Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna tofauti kuwa sana kati ya ari ya majeshi hayo mawili. Raia wa Ukraine wanapigania uhai wa nchi yao kama taifa huru, wakishangazwa na hotuba ya mkesha wa vita ya Rais Putin ambapo alisema kuwa Ukraine ni nchi bandia iliyoundwa na Urusi

Wananchi wa Ukraine wameunga mkono serikali yao na rais wao. Hii imesababisha raia wasio na uzoefu wa kijeshi kuchukua silaha kwa urahisi ili kulinda miji yao licha ya nguvu kubwa ya kijeshi kutoka kwa Urusi

"Hivi ndivyo watu wanavyopigania kuwepo kwao," anasema Brigedia Tom Foulkes, ambaye alihudumu miaka 35 kama afisa wa Jeshi la Uingereza nchini Ujerumani wakati wa Vita Baridi. "Hivi ndivyo wanavyolinda nchi yao na familia zao.

Ujasiri wao ni wa kushangaza na wa kupendeza."

Hatua hiyo imewaweka huru askari wa Kiukreni kwenda kupigana kwenye mstari wa mbele, wakijua miji yao ina ulinzi wa kina.

Kinyume chake, wanajeshi wengi wa Urusi waliotumwa kupigana nchini Ukraine ni askari waliotoka shuleni, wamechanganyikiwa kwa kujikuta katika eneo la vita wakati walidhani walikuwa wakiendelea na mazoezi tu.

Wengi walikuwa na maandalizi kidogo ya vita au hawakujua lolote kwa ajili ya ukali wa mapigano waliyokumbana nayo.

Kumekuwa na ripoti za wengine kutoroka jeshini, uhaba wa chakula na uporaji.

URUSI inajuta sasa. ukiinama mshale ukiinuka Nshale.
Hakuna cha ujasiri wala nn! Huyo bwana zele ndie alisaini martial law kuzuia wanaume kuondoka. Wengi walikuwa wanakimbia wakiwa wamevaa km wanawake. Wangekuwa washakimbia wote!

Uzalendo mbele ya Russia, thubutuuu!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Bora zako wewe mswahili wa Tanzania una akili zaidi ya Colonel Macgregor wa Marekani, kiasi kwamba waona Ukraine inashambuliwa kijeshi pasi na kumchokonoa/chokoza jirani yake Russia...

Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani anasema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani ni kukiri na kukubaliana na nukta ya msingi ya Putin (Russia), ambayo serekali ya Russia imeiweka wazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa. Nukta yenyewe ni kuwa Russia hawataki majeshi ya Marekani, mizinga ya Marekani, na majeshi ya NATO kwenye mpaka wake na Ukraine (Mashariki ya Ukraine kwenye majimbo yaliyotangazwa huru na Putin).

Colonel Douglas akaendelea kusema: Kiukweli kabisa hata sisi Wamarekani hatukuyataka majeshi ya Russia na mizinga yake ndani ya Cuba, Putin naye hataki mambo hayo mashariki mwa Ukraine. Lazima tukubali madai hayo. Tuache kujifanyisha kuwa madai hayo hayana maana (ni ya kipuuzi).

Zaidi ya hapo Colonel huyo kasema Marekani haina uwezo wa kumfanya chochote Putin dhidi ya uvamizi wake.
===


COL. DOUGLAS MACGREGOR: Let me just reiterate something. I, like you and millions of Americans, would prefer that the troops headed to Eastern Europe right now were headed to the Mexican border. But I’m also very concerned that we find a way to avoid a conflict with Russia. The first thing we have to do is acknowledge that Putin’s basic point, not just his point, the Russian government’s point, which they’ve made for 25 years, is valid. They don’t want U.S. forces and missiles and NATO troops immediately across the border in eastern Ukraine. Absolutely. We didn’t want them in Cuba, he doesn’t want them in eastern Ukraine. We should acknowledge that. Stop pretending it’s a nonissue. It is a major issue for them. Let’s acknowledge it and then let’s get down to business and tell them fine, our concern at this point is we don’t want you to proceed west towards the polish border over the Dnieper River in Ukraine.
Basi mtaalamu mkubwa, labda niambie kitu kimoja tu: ni lini kwamba vikosi vya NATO na roketi za NATO zilifika kwenye mpaka wa mashariki wa Ukraine???
Nato imekataa ombi la Ukraine kujiunga nayo tangu mwaka 2008.
NATO haiko Ukraine, menginevyo Putin asingevamia.

Unapenda kuchota FoxNews ambayo ni media ya magharibi kushinda magharibi yote ya Dunia, ila miaka ya kupigia debe Donald Trump iliathiri uwezo wake wa kuona na kufikiri.
 
Kwanza Ukraine haikupokelewa katika NATO. NATO haiko Ukraine (menginevyo Putin asingevamia).

