LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hata USA hana ubavu wa kuzuia mradi wa bomba la gas, sababu gas inayopatikana toka russia ni rahisi kuliko inayopatikana marekani.

Haushangai kansela wa ujerumani alipeleka helmets 5000 kama support kwa ukrain ?

Mnufaikaji mkubwa wa gas ya urusi ni German.

Na kama vita itatokea ulaya haiwez ku stand against Russia kamwe, narudia kamwe even China na India wakiamua kuunga mkono bado sababu Russia technologia ya silaha yuko far sana na compete na Marekani na hata baadhi ya technolojia marekani hana kama hypersonic missile.

Kama wachambuzi wabobezi baadhi walivyochambua kwenye huu uzi uko juu ni issue ya uchumi ndo inaweza kusababisha Russia asimponde Ukrain. Na sio vitisho vya Western bloc wakiongozwa na USA.
 
Ndio maana nimemwambia mtoa mada ya kwamba Urusi inaweza isiivamie Ukraine kwa sababu zingine hasa za kiuchumi .

Lakini hoja ya kwamba Urusi inaogopa kuivamia eti kwa sababu ya kugopa Marekani itatuma wanajeshi wake sio kweli.

Na ndio maana nimemwambia ya kwamba Urusi ikiamua kuivamia Ukraine Marekani hatofanya chochote zaidi ya kuweka vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kusitisha hilo bomba la gesi.

Na kama umeufatilia huu mgogoro hakuna kiongozi yeyote yule wa Urusi aliye sema ya kwamba Urusi inataka kuivamia Ukraine zaidi ya kusema wanafanya mazoezi ya kijeshi ya kawaida,
hizo tuuma za Urusi kutaka kuivamia Ukraine zimekuwa zikitolewa na nchi magharibi na viongozi wa Urusi Mara kwa mara wamekuwa wakikanusha.

Na sisitiza USA na washirika wake wange kuwa na nia ya kuisaidia Ukraine wangeisaidia kwanza kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Kukomboa majimbo mawili its not an easy task,na itasababisha vifo vya wa Ukraine wengi sana na pia inaweza kuzua mzozo kati ya NATO na Russia.Wanachota wa ukraine ni kuachwa waamue mambo yao kama sovereignty state bila kuinmgiliwa na Urusi kwa kijezo cha usalama au sijui Ex-Soviet brotherhood.
Tunachopiga kelele ni Rusia kuachwa avamie nchi huru kwa vigezo visivyo na mashiko..Hata marekani kuvamia Iraq Russia walipiga kelele hivi hivi Marekani anavyopiga,so tusione eti west wao ndio wenye makosa kuliko Russia anayetaka kuvamia nchi huru.Russia must be condemned kama dunia ilivyo condemn USA kuvamia middle east,the treatment should the same..
 
Putin ameshasema mara kadha wa kadha kuwa USA aliposababisha maafa Libya, Syria, Serbia, Iraq na Afghanistan nani ali condemn hayo ? Even UN security assembly hawaku approve uvamizi.

Tusii condemn RUSSIA sababu yenyewe inatka security assurance kuwa western bloc hawato expand east zaid wala kuweka sophiscated material zao pale za kijeshi.

What i see ni USA kujaribu kuiweka Russia kwenye mtego mbovu ili aingie kwenye vita alafu azid kuporomoka kiuchum.
USA wana propaganda za kipuuz sana.
Through diplomacy ule mgogoro utaisha lakini kwa kurushiana magurunet muathirika mkubwa ni Ukrain
 
Hata USA hana ubavu wa kuzuia mradi wa bomba la gas, sababu gas inayopatikana toka russia ni rahisi kuliko inayopatikana marekani.

Haushangai kansela wa ujerumani alipeleka helmets 5000 kama support kwa ukrain ?

Mnufaikaji mkubwa wa gas ya urusi ni German.

Na kama vita itatokea ulaya haiwez ku stand against Russia kamwe, narudia kamwe even China na India wakiamua kuunga mkono bado sababu Russia technologia ya silaha yuko far sana na compete na Marekani na hata baadhi ya technolojia marekani hana kama hypersonic missile.

Kama wachambuzi wabobezi baadhi walivyochambua kwenye huu uzi uko juu ni issue ya uchumi ndo inaweza kusababisha Russia asimponde Ukrain. Na sio vitisho vya Western bloc wakiongozwa na USA.
Vita kati ya Ulaya na Urusi haitoweza kuwa na mshindi, ukizingatia pale ambapo silaha za maangamizi zitatumika. Mataifa kama Uingereza na Ufaransa ni yenye kumiliki silaha za nyuklia pamoja na mifumo ya usafirishaji wa silaha hizo ambayo haina utofauti sana na ile ya Urusi.

Teknolojia ya hypersonic missile mpaka Wahindi wanayo, Marekani isiwe nayo?
 
France + Uk wote wakiungana kwenye arsenal zao hawafikii number ya nuclear warhead zinazomilikiwa na Russia.
Kuna mpembuzi msomi hapo ameelezea economically Russia iko chini kuliko hizo nchi.

