Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

img_1_1648664987793.jpg
 
...Awali Urusi huyo huyo alisema kwamba atakayemsaidia Ukraine atapata kipigo cha kihistoria lkn hatujaona kitu, hata Ukraine ameshamshinda tayari yeye amebaki kulenga raia na kubomoa majengo tu.
Wewe kijana kama shule zingekuwa vimefungwa ningesema mzee wako amekupa simu ukaweke kwenye chaji matokeo yake unaichezea.
 
🇰🇵 Pyongyang has confirmed that it had tested its Hwasong-17 intercontinental ballistic missile (ICBM). The Thursday launch was North Korea’s first ICBM test since 2017. Japan said that if Pyongyang launched the missile along a conventional trajectory, it could have flown 15,000 km (9,320 miles), reaching any point on US soil.
Kwa sababu unazojua peke yako umeleta habari hii hapa. Basi ni feki. Kim alishindwa kurusha roketi mpya, iliyopasuka hewani. Ili aweze kuonyesha mafanikio, walijaribu kuficha mlipuko na kurusha tena modeli ya Kwasong 15 inayojulikana tangu 2017. Video ilichanganya picha za dikteta Kim wakati wa jaribio lililoshindikana pamoja na kuruka kwa Kwasong-15 siku kadhaa baadaye.

Seoul Says North Korea Didn’t Test Hwasong-17 ICBM After All​


South Korea’s Defense Ministry said the missile launched on March 24 was not Pyongyang’s new Hwasong-17 ICBM, but the older Hwasong-15.
North Korea claims that it successfully tested its new Hwasong-17 intercontinental ballistic missile (ICBM), which first appeared in a military parade in October 2020, on March 24, eight days after another suspected ballistic missile blew up immediately after liftoff.

However, the South Korean Defense Ministry says what the North tested on March 24 was not the Hwasong-17, but the Hwasong-15.

In a closed briefing to the National Assembly, the Defense Ministry reported to lawmakers that the missile launched on March 24 seems more like the Hwasong-15 than the Hwasong-17 based on the ministry’s analysis of the performance of the missile and video footage released by the North’s state media on March 25.

In the heavily edited video released by the North’s state media a day after its ICBM test, the missile launch was conducted under clear skies. However, the Sunan area, near Pyongyang, was cloudy on March 24. In this context, Seoul suspects that the missile launch captured in the video might be scenes from the failed missile test on March 16.
Also, the directions of the shadows in the video seem to suggest the footage was taken in the morning. The launch on March 24 was taken in the afternoon; the failed missile test on March 16 was conducted in the morning.

Based on these points, Seoul believes that the North’s claim that it successfully tested its new Hwasong-17 ICBM on March 24 is deceptive.

Why would North Korea claim that it successfully tested its new Hwasong-17 ICBM if it actually tested the Hwasong-15?

Ha Tae-keung, a lawmaker of the People Power Party, told reporters on Tuesday that the failed launch on March 16 caused civilian damage. Ha said that fragments of the exploded missile might have rained down on Pyongyang. As it was reported that the missile exploded at an altitude of less than 20 kilometers on March 16, Pyongyang citizens might have witnessed the event and seen or experience damage caused by falling debris, Ha said.

North Korea might have been trying to save face with both its own people and the international community by claiming a landmark achievement on March 24: the first successful launch of a brand-new missile.

A U.S. official also delivered a similar analysis to the Washington Post, saying that the North’s latest missile launch appeared to be a “modified version of the Hwasong-15,” which was the last ICBM that the North tested in November 2017. Although the missile flew higher and farther than the Hwasong-15 launched in 2017, U.S. officials agree with Seoul that North Korea did not test its Hwasong-17 ICBM last week.

North Korea has not responded yet to Seoul and Washington’s skepticism toward its claimed Hwasong-17 ICBM test.
 
Putin akitaka kuacha vita akikumbuka hii hasara inamuuma Sana anarudi ulingoni🤔
17300 Russian invaders will definitely not return home

!! ️ Total combat losses of the opponent from 24.02 to 30.03 oríêntovno consisted of:
🔸 individual warehouse - about 17300 people,
🔸tanks ‒ 605 od,
🔸 combat armored cars ‒ 1723 od,
🔸 artillery systems - 305 od,
🔸RSZV - 96 from,
🔸PPO - 54 of,
🔸airplanes - 131 od,
🔸 helicopters - 131 od,
🔸automobile equipment - 1184 od,
🔸ships / boats - 7 od,
🔸canister with PMM - 75,
🔸UF of operational-tactical level - 81.
🔸Special technique - 21.
🔸Sand installations OTRK / TRK - 4.

These are the indicative estimates of Russia’s losses as of March 30, according to the Armed Forces of Ukraine.

For details on Urkrainian losses and further analysis see my previous posts
FB_IMG_1648669172065.jpg
 
Bwana wewe si mtoto, usilete hapa hoja za kitoto. Ukitaka kushiriki hapa, jielimishe!!
soma Moscow Times: 12 National Guards Appeal Dismissal For Refusing To Invade Ukraine - The Moscow Times
Askari 12 wa National Guard wa Urusi walikataa kwenda Ukraine maana sheria ya ajira yao inasema kazi yao ni kutetea Urusi, si kuingia nchi nyingine. Wako mahakamani sasa wakipinga kuachishwa jeshini.
Pia katika sheria ya kimataifa mambo yamebadilika tangu 1945. Majenerali Wajerumani walihukumiwa kwa jinai za kivita, sheria kimsingi haikubali tena kutekeleza amri yoyote kama ni dhahiri si halali.
Ninajua pia kwamba utaratibu huo unapuuzwa mara nyingi hadi leo, lakini ni angalau misiningi ilianza kuwekwa.
Halafu usitangaze porojo eti ninachukia Urusi. Unajuaje? Kwa sababu nampinga kiongozi mbaya anayeingiza nchi yake katika vita na umaskini mimi nachukia taifa hili kubwa lenye watu wengi wazuri? Waliochangia mema mengi kwa utamaduni wa Dunia?
Tafadhali, washa akili kabla ya kuandika. Naamini unayo ila siasa kali inaweza kuzimisha.
Jamaa yupo sahihi.

Hakuna siasa kwenye majeshi duniani kote.
Kule Kuna amri au kwa lugha ya kale kakisiwa kadogo kaliopo Magharibi mwa Ulaya ni Order.

Askari Dunia nzima hufuata amri katika utumishi wao.

Nao wanajua kifo kwenye uwanja wa vita ama wakitetea nchi yao au wakilinda maslahi ya Taifa lao ni heshima ya juu.

Vita inapoanza na Kutokea wakagoma hao ni maadui wa taifa hivyo kosa la usaliti au uhaini watahusika na kuonekana waoga maisha Yao yote.

Na Warusi kwa asili ya tamaduni zao, askari anayeogopa vita ana hadhi ya chini kuliko mbwa.

Halafu askari 12 ni nini?
Wana athari gani katika jeshi lenye askari ambao wapo fiti na kutumikia zaidi ya Milioni Moja.
Akiba wapo zaidi ya Milioni 2.

Sioni mantiki ya hoja yako.

Hakuna kikosi kinachosonga mbele bila kuwa na mission na uelekeo wa nini wanaenda kufanya,
Acha propaganda.
Screenshot_20220330-225447.jpg
 
Kuwapiga mmeshindwa ikabidi muungane nao
Slava Ukraine ✊
 
Back
Top Bottom