Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji627][emoji635][emoji427] Tokyo will classify the disputed Southern Kuril Islands as illegally occupied by Russia and an "inherent" part of Japan in its Diplomatic Bluebook for 2022, Kyodo news agency reports, citing a draft of the document.

The designation for the islets, known in Japan as northern territories, will appear for the first time since 2003, the report read.
wnapoelekea hawa watakuja kupigwa little boy second time pasawazishwe waanze tena

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Anayehatarisha usalama wa Russia ni NATO zaidi kuliko Ukraine.

..ila Ukraine amekuwa akihujumiwa na jirani yake kila anapochukua uamuzi/njia anayoona inamfaa hasa isiyompendeza jirani yake.

Mwaka 2014 raia wa Ukraine walipomuondoa Yanukovych kwa amani,Jirani yake alijibu kwa kumpora Crimea kibabe.....akaona haitoshi akaanzisha uasi/Vita huko mashariki mwa Ukraine kwa mgongo wa raia wa Ukraine wenye asili ya Urusi.

Lakini huyu jirani ana majirani wengine Latvia, Estonia , Lithuania ambao ni wanachama wa NATO ila hawajawahi kuvamiwa wala kumegewa ardhi ila Ukraine ambaye hayupo huko NATO kavamiwa kabisa.

Hapa Ukraine anaonewa tuu kwa kisingizio cha usalama wa nchi.
usiwapangie cha kufanya

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Dunia hii tuliyopo na miaka hamsini mbele itaendelea kutawaliwa na technoogia ya mzungu. Huawei yupo mbele kwenye technologia ya 5G ila ataenda nayo wapi wakati kafungiwa kwenye soko lenye hela? Uchumi wa nchi za magharibi unaruhusu watu kununua luxury tofauti na uchumi wa china ambao bado haujastabilize. Serikali ya china ikiacha kuusapoti uchumi wake kwa kutokupump hela nyingi kwenye ujenzi na bond ule uchumi wao utapungua asilimia za kuongezeka. Kwa sasa bado kwenye technologia china hajafika na ndio maana haichukui Taiwan kwa nguvu. Siku china akifika unapopasema Xi anatuma jeshi fasta kuichukua Taiwan maana hataogopa sanctions kwenye eneo lolote. Xi ni katili kupita maelezo ila bado anacalculate risk maana anajua hana uwezo bado kwenye higher technology. Bado uwekezaji ambao marekani ameufanya kwenye vyuo vyake ni mkubwa kiasi kwamba ukiwa tu genious ukienda kusoma kwao mara nyingi hurudi maana watakung'anga'nia.
Ndugu yangu twende kwa fact technology gani mchina hana? Usirudie ulizosema maana ni uongo, na kwenye swala la uchumi aliyestable na aliyeweza kupambana kwa haraka na COVID-19 ni mchina hakuna mwingine dunia ilivyo leo sio kama jana. TUSIDANGANYANE
 
Russian Ambassador to the United States Antonov called the new package of measures against Russia "a deliberate attempt to limit its technological development":

“It has gotten to the point that the US Treasury is now threatening sanctions for any interaction with Russia in the aerospace sector, despite NASA assurances that it is extremely interested in maintaining the dialogue.”

Antonov noted that the restrictions are accompanied by unsubstantiated accusations. He urged the United States to "stop waving the sanctions club" that strikes at the States themselves.

A new package of restrictions against Russia was introduced the day before. 13 citizens and 21 enterprises fell under it.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
Ningekuwa hapa tokea awali ningetoa somo si kwamba vita hii na impact yake nimesimuliwa bali nimeona pande zote mbili! Russia ana tabu sana ninaishi Russia unapata mwaka wa 7 sasa
Mkuu hebu tenga muda utuandie vizuri kuhusu hii mada, naona taarifa nyingi za pro Russian wa hapa Tz zina ujinga mwingi.
 

Another video appeared on the network, presumably with the moment of the Ukrainian helicopters hitting the oil depot in Belgorod.

According to preliminary information, two employees of the facility were injured. The Ministry of Emergency Situations is now building up a group to extinguish the fire.

Residents of nearby streets were temporarily evacuated.
Galip SV Liwagu
 
Peresvet (laser weapon)
Ndude hii wakisikia Wanato wanatetemeka.
 
The United States cannot afford a cold war on two fronts - with China and Russia.

Foreign Policy writes about it.

The publication notes that the "new world order" collapsed due to strategic myopia, indiscriminate use of force and inferior change. Now we need a world order in which there will be no previous mistakes.

The authors of the publication believe that the States should conclude an agreement with Russia on Ukraine, and after that move on to extensive and probably lengthy negotiations on arms reduction with Moscow, and eventually with Beijing.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
The administration of Belgorod is evacuating residents of the streets adjacent to the oil depot, where the fire occurred.

This was reported to the Ministry of Emergency Situations. The department is now building up forces and means to extinguish the fire.

As previously reported by the governor of the region, the fire occurred due to a strike on the oil depot by two Ukrainian helicopters.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
Fire in Belgorod due to an airstrike by the Armed Forces of Ukraine

Since morning, photos and videos of a fire at an oil depot in Belgorod have been published on social networks. Now he is being eliminated by the EMERCOM brigades, who share footage from the scene. The staff of the department was evacuated, two people were injured.

The fire, which has been assigned an increased rank of complexity, occurred after a strike from two helicopters of Ukrainian troops that flew into Russia at a low altitude, said the governor of the Belgorod region Vyacheslav Gladkov.

Belgorod is located near the Russian-Ukrainian border. This is the second state of emergency in the Belgorod region in a week. Earlier, the fire broke out at the ammunition depot.
Hapa jukwaani tuliambiwa anga la Mrusi linalindwa kiasi kwamba Ukraine hawezi hata kurusha jiwe huko!
 
Top news for the day:

- two people were injured in a fire at an oil depot in Belgorod. According to the governor of the region, the fire occurred due to an air strike from two helicopters of Ukrainian troops;

- Investigators of the Russian Investigative Committee charged 22 defendants with genocide of the Russian-speaking population in Donbass, including high-ranking military officers;

— Japan imposed sanctions against four organizations and two individuals from Russia.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
“It turns out such a vicious circle: rising prices, rising taxes – this is the prospect for the foreseeable future.”

Europe, Latin America and even the US will not be able to avoid the coming inflation with rising prices against the backdrop of anti-Russian sanctions. Such a forecast in a conversation with RT was given by the Irish historian Martin McCauley:

“Globalization has failed, [supply] chains are breaking. Accordingly, [new] goods are not delivered, and existing ones increase in price.

All state authorities tell their peoples the following: “You will have to bear the main blow, and this will continue at least this whole year. We hope next year will be better."
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
Kuna mdau alisema Russia hana laser weapon nikaona watu wanaizungumzia Russia ila hawaijui basi walau wangekuwa wanagoogle tu mambo yasiwe weapon. Hizo energy weapon sio mchezo ni hatari sana tena sana...kama vita isipopiganwa sasa kati ya NATO na Russia basi Russia itafufua project zake nyingi za zamani na itaunda madude mapya
 
US hatakaa amsahau PUTIN kwa kumdhalilisha kiasi hicho mbele ya umma wa DUNIA nzima.
#Fear the Bear
 
Back
Top Bottom