Pili nionyeshe makubaliano gani Ukraine imekiuka? Jina la makubaliano, tarehe gani, mahali pake, jina lake? Tafadhali usifuate propaganda hata kama imerudiwa mara 1,000.
Dunia si tambarare, binadamu amewahi kukanyaga Mwezini, Ukraine haikuahidi kutojiunga na kitu chochote.
Hujui kuwa Bunge la Ukraine lilipiga kura ya kujiunga na NATO?Baada ya hapo ndio ungefuata mchakato wa kutuma maombi NATO!Kabla hilo halijatokea ndio Putin akaona aingilie kati!
Pili,makubaliano yaliingiwa Ili NATO isijipanue east zaidi Kwa maana ya Ukraine Kwa ajili ya usalama wa Russia,lakini kuna minsk agreement!Nenda katafute mwenyewe!
 
tukakaa hivi hivi kwamba hizi ni propaganda kumbe mambo yamebadilika - hakuna yoyote aliyedhani vita hii itakuchukua siku 30 - hata Putin mwenyewe haamini.

Kuondoka huko hawezi kabisa maana itaonekana kashindwa, kwa hiyo kinachokwenda kufanyika ni makubaliano ya kumaliza vita na Ukraine moja kwa moja kujiunga NATO - na Mrusi kudhoofu ki-uchumi na huo ndio utakuwa mwisho wa utawala wa Putin - game over
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwaambia hakuna nchi inayojitambua itanunua kwa rubles
~Poland's state energy company on Thursday said it would not pay for Russian gas in rubles, becoming the latest to reject Kremlin demands amid unprecedented sanctions on Moscow over its war in Ukraine
Russia ana gesi asilimia 30℅ ya reseeve ya gas yote duniani, na hakuna nchi nyingine inayofikia hata 15℅ hivyo gesi ya Russia itanunuliwa tu
 
Ni vile jirani hachaguliwi,Kuna majirani wengine kuishi nao ni kazi sana atakukeraa we mpaka ujute kununua kiwanja pembeni yake.sasa Ukraine anatabu sana kuwa jirani wa mbabu mjinga na anayejistukiastukia kama yule.
Mrembo Joannah nipo hapa jirani yako barrriiidi ambae sio tu huwa sitaki kukuudhi, bali hata kukuambia taarifa zitazokukwaza huwa najiepusha
 
Russia ana gesi asilimia 30℅ ya reseeve ya gas yote duniani, na hakuna nchi nyingine inayofikia hata 15℅ hivyo gesi ya Russia itanunuliwa tu
Ficha ujinga wako, gesi imejaa Middle East yakutosha.

Germany Won't Pay Russia in Rubles for Natural Gas, Defying Putin Request
BY LORA KORPAR ON 3/24/22 AT 1:12 PM EDT
SHARE
NEWS RUSSIA GERMANY NATURAL GAS GAS
German Chancellor Olaf Scholz refused Russian President Vladimir Putin's request to have Germany pay for Russian gas deliveries with rubles.


At a Group of Seven (G7) press conference in Brussels on Thursday, Scholz said this is because "there are fixed contracts" that specify the payments must be made in euros or dollars "and that's what counts,"
 
Kumbe NATO imeundwa ili kupigana na URUSSI kwahiyo nchi 30 zinamshindwa mtu 1? Hapo unakubaliana kuwa Russia ndo mbabe wa Dunia mpaka watu wanaungana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Term hii PUTIN kawanyoosha mazafuckas
Ushanawa vizuri?
 
🇰🇵 Pyongyang has confirmed that it had tested its Hwasong-17 intercontinental ballistic missile (ICBM). The Thursday launch was North Korea’s first ICBM test since 2017. Japan said that if Pyongyang launched the missile along a conventional trajectory, it could have flown 15,000 km (9,320 miles), reaching any point on US soil.
 
Deputy Chairman of the Security Council Dmitry Medvedev told RT that Russia will continue to sell oil and gas to the West, but will do it only for rubles:

“Now this is a significant part of our income, and we are obliged to receive all this income. At the same time, under the current conditions, we certainly look at the Asian markets and think about how to diversify these deliveries.

If our European friends are in a great hurry in the sense of refusing to supply from the Russian Federation, refusing our oil and gas. It is very difficult to do this, because 40% of gas comes from Russia (and about a third of oil supplies).

But it would be an honor. If they want to get rid of it, they will get rid of it. The only question is in what perspective. We also need to think about what to do with it.

We say: since everything else has collapsed, pay in rubles. Let them find ways to pay.”
@T14 Armata
 
Ficha ujinga wako, gesi imejaa Middle East yakutosha.

Germany Won't Pay Russia in Rubles for Natural Gas, Defying Putin Request
BY LORA KORPAR ON 3/24/22 AT 1:12 PM EDT
SHARE
NEWS RUSSIA GERMANY NATURAL GAS GAS
German Chancellor Olaf Scholz refused Russian President Vladimir Putin's request to have Germany pay for Russian gas deliveries with rubles.


