Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

'Baba mwenye nyumba' amesema kesho anawafukuza 'wapangaji' ambao hawatalipia kodi ya nyumba

Putin amesema kuwa kesho nchi za EU ambazo zitakuwa hazijaingia ktk mfumo mbadala wa SWIFT na kulipia manunuzi ya gesi kwa pesa ya ruble, atazikatia huduma ya kuwasambazia gesi.

"Hakuna mtu anatupatia sisi bidhaa zake bure, na sisi hatutatoa sadaka gesi yetu...mkataba uliopo wa kuwasambazia gesi utasitishwa"

Screenshot_20220331-192355_Chrome.jpg
 
Kuuliza 'Russia ana silaha gani bana?' Kutamfanya mtu asikujibu maana suali ulilouliza linaonesha itakuwa ngumu kuelewa jibu! Mtu anayejua military 'stuffs' hata layman hawezi kuuliza swali kama hilo. Wewe ni beyond layman. Hatuwezi kumfundisha mtoto hesabu za aljebra wakati yeye yupo kwenye '...unaweka moja kichwani...'

Kaa hapo hapo kwenye 'Russia ana silaha gani bana?'

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Da hili jibu ulilompa sio la Dunia hii.
Sisi watu wenye hekima zetu tumeshaona uzito wa jibu hili.

Ningeku mimi ndo umenijibu hivyo ningepotea kabisa humu jamvini Hadi vita iishe ,au ningebadili Username yangu.
Mwamba umetisha.
 
'Baba mwenye nyumba' amesema kesho anawafukuza 'wapangaji' ambao hawatalipia kodi ya nyumba

Putin amesema kuwa kesho nchi za EU ambazo zitakuwa hazijaingia ktk mfumo mbadala wa SWIFT na kulipia manunuzi ya gesi kwa pesa ya ruble, atazikatia huduma ya kuwasambazia gesi.

"Hakuna mtu anatupatia sisi bidhaa zake bure, na sisi hatutatoa sadaka gesi yetu...mkataba uliopo wa kuwasambazia gesi utasitishwa"

View attachment 2170738
Huyu jamaa kawafanyia NATO ubabe kijeshi na Sasa anawafanyia west ubabe kiuchumi.
Kuivamia Urusi kijeshi ni kujitoa mhanga,na kuiwekea vikwazo Urusi ni kujidhoofisha kiuchumi,yanenwa Urusi sio zimbabwe
 
Hii Safi sana.
Hammaz katika ubora wako.
Nakuaminia.
Komredi!

Tupo pamoja!

Siku hizi nimeona ni bora zaidi niwe msomaji ili kwa kile kichache nilichokuwa nacho nikiongezee kiwe kingi kwa kupitia kusoma mawazo ya wengineo.

Wachina wana msemo wao mmoja unasema:" Kwa aliye kimya anapata muda wa kuyajua mengi kwa sababu anakuwa ni observer".

Najijua nina kichwa kizito lakini wachina vilevile wana msemo wao unaosema: “Do not be afraid of slow, only be afraid to stop.”

Ni kama mti unaweza kuwa umetulizana lakini upepo hautouacha utulie kwa maana nimekumbwa na kiu ya kujifunza na miongoni mwa njia niliyochagua ni hiyo.

Ni kama Rumi alivyosema: Silence is an ocean. Speech is a river. When the ocean is searching for you, don’t walk into the river. Listen to the ocean.
 
View attachment 2170660

India set for dollar-evading rupee-ruble payment system

The Indian government is reportedly considering taking up the Russian Central Bank’s payment system to bypass dollar-denominated trade, western sanctions and Moscow’s expulsion from the SWIFT banking system.

Foreign Minister Sergey Lavrov is set to visit India on Thursday when a final decision is expected, but not before US Sec of Commerce Gina Raimondo slammed New Delhi’s possible deal as “deeply disappointing”.

Last year India exported $3.3bn of goods to Russia and imported just over double the other way.
Marafiki wa ukweli.
Brics at work
 
🇺🇸🇷🇺 US lawmakers on the House Foreign Affairs Committee have introduced legislation to coordinate evidence collection for alleged war crimes committed by Russia during its special operation in Ukraine.

❗️Moscow has vociferously rejected claims that Russian troops have violated conventions regulating armed conflict, but accused Ukrainian forces of using typical terrorist methods, such as hiding behind civilians and positioning weapons systems in civilian areas.
 
🇺🇸🛢As the Biden administration announces the release of a record 1 million barrels daily from its oil reserves over the next six months to alleviate a supply crunch, Donald Trump says it will not lower prices but instead will deplete the nation’s strategic stocks.

