu na wanajeshi wake wazidi kushambulia Ukraine. Zoezi la usuluhishi unaendelea japo kwa taadhari sana maana nimesikia kwenye vikao watu wanapeana hadi sumu na hii inazidi kuweka ukakasi wa kuaminiana kwenye jitihada za kutafuta Suluhu! Kwanini nasema War is not the Answer kwamba vita sio jibu la Suluhu kwani hapa wote wanaumia Urusi na Ukrani. Wanapaswa wakae chini watambue tofauti na kuangalia namna gani wanamaliza hii vita na wasijiangalie wao tu kwani wao ni mafahali wanapogombana sisi pia tunaumia sana tu hata kwenye sekta ya misaada ya kifedha kwa Africa tutayumba sana ukizingatia wazungu wanadhamini sana maisha ya wazungu wenzao lazima miradi mingi ya maendeleo yataelekezwa Ukraine. Hapo bado hatujazungumzia ngano, mafuta na gas ndo balaa. Urusi na Ukraine wakae pamoja na kumaliza tofauti hii dunia tumetoka kupata majaribu mengi sana ya Maradhi kama HIV/AIDS, UVIKO 19, na sasa vita. Watuache tupumzike kidogo aisee na waache hizo vita ili dunia iwe sehemu. Michael Jackson aliimba make the world a better place for you and me
Unafiki wa waukrain kubali kutumiwa kuwahujumu wa Rusi ndio chanzo Cha tatizoo
 
Kuna taarifa kuwa Ukraine imeshambulia ndani ya Russia

Hii Habari imeripotiwa na BBC, Reuters na Shirika la Habari la Urusi



Jana Jeshi la marekani lilithibitisha msaada wa Silaha umefika Ukraine zikiwemo Helcopter, Habari bado haijathibitishwa na Jeshi la Ukraine ila Gavana wa jimbo lilishombuliwa anasema ni Helcopter za Ukraine..


Nadhani kama hali ndio hii endapo Ukraine watapewa Ndege za kijeshi basi watashambulia Ikulu ya Russia, this is very worrying to Russia
Mkuu, endapo russia asingekuwa na nukes, UK, France, German n.k zingeweza kumtoa putin kwa mtutu madarakani.
 
[emoji298]️[emoji298]️ In Odessa, the commander of the therodefense got caught in an orgy with a transvestite.

In the underground brothel of the Odessa region of Arcadia, Colonel of the Armed Forces of Ukraine Andrey Kislovsky, a deputy of the Odessa City Council from the Trust in Affairs party, one of the leaders of the local territorial defense, was spotted.

Kislovsky had fun in the company of a transvestite, Odessa telegram channels write. The underground brothel is located in the Nemo Hotel, which is owned by Kislovsky. The dolphinarium is used as a cover for perversions in the hotel, where Odessans with children go. The Kislovsky family owns a large private zoo in Odessa.
According to the Odessa media, the Kislovskiy family runs a tourism business in the Crimea.

Video 18+
Mjeda wa Ukraine kakamatwa ugoni akiwa na mwanaume anayejifanya mwanamke hatar sana!
IMG_6130.jpg
 
[emoji298]️[emoji298]️ In Odessa, the commander of the therodefense got caught in an orgy with a transvestite.

In the underground brothel of the Odessa region of Arcadia, Colonel of the Armed Forces of Ukraine Andrey Kislovsky, a deputy of the Odessa City Council from the Trust in Affairs party, one of the leaders of the local territorial defense, was spotted.

Kislovsky had fun in the company of a transvestite, Odessa telegram channels write. The underground brothel is located in the Nemo Hotel, which is owned by Kislovsky. The dolphinarium is used as a cover for perversions in the hotel, where Odessans with children go. The Kislovsky family owns a large private zoo in Odessa.
According to the Odessa media, the Kislovskiy family runs a tourism business in the Crimea.

