Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuvunjwa Bomba ni kupoteza muda na ujinga TU,
Dawa yake ni kuacha kununua mafuta ya Urusi na pia kama mmaweza kausheni hayo mafuta ardhini,
Na ikiwa mkiacha kununua atauza kwa nchi nyingine kama Uchina India na mataifa mengine.
Wanunuzi sio nyinyi TU.
Kwani Roots ndio wenye mafuta mkuu.Yaani Watanzania sijui mkoje,mmeharibika mpaka mambo ya msingi mnayaingiza kwenye ushabiki wa Yanga na Simba!!Poleni sana,you need to be serious.
 
Wachambuzi wa uchumi wanasema hiyo ni kama kumwaga gunia la sukari baharini!
Demand ni mapipa milioni 100+ per day!Sasa hayo mapipa milioni 1 yatareplace vipi Pipa mil 100+!
Biden anahaha maana Kuna uchaguzi unakaribia hivyo anajaribu kupunguza makali Kwa wananchi wake!
Wachambuzi feki hao. Get your facts straight ->
EIA’s preliminary data for 2021 indicates that U.S. total petroleum production averaged about 16.582 million barrels per day (b/d), which included:



Total U.S. petroleum consumption (reported as product supplied) averaged about 19.782 million b/d in 2021. The difference between petroleum consumption and production is mainly composed of net imports (imports minus exports) of petroleum and changes in petroleum inventories.


Let freedom ring:To life,liberte' and pursuit of happiness.
 
S-400 proves again its inefficiency, Root Joannah

BREAKING: Governor of Belgorod, Russia, claims two Ukrainian helicopters flew into Russian airspace and shelled an oil depot.
Nina wasiwasi Russia itakuwa imepiga yenyewe. Yaani hii taarifa wa kwanza kuitoa ni wao wenyewe na siyo Ukraine.

Kuna nini? Kuna baadhi ya terms wanataka kuzibadilisha kwenye mazungumzo yao na Ukraine?

Ina maana ita justify wao kutumia nguvu kubwa sana ili iwe sababu ya Ukraine kukubali matakwa yao?

Vita zina propaganda sana!
 
Wakuu tuwe wawazi. Zile silaha wanazotumia kusambaza vifaru vya urusi na rule kama RPG flani hivi waUkraine wamepewa na UK kwa kutungulia ndege. Bomu linafuata Moshi wa engine hadi kieleweke vimemaliza na kumchosha kabisa Russia.

General mmoja wa US anasema tusitegemee kabisa kuna convoy ya vifaru vya Russia Ukraine. Ambushi ya kikosi kidogo cha kimkakati cha Ukraine kinafuta convoy nzima na kuacha vifaru mascrapers.


Vita imeisha wakuu.
 
It's now spring in Europe, no need for Russian gasView attachment 2171260

IMG_2004.jpg
 
The main thing from the briefing of the Russian Ministry of Defense.

▪️Russian aviation hit 52 military facilities of Ukraine.

The Russian military shot down another Ukrainian Mi-8 helicopter and eight drones, including a Bayraktar Tb-2.

▪️The Russian Armed Forces destroyed five ammunition depots and rocket and artillery weapons in Ukraine and one fuel depot with high-precision weapons.

▪️Since the beginning of the special operation, the Russian Armed Forces have destroyed 353 Ukrainian drones, 202 MLRS installations and 1,839 tanks.
 
Kwanini walipue?
No need kulipua mabomba, Vladimir apewe hizo takataka zake. Ndani ya miezi sita West watajenga mfumo madhubuti wa nishati usiotegemea mafuta wala gesi ya Urusi. Putin atakoma kutisha kuangamiza dunia kwa mabomu ya nuklia. Ataangamia yeye kabla ya dunia-huo ndio ukweli.
 
Muongezee hii

Russia started its airborne laser weapons program in the 1970s, with plans to use an aircraft-mounted laser as an anti-satellite weapon.
 
Wewe si fundi wa kugoogle laser wakati hypersonic haujui ... Google sasa kama Urusi hana ....
 
Kuna taarifa kuwa Ukraine imeshambulia ndani ya Russia

Hii Habari imeripotiwa na BBC, Reuters na Shirika la Habari la Urusi



Jana Jeshi la marekani lilithibitisha msaada wa Silaha umefika Ukraine zikiwemo Helcopter, Habari bado haijathibitishwa na Jeshi la Ukraine ila Gavana wa jimbo lilishombuliwa anasema ni Helcopter za Ukraine..


Nadhani kama hali ndio hii endapo Ukraine watapewa Ndege za kijeshi basi watashambulia Ikulu ya Russia, this is very worrying to Russia
 
Kuna matoto majinga sana Bora ubadiriashane na Gunia la mkaa utapikia ... yaani nilienda kwenye Uzi wake huo nikawasoma nilipofika tu pale wanaulizana kwani HYPERSONIC MISSILE ndio ikoje inatofauti Gani na missile zingine nkaona hili darasa sio langu ntawachanganya Hawa watoto.

Mkuu hao watoto ni wajinga sana bora vyuo vifungue warudi shule. Sahv wanamka wanakunywa chai wanaenda room kuchati utaishia kupoteza muda na kuacha kufanya mambo yako ya kiuchumi kubishana na mtoto anaelishwa na baba na mama utapoteza muda wako tu.

Ukiona mtu anaishabikia US bhs jua haya yafuatayo
1. Shoga
2. Kibaraka wao au anafanyia kazi taasisi zao
3. Akili yake haipo sawa
 

Russia’s Gazprom says gas exports to Europe via Ukraine continue​

Russian state-owned energy giant Gazprom has said it was continuing to supply natural gas to Europe via Ukraine in line with requests from European consumers.


The company said requests stood at 108.4 million cubic metres (mcm) for April 1, down from 109.5 mcm a day earlier.

Watanzania acheni kujidanganya EU na Ulaya ni Mataifa yenye uchumi mkubwa sana, kwa sasa wanaweza kutunishiana misuli na USA labda na China ila si Russia...
 
Unaongelea nn hapa? Una taarifa yoyote ambayo umeona Russia ameingiza meli ya mafuta toka taifa jingine? Sasa nenda USA hapo wanaiport Crude Oil toka Russia tena hapa karibuni wameiport kwa wingi sana toka vita ianze ili wawe na akiba ya kutosha ya mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaelewa huyo basi tu anakaza ndonga

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Njia nyingine ya kujua kinachoendelea katika hii operation ya Urusi kwa Ukraine ni kupima majibu ya wafuasi wake kwa kuangalia aina ya matamshi wanayotoa wanapoielezea Urusi kwa wanaowakwaza.

Kuhusu Urusi kulipuliwa maoni yangu ni kuwa kuna watu hawataki hii vita iishe na hao watu si Urusi. Sidhani kama Urusi amefanya igizo la kujilipua.
Hii habari imetangazwa na Urusi yenyewe kwa hiyo ina walakini mkubwa sana kama ni kweli au kuna lengo fulani linalo kusudiwa.
 
Back
Top Bottom