Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi sasa binafs nishaghairi kuwa'qoute hao viumbe. US sijui kawapa nini, ingekua ni mapenzi tungesema hii ni zaidi ya limbwata.

US Millitary budget kwa mwaka ni mara takriban 11 au 12 ya Russia kila mwaka ila ukilinganisha in term of power anampumulia kisogoni, ukija in term of quality ya silaha Russia yupo on top kwa mambo mengi. Kisha wajiuliza ka usemavyo wangekuwa wanatenga budget sawa ingekuaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hii ni kama na mla Pizza, burger, chips zege verily are costful ila less relevant kwa maendeleo ya mwili wake kisha kuna mla Dona, Mboga mboga, matunda, milk instead of alcohol, maji badala ya juice.. they are cheap but are too relevant kwa mahtaj ya mwili wake. Wakati yule ana enjoy ladha kinywani huki anaharibika mwili huyu anaenjoy afya kwa ujumla kutokana na ubora wa chakula chake.

Kiukweli nature ya haya majeshi kivita iko tofauti kabisa. China Millittary expenditure kwa ulinganyo wa Idadi ya wake ya watu ni kidogo. Na yote kwasabab wao na wengineo kutoka Asia na Russia mwenyewe wapo katika mfumo wa defensive sio kama Mzee Blue Red ambae amekaa ki'Offensive zaidi.

Na hivi juzi wakati Biden anatangaza budget ya mwaka ujao wameongeza Matumizi upande wa Milittary wakisema ni kwa sabab ya hofu kutoka Russia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... View attachment 2170035
kisha wajiuliza ka Russia ni dhaifu kwanini waongezs budget ya kujilinda kisa ka nchi kadhaifu kiasi hicho ka wanavodai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia nzima inatakiwa majeshi yote yawe defensive. Jeshi liwe kwa ajili ya kujilinda na kulinda mipaka ya nchi. Kulifanya jeshi lako liwe offensive ni dalili za uchokozi na ndicho kinachotishia amani duniani maana nchi hasimu nazo zitashawishika kujiimarisha kijeshi kuhofia kushambuliwa siku moja.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Yule anaeitwa "Dictator" approval rate for mwezi march inazidi kukwea na sasa imefika 83% kutoka 69% mwezi January.
View attachment 2170005 Vladimir Putin's approval rating has soared to 83%, according to a recent survey by the Levada Center, Russia's independent pollster.
Ila Kuna watu akili zenu ni ndogo sana... Yaani nchi ambayo ukisema tu kuhusu vita unaenda jela miaka 15 ndio umseme Putin 🤣🤣🤣🤣
 
hii vipi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
Hivyo vituko vya Ukraine wanajifariji wanaosema Defeated Russian forces ndio hao wametolewa mariupol na maeneo mengine via humanitarian corridor.

Ukishaona twitter account iko na bendera ya ukraine jiandae kukutana na vituko tu
20220331_104902.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Hao Wayukraine wa nanyumbu mpaka uwatwange kama mpunga ndio unaweza kuwatenganisha na upumbafu wao kama utenganishapo makapi na mchele
Kwa mawazo haya hats Vietnam na Taliban wangesalimu amri maana walizidiwa firepower na US!
Luna kitu kinaitwa determination ukiondoa hivyo vingine ....
 
Dunia nzima inatakiwa majeshi yote yawe defensive. Jeshi liwe kwa ajili ya kujilinda na kulinda mipaka ya nchi. Kulifanya jeshi lako liwe offensive ni dalili za uchokozi na ndicho kinachotishia amani duniani maana nchi hasimu nazo zitashawishika kujiimarisha kijeshi kuhofia kushambuliwa siku moja.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haswaaa na kingine ukiangalia na naamin unaeza kubali tuko mbioni kushuhudia utawala wa magharibi ukifa ingawa vijana wa US tawi la JF watanishambulia.

Miaka 22 iliyopita yani mwaka 2000.

Total world GDP ilikuwa about dollar trillion 33.65 huku US pekee akiwa na share ya takriban 30%, wakati huo China alikuwa na GDP ndogo tu ya dollar trillion 1.21 akiwa na share ya takriban 4% of world total GDP kiasi kwamba hadi Japan alikuwa na GDP kubwa mara 4 ya ile aliyoku nayo China wakat huo.

Sasa 2022.
Kwa data za mwaka jana total world GDP ipo around dollar 94 trillion. Uku US akiwa na around 24% percent ilhal mchina akiwa na around 19.9% of world total GDP.

Ndani ya hiki kipindi cha miaka 21 utaona uchumi wa US ukitumia kigezo cha GDP nominal uneongezeka mara 2.3 yani kutoka Dollar Trillion 10 hadi dollar trillion 23.

Ilhal China kwa kigezo cha GDP ndani ya hii miaka 21 kaweza kukua mara takriban 15 au 16 hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... ie kutoka dollar trillion 1.2 hadi dollar trillion 17.7...

Hapa wenye macho tunaona na kuelewa kua tatizo la china sio Udikteta wala figisu wanazotueleza... Shida ni kua US anapumuliwa kisogoni kwenye uchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukija kwenye millitary power hivo hivo upande wa Russia.
W020220331521133379202.jpg
Sasa hii Combo ukiiweka kwenye mkeka lazima US apige kelele kila nukta.

Wakati yeye anatumia mabillions ku'sponsor vita, kulisha majeshi nje ya mipaka. Wenzao wanatumia fedha zao kufanya biashara nje ya mipaka ya nchi zao...
 