Lakini uwanda wa kivita ni superpower wana cheza sawa na USA. Wameuza technolijia nyingi na wako poa sana kwenye midani hiyo.. China, India ambazo wako vizur kwenye uwanda huo pia most of its technology ni kutoka Russia.
 
Kukomboa majimbo mawili its not an easy task,na itasababisha vifo vya wa Ukraine wengi sana na pia inaweza kuzua mzozo kati ya NATO na Russia.Wanachota wa ukraine ni kuachwa waamue mambo yao kama sovereignty state bila kuinmgiliwa na Urusi kwa kijezo cha usalama au sijui Ex-Soviet brotherhood.
Tunachopiga kelele ni Rusia kuachwa avamie nchi huru kwa vigezo visivyo na mashiko..Hata marekani kuvamia Iraq Russia walipiga kelele hivi hivi Marekani anavyopiga,so tusione eti west wao ndio wenye makosa kuliko Russia anayetaka kuvamia nchi huru.Russia must be condemned kama dunia ilivyo condemn USA kuvamia middle east,the treatment should the same..
Ni uhuru gani anao utaka Ukraine?

Yaan utishie usalama wa raia wangu kwa kigezo cha uhuru?

Ukaribishe adui yangu anaye ota kila siku niangamie alafu nikae kimia kisa una uhuru wa kujitawala?

Alafu Marekani anapata wapi uhalali wa kuikemea Russia ali ya kuwa ndio kinala wa kuingilia uhuru wa nchi nyingine?

Viongozi wa Ukraine kama wana akili wanatakiwa kufuata siasa zisizo fungamana na upande wowote kwa sababu taifa lao lipo kwenye eneo la kimkakati tofauti na hapo ipo siku Ukraine ita geuka bahari ya damu.
 
Vita kati ya Ulaya na Urusi haitoweza kuwa na mshindi, ukizingatia pale ambapo silaha za maangamizi zitatumika. Mataifa kama Uingereza na Ufaransa ni yenye kumiliki silaha za nyuklia pamoja na mifumo ya usafirishaji wa silaha hizo ambayo haina utofauti sana na ile ya Urusi.

Teknolojia ya hypersonic missile mpaka Wahindi wanayo, Marekani isiwe nayo?
Plus its only three country ndo wana hypersonic misile RUSSIA,China na USA ambapo USA yuko kwenye majaribio na ka fail mara tatu.
Currently ana work na Australia on hypersonic programs but mara zote kajaribu ku fire missile ame fail.
Only two country wanazo kwa arsenal zao Russia na China.
 
Ni uhuru gani anao utaka Ukraine?

Yaan utishie usalama wa raia wangu kwa kigezo cha uhuru?

Ukaribishe adui yangu anaye ota kila siku niangamie alafu nikae kimia kisa una uhuru wa kujitawala?

Alafu Marekani anapata wapi uhalali wa kuikemea Russia ali ya kuwa ndio kinala wa kuingilia uhuru wa nchi nyingine?

Viongozi wa Ukraine kama wana akili wanatakiwa kufuata siasa zisizo fungamana na upande wowote kwa sababu taifa lao lipo kwenye eneo la kimkakati tofauti na hapo ipo siku Ukraine ita geuka bahari ya damu.
Nitajie ni lini Ukraine imetishia raia wa Urusi?..
Ukraine anataka uhuru wa kuchagua rafiki bila kupangiwa na mtu,maana ni nchi huru,labda useme hapa Ukraine sio nchi huru na utoe vigezo.
Marekani sio tu anaowapigia Russia kelele dunia yote inamuona mrusi ana sababu za hovyo kutaka kuivamia Ukraine,,strategic area zote kama eastern Ukraine na Crimea ambapo ni door to black sea fleet na baltics Russia ndio anazitawala,leo anataka ku bomb Kyev aue raia wasio na hatia in what grounds??
Kingine shida ni kujiunga NATO sio?,,Ronania,Lithuania,Wazirstan wote hawa walikuwa Soviet members na wamejiunga na NATO,mbona Russia hakuwavamia kwa kigezo hicho hico unachokiita kuhatarisha raia wake?...Tuache kushabikia mauaji kishabiki shabiki
 
France + Uk wote wakiungana kwenye arsenal zao hawafikii number ya nuclear warhead zinazomilikiwa na Russia.
Kuna mpembuzi msomi hapo ameelezea economically Russia iko chini kuliko hizo nchi.

Lakini uwanda wa kivita ni superpower wana cheza sawa na USA. Wameuza technolijia nyingi na wako poa sana kwenye midani hiyo.. China, India ambazo wako vizur kwenye uwanda huo pia most of its technology ni kutoka Russia.
Wala hauhitaji warheads 5,000 au zaidi kuipiga nchi kama Urusi. Ushindani wa kuwa na mabomu mengi ulikuwa ukifanywa enzi hizo za Cold War kwa sababu teknolojia ilikuwa hafifu.

Unachohitaji kwa sasa ni mabomu machache lakini yenye uwezo mkubwa wa kupeleka madhara kwa adui (high precision). Ukiwa nayo, unapeleka mashambulizi katika maeneo ya kimkakati zaidi yakiwemo majiji makubwa.
 
labda kwenye vita ya nuke. Ila kwenye vita ya kawaida ndani ya mwezi tu urusi anaiteka ulaya
 
Tatizo watz tuna ujuaji wa kinonko sana.