Video 18+
Mjeda wa Ukraine kakamatwa ugoni akiwa na mwanaume anayejifanya mwanamke hatar sana!View attachment 2172186
 
Ambazo ni technology ya USSR/Urusi aliyoiacha Hapo.... Ukiitaa mwehu unakasirika hakika Leo ni Siku ya Wajinga ..wajinga mnajipambanua tu ...katika vinu vyote vilivyivyo Ukraine kipi kemejengwa Baada ya 1991.... Mwehuuu oyeeeeeeeee
Huyo jamaa ajapigana na wewe tu nimchochee?
 
Hii vita ikiisha wauza mafuta wajiandae kisaikolojia, taratibu mafuta yanatafutiwa mbadala maana wenye nayo wana jeuri. Wale watu wa green energy wanaomtumia dogo Greta Thunberg wataongeza visingizio vya kupunguza fosil fuels. Hata kwa matumizi ya kiraia yasiyo ya viwandani makampuni sasa yanazidi kuona uhitaji wa magari ya umeme na raia watayapokea kukiwepo economies of scale na bei nzuri kwa watengenezaji serious.
Kina Qatar huwa nawafurahia kwa kuwa na sovereign funds za uhakika wanajitahidi kuwekeza sehemu nyingi ila kuna nchi zina mafuta na zinazubaa nayo hazijiongezi sekta nyingi mfano Nigeria.

Ujerumani ikitoka hapa itatafuta alternative ya Russian gas. Walipumzisha mitambo ya nyuklia kiustaarabu wakati ina gharama ndogo za uendeshaji wakang'ang'ania gesi ya Urusi na sasa ni ya lazima kwao. Sasa Russia anayatumia kama leverage itabidi wajitafakari.

Russia tangu ikiwa empire, ikaja Soviet Union na hii Federation huwa unabadili viongozi kwa utata. Tsar Nicholas II na familia yake nzima waliuwawa na Bolsheviks akaja V.I Lenin akafia madarakani kwa utata, Josef Stalin akafuatia baada ya kuwaua kina Leon Trotsky, Stalin akafia madarakani kina Beria na Kaganovich wakabishana na kuuana akaja Nikita Khrushchev. Khruschev akaondolewa kwa njama ya kura za ghafla akiwa mapumzikoni akafuatia Leonid Brezhnev, akakaa sana akaumwa akafa akafuatiwa na Gorbachev. Gorbachev akataka kupinduliwa na team ya watu inaongozwa na makamu wake ila ikashindwa hapo cheo cha makamu wakakifuta. Mwaka huohuo Soviet Union ikavunjika, akafata Boris Yeltsin mpaka 1999 anajiuzuru mwaka mpya. Akafuata Putin ambaye aliondoka kiaina 2008-2012 na sasa bado yupo.
Viongozi wa Urusi hawana transition ya kueleweka. Si ajabu kutokana na hii vita uongozi ukabadilika
Bora wewe mjomba.... Kongole ..
 
Europe cannot replace cheap Russian gas with expensive American LNG.

This was announced by Hungarian Prime Minister Orban to radio station Kossuth Rádió. He added that he considers such proposals "absurd" and detrimental to the national economy.

Orban also recalled that some European countries do not have access to the sea and LNG terminals, so they cannot refuse Russian imports. Galip SV Liwagu

“This is not about putting on a sweater in the evening and turning down the heating a little or paying a few forints more for gas, but about the fact that if there are no energy sources from Russia, there will be no energy in Hungary at all,” he is quoted as saying. TASS.View attachment 2171980
Halafu Kuna kenge maji PRONATOAMERICA za Mchambawima Zina shupaza shingo..waliopo huko wanakwambia hawawezi kusurvive bila Urusi..... mtachakazwa mpaka mfanane wote .... Putin wekaaaaaaa majaroooooooo cross dongo nyingine wajiunge....washajifunga cross ya kwanza

Screenshot_20220331-224851.jpg
 
Vikos vya UKRAINE vimeukomboa Kwa asilimia 100 mji wa Bucha ambao ilikuwa na masalia ya warusi, baada ya warusi 27 kujisalimisha , wawili wakiwa wameuwawa, Msemaji wa Jeshi la Ukriane Ilia amethibitisha Muda huu

