Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Akili mtu wangu, akili!

Military expenditure
China 200b usd, Russia 60b usd
Militart strength
China 3rd, Russia 2nd
Unajua hesabu za cross multipilication. Unafikiri nini kitatokea endapo Russia akafikisha 200b usd of military expenditure!?

Unasema Russia hana hela!? 60b usd in military expenditure alf unasema hana hela. What abt UK ambaye yuko less than!? Naye pia hana hela!?



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hao Wayukraine wa nanyumbu mpaka uwatwange kama mpunga ndio unaweza kuwatenganisha na upumbafu wao kama utenganishapo makapi na mchele
 
Afu kuna kenge watakuja hapa na shobo kibao kuwa USA na EU ndiyo superpower Nations [emoji16]

Lakini bado huwa siamini kabisa DW, VOA, BBC, CNN, ALJAZEERA, FRANCE 24 HRS maana huenda wakawa wameipindisha sana hii habari kuwanufaisha wao kumbe kiuhalisia RUSSIA ndiye mwenye faida nyingi sana katika hiyo biashara ya gesi [emoji3526]

Mkuu Media Za Mabeberu Hazinatofauti Na TBC [emoji16]
 
Mambo ni yaleyale........tena wanapitisha pesa kwenye benki ya mrusi ambayo hawajaifungia huko kwao..........hawaendi na ruble ila kinachofanyika ni kama wanauziwa ruble kwa pesa yao......kwahio lazima mrusi atayabase mafuta yake na gesi kwa pesa yake halafu hao walete pesa zao zenye thamani inayoendana na idadi hio ya ruble.......kabla ya hapo base currency ilikua ni dola................mrusi systematically anaipa nguvu sarafu yake....View attachment 2169886View attachment 2169887View attachment 2169888
Tukiwambia pro Putin hamna akili mnalia lia sasa wewe umekisoma hiki ulichoj
Kiandika au??
 
kaz iendelee
Screenshot_20220331-101624.jpg
 
Na naongezea hapo hapo jomba hiyo nchi anayoiita maskini Kibabu Biden kinajua kua ni ya 11 kiuchumi duniani.
View attachment 2169889
Ye nani kuiita nchi masikin? Hawa Pro NATO na Pro USA tukiwaambia wana uwezo mdogo wa kufikiri wanasema tunawatukana.

Kauli za viongozi wa kimagharibi wanasema wanashambulia uchumi wa Russia kuudhoofisha...

Sasa kama nchi ni maskini kama anavodai, hao wanaokunjana mashati na Raia wao kuudhoofisha Uchumi wa Russia, wanadhoofisha uchumi upi kama kweli Russia Maskin?
Brainless and brainwashed kwelikweli hawajui hzo n propaganda na useless politics mwanzo walisema Ukraine is winning Pro NATO masikio juu wanaamini they think Russia is Syria or Libya[emoji23]
 
Kwanza jua kwamba military budget za nchi nyingi haswa za kidikteta waga ziko underestimated. Hio 60bn unaweza pata ni marakumi zaidi

Pili, urussi haina ubavu kiuchumi kujitanua na marekani katika bajeti ya jeshi.

Tatu kumbuka marekani inakambi nyingi za kijeshi DUNIA nzima ambazo ni gharama kuziendesha. Usisahau na misaaada ya silaha na mafunzo wanayotoa ulimwenguni

Kimezungumzwa kingine unajibu kingine, anyway tukuulize kutoka apo hapo kwenye hayo maelezo yako... kama ziko underestimated na unasema ni masikini hawana hela em tujuze hizo ela za ziada zinatoka wapi...?

Mfano kwa data za 2019, Total millitary expenditure dunian kote ilikuwa about 1.9Trillion dollar, uku US pekee akiwa ana constitute karib 38% ya hyo Jumla.

Hapo utaona point yako ya pili inakinzana na Point yako ya tatu. Lengo la kusambaza majeshi kwenye nchi za wenzio ni nini?

Na hapo ka uko na mawazo huru utaona tofauti ya Ideology kati ya Western na Eastern. Utaona nani amekaa kimfumo wa kutaka kutawala na nan amekaa kimfumo wa kujilinda.

Na kingine swali la kizushi tu. Kuna haja gani ya kwenda kukopa Gari kubwa linalokufyonza gharama za kuliendesha kumtunishia misuli muendesha boda ambae hana habari kabisa na ww...

Kisha ajab unaiita nchi masikin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilhal expenditure yao ya Healthcare inalingana na pato lenu la taifa apo kenya.... Sasa kama wao ni masikini ninyi ni akina nani [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
RUSSIA anamtia aibu USA asee teknolojia zake zimeonekana weak sana mbele ya Russia. Airdefense za US zimefeli kabisa kumzuia Mrussi mpaka anaforce turkey apeleke S-400 ya Mrussi pale ukraine[emoji28][emoji28].

Nasubir mapovu ya wa NATO[emoji28]
Sema US kasema hawezi kupeleka new technology ukraine, maana zinaweza kukamatwa, ata hizo Juvenile ni za zaman ndo mana kapeleka
Hao jamaa wanaogopa sana kupoteza technologia zao ndo maana ata siraha zao huwa hawauzi au wanauzia marafiki wa karibu sana
Ata Turkey wanaogopa kumpa f-35 maana anamiliki S-400, anachoogopea ni uturuki akipata f 35 uku ana s 400 anaweza gundua siri ya kuzidungua izo ndege, ndo maana anamshinikizia aipeleke uko ipotelee uko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wa Green Screen leo kaja na mpya... Eti wale mabalozi wake nchini Morocco na Georgia walioshindwa fanikisha kupata msaada wa silaha, Vikwazo kwa biashara za Warusi watafte kazi nyingine za kufanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado kuna wanadai wanashinda.
View attachment 2169973
Zelensky recalls Ukrainian ambassadors in Morocco and Georgia for failing to secure anti-Russian sanctions and arms supplies from the countries they are in.

‘There are those who work together with everyone for the defense of the state. So that Ukraine can win its bright future. We appreciate the work of each person.

And there are those who waste time and go to work only to stay in their important position. Today I signed a first decree to recall these people, such as the ambassador of Ukraine from Morocco and the ambassador from Georgia. With all due respect - no weapons, no sanctions, no restrictions on Russian business? Please look for another job.’
Zelensky chenga tu nilijua anapanic ovyo ovyo toka siku ile alipotoa hizi kauli
20220331_073045.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha za kuokoteleza moja moja , zingine za mwanzo wa conflict ili kujifariji , hata hvyo casuality ya hvyo ni kawaida mana tupo vitani , tunachojua sa hv Russia ana retreat kuikimbia kyv , alaf leteni reality show kama hzi , na mjue Tu tank moja ikipigwa inaua more than 4 russian elite soldiers....

View attachment 2169979

View attachment 2169980


Alafu kibano cha sanction kinaendelea [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2169982


Ndo mjue kuna superpower mmoja tu duniani [emoji12]
Naamini unajua sababu ya Russia kupunguza vikosi vyake Kyiv kama unafuatilia mambo hilo halihitaji kuwekeana evidence hapa zishawekwa nyingi toka juzi kwenye kikao chao.

Hivi toka hizo sanctions zianze kuwekwa kwa lengo la kuishinikiza Russia iondoe majeshi yake huko Ukraine kuna hata moja imework? Zaidi sana zinaathiri nchi za ulaya

Majeshi bado yapo waache waendelee na sunctions zao walijua zitafanya Putin arudishe majeshi nyuma ila ndio kazi inazidi kuendelea
20220331_104207.jpg
20220331_104218.jpg
20220331_104540.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom