Na kwenye ukoo wako wamekupeleka shule wanakutegemea, mtaani kote wanakuita msomi. Eeeenhe Kweli hii ndio Tanzania.
Is California a country or a state within a country?
Sasa kama hujui kipi kinatakiwa kilinganishwe na kipi una hadhi kweli ya kujadiliana na mie?
Sorry, ila una akili za kitoto tena kitoto mno. Wa kulinganisha Yanga ukijua ni Club na Team ya Taifa flan ukijua ile ina Present Taifa.
California utaiweka vp kwenye Rank za Nchi kufanya comparison ilhal yenyewe sio nchi bali jiji ndani ya Nchi..., Ningekuona wa maana kama ungeleta mlinganyo wa Calfornia, Texas na majiji mengine kama Moscow, London, Berlin, Tokyo n.k
Na ulivo kiazi mbatata ukaenda kusearch [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti California wealth Vs Russia... Kwa upuuzi huo na mwenendo huo ni halali mlalamike Ajira hakuna.
Huyo Biden alipokuwa akisema Russia is the world largest 11th biggest Economy unafikiri hakuziona nchi 27 za ulaya, hakujua kama kuna California, alitumia rank ya jiji au Nchi?
Acha upuuzi dogo... Kama huna cha maana better ukae kimya tu msidhihirishe upumbavu mliouhifafhi kichwani.