Urusi ikiamua itaivamia Ukraine na Marekani hatofanya chochote zaidi kulialia na kuweka vikwazo.

Marekani na vibaraka wake wangekuwa na nia ya kweli kuisaidia Ukraine wangeisadia kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.

Inashangaza eti jeshi ambalo limeshindwa na kukundi cha waasi chenye wapiganaji wasiozidi 50,000 eti kije kukabiliana na moja wapo ya jeshi kubwa duniani.

Iwapo vita itatokea nakuhakikishia jeshi la Ukraine halitaweza kuhimili nguvu ya jeshi la Urusi hata ndani ya wiki mbili.
Ni kweli Russia ina nguvu kubwa mno za kijeshi, lakini nakuhakikishia kuwa Russia haitashinda hii vita mwisho wa siku nyuklia ndo litakuwa jawabu
 
Huyo Hitler alipigwa na Warusi na siyo taifa lingine kamaulikuwa hujui sasa ujue
Warusi kumpiga Hitler it doesn't mean that wanaweza kuipiga Dunia nzima, mkuu elewa kwamba Ukraine imezingirwa na ulinzi wa mataifa yenye nguvu kubwa Duniani zaidi ya matano,wanaomsapoti Russia ni Wachina,North Korea na Iran ambao hakuna Kati yao atajaribu hata kutoa risasi moja kwa ajili ya Russia.
Usome mchezo vizuri [emoji16]
 
Ndio maana nimemwambia mtoa mada ya kwamba Urusi inaweza isiivamie Ukraine kwa sababu zingine hasa za kiuchumi .

Lakini hoja ya kwamba Urusi inaogopa kuivamia eti kwa sababu ya kugopa Marekani itatuma wanajeshi wake sio kweli.

Na ndio maana nimemwambia ya kwamba Urusi ikiamua kuivamia Ukraine Marekani hatofanya chochote zaidi ya kuweka vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kusitisha hilo bomba la gesi.

Na kama umeufatilia huu mgogoro hakuna kiongozi yeyote yule wa Urusi aliye sema ya kwamba Urusi inataka kuivamia Ukraine zaidi ya kusema wanafanya mazoezi ya kijeshi ya kawaida,
hizo tuuma za Urusi kutaka kuivamia Ukraine zimekuwa zikitolewa na nchi magharibi na viongozi wa Urusi Mara kwa mara wamekuwa wakikanusha.

Na sisitiza USA na washirika wake wange kuwa na nia ya kuisaidia Ukraine wangeisaidia kwanza kukomboa majimbo mawili yanayo shikiliwa na waasi.
Mkuu yale majimbo yapo chini ya majeshi ya Russia tayari,na si kwamba Ukraine haipigani litakimbia, tayari kuna Jimbo la Donetsk lipo mikononi mwa Serikali ya Ukraine.
Sasa Russia kama ana nguvu kwanini na yeye anashindwa kuiwekea vikwazo US?
This means yeye bado ni Bwana mdogo tu,na ukichapwa vikwazo utawezaje kushinda Vita?
Kwa sababu vita inahitaji Uchumi Bora
 
mrusi kelele tu hana huo ubavu ajaribu apigwe nyie mnawaona kama wanaiweza dunia ahahah. Alikuwepo mwanaume hitler huyo putin mweupe tu.Nipo Manzese kwa mfuga mbwa.
alyemwondoa Hitler mamlakani ni nan boss,unajua kwa nn urusi inashinikiza ivo,umelewa mada kiushabiki bro,Dunia n Pana walimwengu hawana maana,tulia tuu Dunia ya 3 utafune mitumba
 
Hata USA hana ubavu wa kuzuia mradi wa bomba la gas, sababu gas inayopatikana toka russia ni rahisi kuliko inayopatikana marekani.

Haushangai kansela wa ujerumani alipeleka helmets 5000 kama support kwa ukrain ?

Mnufaikaji mkubwa wa gas ya urusi ni German.

Na kama vita itatokea ulaya haiwez ku stand against Russia kamwe, narudia kamwe even China na India wakiamua kuunga mkono bado sababu Russia technologia ya silaha yuko far sana na compete na Marekani na hata baadhi ya technolojia marekani hana kama hypersonic missile.

Kama wachambuzi wabobezi baadhi walivyochambua kwenye huu uzi uko juu ni issue ya uchumi ndo inaweza kusababisha Russia asimponde Ukrain. Na sio vitisho vya Western bloc wakiongozwa na USA.
Mkuu, siyo kila kitu Marekani inaitangazia Dunia juu ya uwezo wake kijeshi, Kama Russia inaogopa vita kwa sababu za kiuchumi basi huo ni udhaifu tosha wa kushindwa kabila ya kushindwa,ulishawahi kusikia kuwa Marekani inaogopa vita kwa sababu ya Uchumi?
Ndo ujue kuwa Marekani ni Baba lao Duniani [emoji16]
 
Back
Top Bottom