Trump gave his own administration credit for building up American oil reserves to 100% during a period of low prices, and argued it should only be used for large-scale emergency or conflict.

"He’s going to take what we so carefully and magically built, and what will be a futile attempt to reduce oil and gasoline prices. They will soon bring it down to empty again," he said.
Dah USA watalazimika kutumia mafuta yaliyowekwa kama akiba bila kupenda .
Kweli Urusi sio zimbabwe.
 
Komredi!

Tupo pamoja!

Siku hizi nimeona ni bora zaidi niwe msomaji ili kwa kile kichache nilichokuwa nacho nikiongezee kiwe kingi kwa kupitia kusoma mawazo ya wengineo.

Wachina wana msemo wao mmoja unasema:" Kwa aliye kimya anapata muda wa kuyajua mengi kwa sababu anakuwa ni observer".

Najijua nina kichwa kizito lakini wachina vilevile wana msemo wao unaosema: “Do not be afraid of slow, only be afraid to stop.”

Ni kama mti unaweza kuwa umetulizana lakini upepo hautouacha utulie kwa maana nimekumbwa na kiu ya kujifunza na miongoni mwa njia niliyochagua ni hiyo.

Ni kama Rumi alivyosema: Silence is an ocean. Speech is a river. When the ocean is searching for you, don’t walk into the river. Listen to the ocean.
Safi sana kiongozi tuko pamoja tuendelee kuelimishana na kujifunza kama usemavyo bila kuchoka.
 
The ruble is no longer rubble🙌🙌🙌🙌(watasha wameamua kuja na msemo mpya mjini)

Ruble imeshindikana kuanguka, imepanda tena thamani...wachambuzi wa mambo wasema lengo la vikwazo vilivyowekwa na mabepari wa kimagharibi (kuuangusha uchumi wa Russia) halitafikiwa

Pia wanasema ruble kupanda thamani, ni ishara kuwa mbinu za kimedani alizotumia Putin kudhoofisha vikwazo alivyowekewa kwa njia ya kuamua kuuza gesi na mafuta yake kwa sarafu ya ruble zimefanikiwa

Screenshot_20220331-195254_Chrome.jpg
 
Washington has eased sanctions on Russian agricultural products, including fertilizers, placed on Moscow over the crisis in Ukraine. The move aims to protect US farmers from a shortage of chemical products as food prices in the country continue to soar.

The Office of Foreign Assets Control (OFAC) of the US Treasury recently published a new general license dated March 24, which effectively removed restrictions on the import of Russian fertilizers.

The document authorized transactions relating to the exportation and re-exportation of agricultural commodities, banned last month by Washington’s ‘Russian Harmful Foreign Activities Sanctions Regulations’.

The list of agro-related products now exempt from sanctions includes food for humans, live animals, vitamins and minerals, food additives and supplements, seeds for food crops, fertilizers, and reproductive materials.

READ MORE: US ramps up imports of ‘banned’ Russian oil

Exemptions also cover medicine, medical devices, software updates, and replacement parts for medical devices and Covid-19-related medical components. Analysts say the EU may soon mirror the measure
Rt.com
====
Taratibu tutaanza kuelewana.
 
Kikubwa wakiwa na ruble watauziwa tu. Mdogo mdogo.
 
Google claims Russian hackers targeted NATO & Eastern European networks

Google’s Threat Analysis Group has published a report alleging a Russian-based group known as Callisto has attempted to hack into NATO’s Center of Excellence and military networks of unidentified Eastern European nations.

Credential phishing campaigns to gather foreign and security policy intelligence were apparently launched using newly created Gmail accounts to non-Google users, TAG reported, while several US NGOs and think tanks were also targeted.

Google said it was unable to ascertain the success rate of these attacks due to the non-Google destination of the campaigns.
 
Nyie nyie mmesikia huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hii movies sijui inaelekea wapi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

[emoji96] US removes Russian fertilizer from US sanctions list to avert food shortage crisis.

[emoji96] Marekani yaondoa mbolea ya Urusi kwenye orodha ya vikwazo ili kuepusha tatizo la uhaba wa chakula.

Sasa najiuliza watailipiaje [emoji849]
Mrusi anawanyoosha mpaka wanachangayikiwa .... Vikwazo vyao nikama vile nyoka koboko ameingia ndani unataka unafunga mlango umpige mara umeme unakatika vile utarukaruka .... Ndio utajua kwanini Lucky Dube aliimba NO BODY CAN STOP REGGAE 🤣🤣🤣🤣 .... UTACHEZA REGGAE BILA MDUNDO
 
Back
Top Bottom