3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,019
hii vipi ๐๐๐
๐๐๐
hii vipi ๐๐๐
Sababu wameuleta wao wew bwana kila saa msaada msaada hujishangaiHujui hata ARV mnapewa kwa Msaada wa Marekani
Tatizo nyie mkitwagwa huwa mnakimbia tunajikuta wenyewe humuWanajeshi wa Urusi wamgeuzia kibao Putin,tatizo la ProPutin hamsadiki hii kitu [emoji848]
View attachment 2169893View attachment 2169908ะะพะนะดะธัะต ะฝะฐ Facebook
ะะพะนะดะธัะต ะฝะฐ Facebook, ััะพะฑั ะพะฑัะฐัััั ั ะดััะทััะผะธ, ัะพะดััะฒะตะฝะฝะธะบะฐะผะธ ะธ ะทะฝะฐะบะพะผัะผะธ.lm.facebook.com
Wameupandika au tamaa zakoSababu wameuleta wao wew bwana kila saa msaada msaada hujishangai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi sasa binafs nishaghairi kuwa'qoute hao viumbe. US sijui kawapa nini, ingekua ni mapenzi tungesema hii ni zaidi ya limbwata.Akili mtu wangu, akili!
Military expenditure
China 200b usd, Russia 60b usd
Militart strength
China 3rd, Russia 2nd
Unajua hesabu za cross multipilication. Unafikiri nini kitatokea endapo Russia akafikisha 200b usd of military expenditure!?
Unasema Russia hana hela!? 60b usd in military expenditure alf unasema hana hela. What abt UK ambaye yuko less than!? Naye pia hana hela!?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Afu kuna kenge watakuja hapa na shobo kibao kuwa USA na EU ndiyo superpower Nations [emoji16]Mrusi Akili Nyingi Sana Anacheza Nao Atakavyo[emoji16]
Nadhani kuna mipaka ya uhuru wa hivi vyombo vyetu vya habari hapa TZ toka kwa mabeberu.Bado hapo hajasalimu amri.
Nyau mnajamba kumbe mnaharisha
Germany, Turkey, and Four out Five PMs of UN wako ready except US tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwake ye yuko tayari kwa sasa kutuma fedha na silaha mtanange uendelee ila sio hizi peace talks wala kumpa Ukraine national security guarantee [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] yet anaitwa Global Peace Facilitator...The United States cannot yet specifically talk about security guarantees for Ukraine, the White House said.
Galip SV Liwagu View attachment 2170014
Ingekuwa vita vile Hapo namsikia Putin akiamrisha jeshi kungeeeeekeaaaaaaa ..mara kama kamanda mkuuu anaamrisha Wana warushe mishale na Yale mabomu ya mafuta ....Shwaraaaaaaaaaa..... ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKungeeeeekeeeeeeeaaaaaaa......
Kwanza jua kwamba military budget za nchi nyingi haswa za kidikteta waga ziko underestimated. Hio 60bn unaweza pata ni marakumi zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi sasa binafs nishaghairi kuwa'qoute hao viumbe. US sijui kawapa nini, ingekua ni mapenzi tungesema hii ni zaidi ya limbwata.
US Millitary budget kwa mwaka ni mara takriban 12 au 13 ya Russia kila mwaka ila ukilinganisha in term of power anampumulia kisogoni, ukija in term of quality ya silaha Russia yupo on top kwa mambo mengi. Kisha wajiuliza ka usemavyo wangekuwa wanatenga budget sawa ingekuaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hii ni kama na mla Pizza, burger, chips zege verily are costful ila less relevant kwa maendeleo ya mwili wake kisha kuna mla Dona, Mboga mboga, matunda, milk instead of alcohol, maji badala ya juice.. they are cheap but are too relevant kwa mahtaj ya mwili wake. Wakati yule ana enjoy ladha kinywani huki anaharibika mwili huyu anaenjoy afya kwa ujumla kutokana na ubora wa chakula chake.
Kiukweli nature ya haya majeshi kivita iko tofauti kabisa. China Millittary expenditure kwa ulinganyo wa Idadi ya wake ya watu ni kidogo. Na yote kwasabab wao na wengineo kutoka Asia na Russia mwenyewe wapo katika mfumo wa defensive sio kama Mzee Blue Red ambae amekaa ki'Offensive zaidi.
Na hivi juzi wakati Biden anatangaza budget ya mwaka ujao wameongeza Matumizi upande wa Milittary wakisema ni kwa sabab ya hofu kutoka Russia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... View attachment 2170035
kisha wajiuliza ka Russia ni dhaifu kwanini waongezs budget ya kujilinda kisa ka nchi kadhaifu kiasi hicho ka wanavodai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaah sema wee jamaa hunaga akili na hizi habari zako za kutunga sijui unaziokotaga wapi mzee babaNdege za kivita za urusi zilipita anga la sweden usiku wa kumakia leo huu ni muendelezo wa kuitia aibu mifumo ya ulinzi ya marekaniView attachment 2169985
zilikuwa zimepachikwa mabomu ya nuclear