At a Group of Seven (G7) press conference in Brussels on Thursday, Scholz said this is because "there are fixed contracts" that specify the payments must be made in euros or dollars "and that's what counts,"

Haya ndo madhara ya mtoto wa kiume kujiita coco, Russia ndo nchi inayoongoza kuwa na gas reserve kubwa duniani. Sorry wewe ni dem au boy?
 
Kuna tofauti kuwa sana kati ya ari ya majeshi hayo mawili. Raia wa Ukraine wanapigania uhai wa nchi yao kama taifa huru, wakishangazwa na hotuba ya mkesha wa vita ya Rais Putin ambapo alisema kuwa Ukraine ni nchi bandia iliyoundwa na Urusi

Wananchi wa Ukraine wameunga mkono serikali yao na rais wao. Hii imesababisha raia wasio na uzoefu wa kijeshi kuchukua silaha kwa urahisi ili kulinda miji yao licha ya nguvu kubwa ya kijeshi kutoka kwa Urusi

"Hivi ndivyo watu wanavyopigania kuwepo kwao," anasema Brigedia Tom Foulkes, ambaye alihudumu miaka 35 kama afisa wa Jeshi la Uingereza nchini Ujerumani wakati wa Vita Baridi. "Hivi ndivyo wanavyolinda nchi yao na familia zao.

Ujasiri wao ni wa kushangaza na wa kupendeza."

Hatua hiyo imewaweka huru askari wa Kiukreni kwenda kupigana kwenye mstari wa mbele, wakijua miji yao ina ulinzi wa kina.

Kinyume chake, wanajeshi wengi wa Urusi waliotumwa kupigana nchini Ukraine ni askari waliotoka shuleni, wamechanganyikiwa kwa kujikuta katika eneo la vita wakati walidhani walikuwa wakiendelea na mazoezi tu.

Wengi walikuwa na maandalizi kidogo ya vita au hawakujua lolote kwa ajili ya ukali wa mapigano waliyokumbana nayo.

Kumekuwa na ripoti za wengine kutoroka jeshini, uhaba wa chakula na uporaji.

URUSI inajuta sasa. ukiinama mshale ukiinuka Nshale.
Mkuu hiki ulichosema Siyo kweli, kama wananchi wanaipenda nchi yao na wamejitolea kuilinda kwanini rais wa Ukraine apige marufuku wanaume kuanzia 18 hadi 60 wasiondoke????,

Ile kauli ya urusi ndani wiki wataichujua Ukraine ina ukweli ndani yake, na hili lingetikimia kama kama NATO na USA wasingempa Ukraine silaha,

Halafu kinachoendelea sasa hivi ni Vita Kati ya NATO na USA dhidi ya Russia na Ukraine ni battle ground

Kwa maneno mengine tunaweza kusema Leo ni mwezi mmoja na zaidi Vita Kati Russia dhidi ya NATO na USA
 
Hujui kuwa Bunge la Ukraine lilipiga kura ya kujiunga na NATO?Baada ya hapo ndio ungefuata mchakato wa kutuma maombi NATO!Kabla hilo halijatokea ndio Putin akaona aingilie kati!
Pili,makubaliano yaliingiwa Ili NATO isijipanue east zaidi Kwa maana ya Ukraine Kwa ajili ya usalama wa Russia,lakini kuna minsk agreement!Nenda katafute mwenyewe!
Watu wengine n slow learner achaneni nao.
 
🇩🇪🇷🇺 The share of Russian gas supplies to Germany is expected to decrease from 55% to 40% by the end of March, and should drop to 10% by mid-2024, Der Spiegel reports.

🛢Germany wants to halve Russian oil imports by mid-2022 and also expects to fully substitute coal supplies from Russia by this upcoming fall.
 
Russia warudi tu nyumbani hamna wanachokifanya Ukraine kama ni vita wameshashindwa uwezo wao wa kijeshi ulitiwa chumvi, Urusi ya kweli ilikuwa ni ile USSR ya akina Lionid Brezhnev, Constantine Chernenkho na Yuri Andropov lakini sio hii ya huyu tapeli Putin.

Anaua watu wasio na hatia bure kabisa kwa upumbavu wake, lazima afikishwe mahakamani The Hague kwa uovu aliofanya. Bure kabisa.
Hahaha Putin ni mwamba. Wewe uko hapa unamuita mpumbavu wakati raisi aliyepita wa marekani anamuita mrazini na mwenye akili nyingi (Genius and smart)~ DT[emoji631].
Na huko the heague ataenda lkn baada ya kwenda Blair, Clinton, Bush na Obama [emoji1787].

Urusi ni taifa moja tu chini ya raisi mmoja uchumi wake mdogo kuliko texas lkn inahofiwa na mataifa 30 yenye maraisi na mawaziri wakuu changanya na wafalme na malkia na chumi kubwa sana.

Tukizingatia comparison ya uchumi na nguvu za kijeshi basi utaona Kwenye issues za military Russia hana mpinzani kwenye hii dunia.

The Mighty Russia, The Undisputed Putin[emoji91]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom