Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anayehatarisha usalama wa Russia ni NATO zaidi kuliko Ukraine.

..ila Ukraine amekuwa akihujumiwa na jirani yake kila anapochukua uamuzi/njia anayoona inamfaa hasa isiyompendeza jirani yake.

Mwaka 2014 raia wa Ukraine walipomuondoa Yanukovych kwa amani,Jirani yake alijibu kwa kumpora Crimea kibabe.....akaona haitoshi akaanzisha uasi/Vita huko mashariki mwa Ukraine kwa mgongo wa raia wa Ukraine wenye asili ya Urusi.

Lakini huyu jirani ana majirani wengine Latvia, Estonia , Lithuania ambao ni wanachama wa NATO ila hawajawahi kuvamiwa wala kumegewa ardhi ila Ukraine ambaye hayupo huko NATO kavamiwa kabisa.

Hapa Ukraine anaonewa tuu kwa kisingizio cha usalama wa nchi.
Mimi sitaki kukujibu. Ila ninakushauri nenda kasome na upate kujua mambo yafuatayo:-
1. Napoleonic Wars
2. Soma kuhusu first world war
3. Soma second World war
4. Soma kuhusu kusambaratika kwa Yugoslavia
5. Soma kuhusu cold war
6. Unatakiwa ujuwe USSR, Rusia iliwekeza technology kubwa sana Ukraine.
7. Soma kuhusu Cuba and USA.

MZEE HIZI ISSUE NI GREAT POWER INTEREST.

Huu ni ushauri tu. Ukiwa hujui Geopolitics huwezi elewa utaona nyota nyota tu.
 
Watalipia kwa rabo hawana namna.putin ni genius
⚡️ Germany's economy minister: 'We will be poorer' due to Russia's war but it's a small price to pay.

Robert Habeck told local broadcaster ZDF that there will be costs for the German society but the price is incomparable to the sufferings in Ukraine.

By midnight today, Russia will lose its biggest energy market - EU
 
Russia has already delivered more than 6.7 thousand tons of humanitarian cargo to Ukraine, the Russian Defense Ministry said.
Galip SV Liwagu
20220329_102107.png
 
IMG_20220331_220901_306.jpg

French military intelligence chief FIRED for not predicting Russian special operation

Gen Eric Vidaud is set to lose his job after being blamed for “inadequate briefings” that concluded it was unlikely Russia forces would begin their special operation in Ukraine.

This comes despite his job description being to provide intelligence on “operations, not premeditation” according to one military source quoted by AFP - but it appears his head is rolling for more.

Emmanuel Macron was apparently left embarrassed after regular contact with Putin days before Russian troops entered Ukraine and Vidaud’s department oversaw a humiliating loss of a major submarine contract with Australia after the controversial AUKUS deal.
 
View attachment 2170540

[emoji298]️Putin sets ruble-for-gas payment deadline – effective April 1

Russian president Vladimir Putin has signed a decree that demands ‘unfriendly countries’ must pay for Russian gas in rubles.

The new law dictates that ‘unfriendly countries’ must open accounts in Russian banks and will come into force on April 1.

Current gas supply contracts will be stopped if buyers from ‘unfriendly countries’ do not meet new payment terms.

Germany ndo analipa kwa Euro??
 
Nyie nyie mmesikia huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Hii movies sijui inaelekea wapi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

[emoji96] US removes Russian fertilizer from US sanctions list to avert food shortage crisis.

[emoji96] Marekani yaondoa mbolea ya Urusi kwenye orodha ya vikwazo ili kuepusha tatizo la uhaba wa chakula.

Sasa najiuliza watailipiaje [emoji849]
Nyie nyie adui yako mwombee njaa hii vita atashinda mtu wa Mungu putin

NB:HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA
_20220313_132500.jpg
 
These are the indicative estimates of Russia’s combat losses as of March 31, according to the Armed Forces of Ukraine.
Glory Ukraine
View attachment 2170871
Ukraine wanapigana huku wanahesabu raia wa Russia walio kufa mda huo vitani wanautoa wapi, yaani wanasahau hata kuhesabu wanajeshi wao wanaokufa.

😀😀😀😀😀

Propaganda za kitoto ambazo haziingii akilini.
 
Ukraine wanapigana huku wanahesabu raia wa Russia walio kufa mda huo vitani wanautoa wapi, yaani wanasahau hata kuhesabu wanajeshi wao wanaokufa.

😀😀😀😀😀

Propaganda za kitoto ambazo haziingii akilini.
 
Washington has eased sanctions on Russian agricultural products, including fertilizers, placed on Moscow over the crisis in Ukraine. The move aims to protect US farmers from a shortage of chemical products as food prices in the country continue to soar.

The Office of Foreign Assets Control (OFAC) of the US Treasury recently published a new general license dated March 24, which effectively removed restrictions on the import of Russian fertilizers.

The document authorized transactions relating to the exportation and re-exportation of agricultural commodities, banned last month by Washington’s ‘Russian Harmful Foreign Activities Sanctions Regulations’.

The list of agro-related products now exempt from sanctions includes food for humans, live animals, vitamins and minerals, food additives and supplements, seeds for food crops, fertilizers, and reproductive materials.

READ MORE: US ramps up imports of ‘banned’ Russian oil

Exemptions also cover medicine, medical devices, software updates, and replacement parts for medical devices and Covid-19-related medical components. Analysts say the EU may soon mirror the measure
Rt.com
====
Taratibu tutaanza kuelewana.
Naamini Dk shika atakuwa na amani kule alipo Rip shika urusi yako haishikiki
 
Marekani hana utofauti na dem hajui anataka nini. Mwaka huu wataelewa Putin anafanya wasilale[emoji28][emoji28]
 
Hilo sio kweli, mwenye patent right anaweza asiwe innovator Marekani wanaongoza kwa kununua technology zinazokua innovated nchi zingine, kwa sasa China iko mbele kwa technolojia nyingi ndo maana wamefikia hatua ya kuwaza kuunda vitu vya ajabu, wana space station ya kwao baada ya kukataliwa na marekani wasijiunge ISS halafu unakuja kutudanganya hapa bila data, Huawei wamewekewa vikwazo ila sababu network ya kiwango cha 5G wao walikua mbele na haijawazuia Huawei kutengeneza simu, kampuni moja kutegemea vipuri kutoka kampuni nyingine ni swala la kawaida kabisa ili kuokoa muda na kupunguza gharama za uzalishaji. TUSIDANGANYANE
mtu unatengeneza gari unataka utengeneze mpka music system? unatoa subcontractor ukipize muda bt sio kama unashidwa tengeneza yani utengeneze gari ushindwe music system

Mkuu hi ni kwaajiri ya Maslow learner
 
Back
Top Bottom