Aandae Rubo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku kadhaa uko nyuma tulisema Russia kaonesha utulivu wa hali ya juu kwenye hizi sanctions anazopewa. Na tukasema kua Western wanakurupuka mnooo, Russia hajibu sanctions papo hapo mambo yote yako planned kwasabab sio mara ya kwanza Russia kupokea vikwazo.
Tukawauliza tu swali dogo kua ka kweli Western wamezamilia kufinya mifereji ya fedha kuingia Russia mbona hawakati Gas ambayo wanailipia pesa ndefu kila uchao. Wakashupaza tena shingo etii ohh Russia ana njaa mwambieni aifunge sasa kama ana jeuri hiyo.
Hapa ndio tuone hizi njemba shabiki za western na wasi hata kama wanaeza kuongoza vizuri affairs za familia achilia mbali jamii zinazowazunguka. Sasa kama angekurupuka kuikata hii ruble ingepanda vipi thamani na angenufaikaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Only
Genius, Healthy and Smart mind knows well nini Putin anafanya.
Kaishi na vikwazo zaidi ya 2700 yet ni wa pili kwa military power and eleventh world biggest economy duniani. Tukasema tena Putin He's so smart haezi kurupuka kufanya jambo hivi hivi. Toka 2014 kakaa anawachora tu kwa kuinamisha kichwa chini wakajua washamueza.
Watoto wa USA na Western kwa ujumla tawi la JF wakashupaza shingo. Na sio kosa lao bali uwezo duni wa kufikiri walionao. Unaowafanya kuona wote waliowa-outsmart ni wehu wajinga hawajielewi. Ingawa hii nayo ni sifa ya mpumbav ya kujifanya kujua kuliko wengine...
Wakaenda mbali wakaanza kuwafananisha Russia na Marehem dokt Shika wa 900 itapendeza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Guys Russia ni home of Resources, China ni nyumba ya Viwanda. Europe na USA ni soko tu.
Kariakoo hawalimi chochote... Wanafanya import kutoka sehem tfaut tfaut. Ukimzuia mkulima asilete chochote sokon atatafta soko sehem zingine na wahitaji watamfata huko huko aliko... Kitakachotokea ndani ya soko ni upungufu wa bidhaa hivo mfumuko wa bei, watakaoathirika zaidi ni wanunuzi wa kariakoo sio mkulima shambani.
Mkulima mpaka kufikia hatua ya kuuza maana ake anavyo vya kutosha hivo anavyoviuza... Natural resources ni Natural as its name inajionesha huezi ziunda tu from nowhere we ain't GOD. Ila soko unaeza lianzisha sehem yoyote mahala popote... Mfano mduchu tu ka huo vijana wa kimagharib hawakuliona hilo.
Wakabaki wanashangilia wakiamini wazungu hawakosei, na sie wabongo ni viazi tu hatuna uwezo wowote wa kuhoji matendo yao. Haya sasa sa hivi hawa apo tunawaona wanavyohaha... Na huo ni mwanzo tu, Mengineyo yaja taratiiiiiiiiibu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Tuendeleen kutafuna Popcorns [emoji3577]