Wakati huo mpaka sasa Urusi kapoteza USD 10Biln

View attachment 2172109


Britanicca
Urusi imesha tangaza kujiondoa kaskazini mwa Ukraine ikiwemo mjini Kiev na zaidi ya asilimia 40 wanajeshi wa Urusi walio kuwa kwenye mji huo wamesha ondoka kwenda nchini Belarus hata kinu Cha nyukilia kilichoko kaskazini mwa Ukraine wamekikabidhi kwa Ukraine leo na kuondoka.
 
Putin amejifunza kwa wenzake wengi waliomtangulia, sio rahisi wenzake kumuondoa. Anaijua vizuri na ameiweka FSB mfukoni kwake, ameweza kuitumia vizuri kisiasia kujiimarisha, kuwaweka wanasiasa wengine ambao wangeweza kumpa challenges na Oligarchs kwenye himaya yake.

Alipomuachia Medvedev Urais mwaka 2008 hadi 2012 bado yeye alibaki na nguvu zote za kuindesha Russia akiwa waziri mkuu!
Putin hafiki hata nusu ya uwezo wa Lavrentiy Beria aliyedumu kama Chief wa NKVD kwa miaka 15 na muasisi wa gurags, kabla ya hapo alikuwa senior officer kwenye Cheka na OGPU. Huwezi linganisha changamoto za Cheka au NKVD na changamoto za FSB aliyoongoza Putin. Beria alikuwa na roho mbaya na aliua millions of people pamoja na hayo alikuwa na akili sana. Ndio kashiriki the Great purges na alikuwa anatoa order za kuua yeye, forced labour kwenye gurags ndio alisimamia, ndio waasisi wa purges hao, hawa kina Putin walijifunza na kuwasoma.

Beria alikuwepo wakati mkuu wa NKVD muuaji Genrikh Yagoda anauwawa na yeye akatoka kuwa deputy na kuwa chief. Mtu aliyeishi miaka zaidi ya 25 na Stalin (nadhani unajua Stalin aliuwa wangapi tena walio karibu yake) kipindi cha kupambana kuishika USSR, WW2 mpaka Cold War. Wakaiba blueprints za nuclear warhead kutoka Marekani, mpaka akawa mtu wa kwanza kuitwa Stalin alipodondoka kabla ya kufa, mtu aliyeifunga Moscow kwenye msiba wa Stalin akafukuza wanajeshi wote akaleta NKVD ndio walinde ili wakimaliza msiba awateke politburo wenzake aongoze nchi, mtu aliyekuwa na mafaili ya kila mtu pale kwenye Presidium ya USSR huwezi nishawishi ana uwezo sawa na Putin hata siku moja.
Pamoja na hayo yote ila Beria aliuwawa kwa mipango iliyosukwa na Nikita Khrushchev asiye na elimu kubwa wala background ya maana tena akiwa position isiyo na maamuzi sana. Sasa unasemaje Putin hawezekani

Hakuna achievements ngumu za Putin ambaye alikuwa Director nchi ishatulia wahuni wameisha na Cold war imeisha. Hiki kitu Russia wamezoea, sio utamaduni wao eti mkuu wa nchi kastaafu kwa hiari. Medvedev tu ndio alikuwa kibaraka pale akastaafu
 
Urusi imesha tangaza kujiondoa kaskazini mwa Ukraine ikiwemo mjini Kiev na zaidi ya asilimia 40 wanajeshi wa Urusi walio kuwa kwenye mji huo wamesha ondoka kwenda nchini Belarus hata kinu Cha nyukilia kilichoko kaskazini mwa Ukraine wamekikabidhi kwa Ukraine leo na kuondoka.
Sababu ya Kukabidhi ni kwasababu ya Radiation ambazo hawakujua kuwa zitawaathiri
 
Back
Top Bottom