Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia anadispose silaha za zamani za enzi za Soviet Union. Kwa upande wa teknolojia ya silaha, Russia yupo mbele zaidi, issue ni uchumi mdogo ukilinganisha na USA.
Kwa hiyo anakubali wanajeshi wake wakauawe na silaha zake ziharibiwe kwa makusudi?
 
Hii ni Urusi kajilipua kumsingizia Ukraine au ni kweli UKRAINE kafanya yake🤔
Screenshot_20220401-085109.png
 
watu wabishi sana wakati ht ukiwakekea evidence
24 Nov 2021 — ASML is the only firm in the world capable of making the highly-complex machines that are needed to manufacture the most advanced chips.

unamuelekeza mtu anasema hujui kuandika, unamuwekea links still anabisha duh, nmenyoosha mikono
PUMZIKA KISHA MUULIZE, UKRAINE ANAPASULIWA HAPASULIWI. ATAKUCHOSHA MZEE.
 
Maswali ninayojiuliza leo baada ya kusoma tetesi na propaganda kadhaa kadhaa:

Europe imekubali kulipa gesi kwa pesa ya Russia au Mrusi kapoteza soko?

Anga la Urusi linaudhaifu wa kuweza ruhusu ndege za kivita za adui 🤔?
 
❗️ Summary of the special operation in Ukraine. What is known in the morning:

✔️The number of citizens who arrived in Russia from the territory of Ukraine, the DPR and the LPR exceeded 548 thousand people.

✔️Georgia participates in all international financial sanctions that were imposed against the Russian Federation due to a special military operation in Ukraine, President Zurabishvili said.

The U.S. authorities have completed the transfer of a $350 million military aid package to Kiev and have almost completely sent aid for $200 million, the Pentagon said.

✔️Austria opposes the imposition of an embargo on the supply of oil and gas from Russia.

The US authorities intend to add 120 more organizations of the Russian Federation and Belarus to the sanctions lists "to cut them off from high technologies," the White House said.

✔️ The UN Human Rights Council called on states to stop adopting unilateral sanctions, condemning their use as a means of political and economic pressure.

The situation with high gasoline prices at American gas stations has become a crisis, said US President Biden.

✔️Britain against too early peace between Russia and Ukraine, writes the Times.
 
Komredi!

Tupo pamoja!

Siku hizi nimeona ni bora zaidi niwe msomaji ili kwa kile kichache nilichokuwa nacho nikiongezee kiwe kingi kwa kupitia kusoma mawazo ya wengineo.

Wachina wana msemo wao mmoja unasema:" Kwa aliye kimya anapata muda wa kuyajua mengi kwa sababu anakuwa ni observer".

Najijua nina kichwa kizito lakini wachina vilevile wana msemo wao unaosema: “Do not be afraid of slow, only be afraid to stop.”

Ni kama mti unaweza kuwa umetulizana lakini upepo hautouacha utulie kwa maana nimekumbwa na kiu ya kujifunza na miongoni mwa njia niliyochagua ni hiyo.

Ni kama Rumi alivyosema: Silence is an ocean. Speech is a river. When the ocean is searching for you, don’t walk into the river. Listen to the ocean.
NANI KAKWAMBIA UNA KICHACHE, USIVUNJIE HESHIMA KWA KUMSHUSHA hammaz
 
Hadi leo hujamwelewa Putin wala watu wa sehemu zile. Putin ana ndoto kurudisha ukuu wa Urusi wa zamani. Ukuu wa Urusi ulikuwa pamoja na koloni zake. Koloni hizo unajua au hujasikia? Poland ilikuwa mojawapo, Ukraine, Estonia, Latvia, Georgia ...... hapo sababu watu hao wameamua kutorudishwa katika hali ambayo wengi wanakumbuka kama utumwa.
Nenda tu, uwaelimishe hawamjui Putin, lakini wewe utawafundisha sasa...
Nakutakia mafanikio mema!
Ha ha ha
 
Acha wapeane moyo ... Urusi kaanza kuzifanyia majaribio laser test tangu 2007.... Wanajidanganya hana ngoja waje kushangazwa kama walivyoshangaa Kwa hypersonic.... Uzi wenyewe aliyeanzisha anauliza kwani HYPERSONIC MISSILE NI ZA AINA GANI .... Nkaona niwaache niishie Hapo ... sasa mtu hata HYPERSONIC hazijui na zimetumika juzi tu ..utamueleweshaje akuelewe ... Ni sawa na kufundisha CALCULUS darasa la 2C mwenye hesabu za kuhama na Moja kichwani.
 
Ficha ujinga wako .kwenye Uzi wako huo unauliza hypersonic halafu ndio uweze haya mengine unakichwa Cha kuku hakibebi mzigo ....
 
⚡️Poland to block coal imports from Russia.

“We cannot wait any longer for the EU reaction on the issue,” said Polish government spokesman Piotr Muller. “We are aware of the risks.”

Almost 20% of Polish coal comes from Russia.
 
Kama Idd Amini angekuwa na akili mbovu kama huyu raisi wa ukraine vita ya kagera ingesababisha mauaji mengi kwa raia pale majeshi ya tanzania yalipomzingira na kuanza kuingia miji ya uganda lakini aliamuru jeshi lake liweke silaha chini na kujichanganya na raia na yeye kuwaacha waganda waendelee kula ugali wao,na wengi waliokuwa wakipiga makofi na kushangilia walikuwa wanajeshi wa uganda waliovaa kiraia .............lakini raisi wa ukraine alipuuza sasa ni maumivu kwa raia wake ..............vita nzuri ni ile mnayopigana msituni tu wananchi wakiendelea kuwalipia mapato.............
Hiyo vita ya kagera wewe unaijua vizuri?
 
Fire in Belgorod due to an airstrike by the Armed Forces of Ukraine

Since morning, photos and videos of a fire at an oil depot in Belgorod have been published on social networks. Now he is being eliminated by the EMERCOM brigades, who share footage from the scene. The staff of the department was evacuated, two people were injured.

The fire, which has been assigned an increased rank of complexity, occurred after a strike from two helicopters of Ukrainian troops that flew into Russia at a low altitude, said the governor of the Belgorod region Vyacheslav Gladkov.

Belgorod is located near the Russian-Ukrainian border. This is the second state of emergency in the Belgorod region in a week. Earlier, the fire broke out at the ammunition depot.
Safi sana Ukraine
 
Back
Top Bottom