Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sema US kasema hawezi kupeleka new technology ukraine, maana zinaweza kukamatwa, ata hizo Juvenile ni za zaman ndo mana kapeleka
Hao jamaa wanaogopa sana kupoteza technologia zao ndo maana ata siraha zao huwa hawauzi au wanauzia marafiki wa karibu sana
Ata Turkey wanaogopa kumpa f-35 maana anamiliki S-400, anachoogopea ni uturuki akipata f 35 uku ana s 400 anaweza gundua siri ya kuzidungua izo ndege, ndo maana anamshinikizia aipeleke uko ipotelee uko

US hana teknology yoyote ya kumzidi Russia. Bora uniambie Israel ntakubali
 
Wanahasira sana jamaa yao kapoteza influence ya kijeshi duniani. Zile enzi za Bush kutanganza every country and every reagion must choose, either you're with us zimeisha. Zamani ukimdindia mmarekani hutoboi anakupiga mchana kweupe. Sasa hivi kuna Urusi kwenye picha. Kila anapotia mguu na Urusi naye anatia mguu.
Watu hawaogopi tena mataifa yameanza kuwa na viburi. Kiuchumi kuna china. Unaweza kukosa support ya us lkn km unaye mchina sio mbaya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Mrussi akitia mguu tu mmarekani lazma akimbie[emoji28]
 
US hana teknology yoyote ya kumzidi Russia. Bora uniambie Israel ntakubali
acha banah so why huawei alikua anateseka na bann za trump? Ntajie kampun yeyote ya electronic ya urusi inayotengeneza chip za saiz ya nanometer 10 na kushuka, au tech zp unazomanisha?
 
A payment scheme for Russian gas in rubles for unfriendly countries has been developed. Putin's order fulfilled - Peskov.

How payments will be made may be announced today.

Earlier, presidential aide Oreshkin explained in detail to Berlin the terms of payment for gas in rubles, a Kremlin spokesman said.

The volume of supplies and the price will remain unchanged, the terms of the contracts will be observed.
 
Utakuta ana miaka 18....[emoji23][emoji23][emoji23]....Instagram hapa mtoshi huko karukia humu.dahh
Wewe mbona Instagram hapajakutosha,una wiki mbili toka urukie humu Ila unahaha balaa....Jitulize na upunguze emoji za kuchekacheka shauri zako.
 
The Prime Minister of Slovakia did not rule out buying Russian gas for rubles.

"The Slovak gas industry would have to buy rubles for euros as soon as possible and then buy gas from Gazprom with them," Heger said in an interview with the Slovak television channel STV.

At the same time, he said that the State Council of Slovakia called on the authorities to prepare for a possible quick disconnection from Russian gas.

According to various estimates, Russia supplies Slovakia with 85-87% of the natural gas consumed by the country.

In 2017, the Slovak company Eustream signed a contract with Gazprom until 2050.
 
acha banah so why huawei alikua anateseka na bann za trump? Ntajie kampun yeyote ya electronic ya urusi inayotengeneza chip za saiz ya nanometer 10 na kushuka, au tech zp unazomanisha?

Unaona sasa unaenda nje ya mada kabisa Tunazungumzia millitary teknology unaleta mambo ya chip shenz sana
 
Just wondering why sell gas to hostile countries- simply cut off the flow. Putin bwana,maji shingoni.
Akikupiga ngumi ya jicho nawe mpige ngumi ya sikio akikuuliza unaonaje nawe muulize unajiskiaje..... Warusi tunaotembea kifua mbele kama aliyepigwa mgumi ya mngongo ...... Ujerumani wameanza mgao.
 
Wanahasira sana jamaa yao kapoteza influence ya kijeshi duniani. Zile enzi za Bush kutanganza every country and every reagion must choose, either you're with us zimeisha. Zamani ukimdindia mmarekani hutoboi anakupiga mchana kweupe. Sasa hivi kuna Urusi kwenye picha. Kila anapotia mguu na Urusi naye anatia mguu.
Watu hawaogopi tena mataifa yameanza kuwa na viburi. Kiuchumi kuna china. Unaweza kukosa support ya us lkn km unaye mchina sio mbaya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
US alitia miguu Syria jamaa akamfuata na kumtandika. Mpaka leo hakuna harakati za kumuondoa Assad, US wakamchukua mtu wao na kumtambua kua ndio rais wa Venezuela Urusi kaenda kazima njama zote, Erdogan wa uturuki alitaka kupinduliwa na waasi, chap akaomba msaada Urusi, na akabaki madarakani.

Bila urusi nadhani Korea kaskazini isingekuepo. Aya sasa Ukraine anataka kuleta za kuleta, kuwakaribisha mabeberu na wauza unga karibu na urusi, kachapika!!!! US na wenzie wapo mbali, eti vikwazo vya kiuchumi. Ukraine kaachwa yatima... ni table negotiations tu zitamuokoa.
 
Hata kutengeneza chip Russia wapo mbeke mno. Russia ndio waanzilishi wa space station. Kunahitajika IC za kutosha kwaajili ya communication.
Mkuu we taja tu n kampun ip intngnz chip za saiz km hio kutoka urusi, i know wako vzur kwe IC , hio foundry ya russia ni secret? Km hvyo sawa
 
Mkuu we taja tu n kampun ip intngnz chip za saiz km hio kutoka urusi, i know wako vzur kwe IC , hio foundry ya russia ni secret? Km hvyo sawa
Unataka kujifunza!? Haya ni kati ya makampuni yanayotengeneza IC kutoka russia
1. Angstrem (company)
2. Mikron Group
3. Proton-Electrotex
4. Rzhanov Institute of Semiconductor Physics
5. Sitronics
 
Back
Top Bottom