Maelezo mazuri ila kuna kitu umekichanganya kidoooogo. Usahihi ni kua Almost over 70% ya wazalishaji duniani wa semiconductors wanatoka Asia. Huku China aki'lead the chart by far margin.
View attachment 2170567Kwa US alichoshikilia sehem kubwa kwenye semiconductors ni technology inayotumika ila sio uzalishaji.
Na kwenye technology inayotumika ukiichunguza kiundani utatoka na mada nyingine juu ya u'Capitalism unavoua kila kipya kinachojitokeza mbele yake.
Kwa mfano leo hii we ni mtanzania utagundua kitu kisha wanakuja wageni kuinunua hyo technology. Ikishanunuliwa inakuwa sio yako tena ni mali yao na wana kauli juu yake nani aitumie na nani asiitumie.
Mfano mwingine wa wazi wazi angalia kitu kama Android OS. Founder wa hii OS sio Google bali ni washkaji wengine tu ambao Google waliinunua kutoka kwao. Hivi sasa sio mali yao bali ni mali ya Google ijapokuwa hawakuianzisha Google.
Since Google ama Alphabet ni US Company. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ko inatambulika kama US Technology. Na hii inafanywa hivi kwasabab ya ile need ya ultimate control wanayoitaka. Ukiimiliki technoloy inakuwa rahisi kui'track kokote inakopita hasa kwenye mambo ya ulinzi na vifaa vya kivita...