Naomba nikujibu kama ifuatavyo:

Freedom of thought kwa jina jingine
Ni haki ya kuwa na mawazo tofauti,
Naomba nikuulize swali je kabla hajajiunga na jeshi au baada ya kujiunga na jeshi?
Kumbuka wakati unanijibu ukumbuke askari hao wanaongozwa na code of conduct zao ambazo zipo kwenye military doctrine.

Kipengele Cha pili;
Njia nyingine ya kuserve mother Russia ni civilian duties, ila hapa hujaonyesha jinsi hawa nao wanahusiana vipi na swali la kwanza, hawa ni raia typical.

Upo sahihi duniani kote maafisa wanafunzi wakiwa military college zao hufundishwa pia siasa.
Ila siasa hii haiwatoi kwenye viapo vyao Wala kwenda kinyume code of conduct zao.
Hivyo hao waliogoma huko Urusi kwanza watapelekwa mahakama za Kijeshi.

Embu nielezee wewe amri Hali Kijeshi ni ipi?
Je ni Ile itokayo kwa kufuata chain of command au ipi?
Na kama chain of command basi aliyoitoa ni raisi wa shirikisho la Urusi?
Je ni halali au sio halali?

Kuhusu hiyo hadhi ya chini kuliko mbwa.
Taifa lenye tamaduni ya kivita kama Urusi, halafu anatokea askari wao anagoma unafikiri Wana hadi Gani hao ndani ya tamaduni za kirusi.

Malizia na rules of engagement in military conflict halafu uje na majibu
mkumbushe marekani kuna raia walifungwa kwa kukataa kupigana vita ya vietnam. Hadi mohamed ali alivuliwa ubingwa wa dunia
 
Dunia nzima inatakiwa majeshi yote yawe defensive. Jeshi liwe kwa ajili ya kujilinda na kulinda mipaka ya nchi. Kulifanya jeshi lako liwe offensive ni dalili za uchokozi na ndicho kinachotishia amani duniani maana nchi hasimu nazo zitashawishika kujiimarisha kijeshi kuhofia kushambuliwa siku moja.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni kweli ,point ya msingi kila nchi ilotakiwa iwe na jeshi LA kujilinda..maana madhara ya kuwa na jeshi LA kushambulia ni kama Tunavyoona Leo Ukraine na vamizi nyingine kama za Georgia, Vietnam, Afghanistan, Iraq,Syria na (middle East)
 
Yule anaeitwa "Dictator" approval rate for mwezi march inazidi kukwea na sasa imefika 83% kutoka 69% mwezi January.
View attachment 2170005 Vladimir Putin's approval rating has soared to 83%, according to a recent survey by the Levada Center, Russia's independent pollster.
Mbuzi wa Putin hajui kwamba madikteta ndo wanasifa za kua na umaarufu mkubwa. Mfano mzuri kagame jiulize alipita kwa kura ngapi
 
❗️South Ossetia will soon take legal steps to become part of Russia - President Bibilov.

Unification with the Russian Federation is the strategic goal of the republic, @SputnikOssetia quotes Bibilov.
Wale wale vibaraka wa Vladimir Putin wanaokwenda kinyume na matarajio na mategemeo ya wananchi.
 
Kimezungumzwa kingine unajibu kingine, anyway tukuulize kutoka apo hapo kwenye hayo maelezo yako... kama ziko underestimated na unasema ni masikini hawana hela em tujuze hizo ela za ziada zinatoka wapi...?

Mfano kwa data za 2019, Total millitary expenditure dunian kote ilikuwa about 1.9Trillion dollar, uku US pekee akiwa ana constitute karib 38% ya hyo Jumla.

Hapo utaona point yako ya pili inakinzana na Point yako ya tatu. Lengo la kusambaza majeshi kwenye nchi za wenzio ni nini?

Na hapo ka uko na mawazo huru utaona tofauti ya Ideology kati ya Western na Eastern. Utaona nani amekaa kimfumo wa kutaka kutawala na nan amekaa kimfumo wa kujilinda.

Na kingine swali la kizushi tu. Kuna haja gani ya kwenda kukopa Gari kubwa linalokufyonza gharama za kuliendesha kumtunishia misuli muendesha boda ambae hana habari kabisa na ww...

Kisha ajab unaiita nchi masikin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilhal expenditure yao ya Healthcare inalingana na pato lenu la taifa apo kenya.... Sasa kama wao ni masikini ninyi ni akina nani [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Hakuna nchi inayotangaza bajeti yake kamili ya kijeshi hio 60bn ni yaku wahadaa wajinga kama wewe.
Point yako ilikua ni utuonyeshe eti vile urussi inabajeti ndogo lakini ni namba 3 duniani ambapo nimekufunza Leo hio bajeti ni uongo.
Upende usipende urussi bado yaijafika hadhi yakuitwa developed country. Indexes zote zamaana kama HDI na Gdp per capita zinaonyeshe wako category ya medium developed.
 
Popularity ya madikteta infaa kuchezea 90%, sasa ya Putin ni 70%. Hio inamaana amepoteza umaaru mwingi sana.
Imepanda kutoka 60%s kabla ya vita mpaka 70%s kama hiyo kwako inamaanisha kushuka basi mambo yanastaajabisha zaidi huko kwenye 'perspective' yako.

Russia chini ya VVP imeheshimika sana duniani. Kuanzia kumkingia kifua Assad huko syria, maduro Venezuela, Crimea, na sasa Zelensky. Si umewahi kusikia influence za Urusi kuwin host ya WC mpk kina Blatter wanajiuzulu. Umesahau operation Lakhta iliyoamriwa na VVP mwenyewe kuinterfere uchaguzi wa marekani na kumuweka raisi wanayemtaka hahaha.

Undisputed Putin [emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom