Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

🇩🇪🇷🇺 The share of Russian gas supplies to Germany is expected to decrease from 55% to 40% by the end of March, and should drop to 10% by mid-2024, Der Spiegel reports.

🛢Germany wants to halve Russian oil imports by mid-2022 and also expects to fully substitute coal supplies from Russia by this upcoming fall.
Safi Sana germany, mrussi gesi yake abaki nayo
 
Basi mtaalamu mkubwa, labda niambie kitu kimoja tu: ni lini kwamba vikosi vya NATO na roketi za NATO zilifika kwenye mpaka wa mashariki wa Ukraine???
Nato imekataa ombi la Ukraine kujiunga nayo tangu mwaka 2008.
NATO haiko Ukraine, menginevyo Putin asingevamia.

Unapenda kuchota FoxNews ambayo ni media ya magharibi kushinda magharibi yote ya Dunia, ila miaka ya kupigia debe Donald Trump iliathiri uwezo wake wa kuona na kufikiri.
Muulize Colonel Macgregor, mmarekani O.G. (sio wa Buza) na afisa mstaafu wa ngazi za juu kwenye Jeshi la Marekani

SmartSelect_20220325-111447_Chrome.jpg
 
Unajizima data sio?watoto wawili wanajipungia mkono maana hao hata ndege zikipita juu huwa wanapinga Leo mnaandika eti raia wa UKRAINE?Wa Ukrainian sio wanafiki wamesimama na Raisi wao hata mlivyomuona Ni comedian wapo nae
Putin alidanganywa. Zelensky ni shujaa angekimbia leo Urusi angekuwa Kyiv. Kutokimbia kwake kunasababisha wananchi wake wapigane, na ndo maana huonekana bila vest
 
❗️Summary of the special operation in Ukraine from the Russian Ministry of Defense. The armed forces destroyed the largest of the remaining fuel bases of the Kiev regime with a strike of "calibers".

➖It was located in the village of Kalinovka near Kiev. From this base fuel was supplied to military units in the central part of Ukraine.

➖Russian forces advanced 4 km overnight and captured Batmanka, Mikhailovka, Krasny Partizan, Stavki and Troitsky, they are developing an offensive against units of the Ukrainian 25th airborne brigade.

➖A group of "night hunters" from Ka-52 and Mi-28N helicopters destroyed 24 units of military equipment, including 7 tanks, 5 infantry fighting vehicles and 3 armored personnel carriers during night strikes. During the night, operational-tactical and army aviation hit 51 military facilities of Ukraine.

➖In total, since the beginning of the operation, 261 Ukrainian drones, 204 anti-aircraft missile systems, 1,587 tanks and other combat armored vehicles, 163 MLRS, 636 field artillery pieces and mortars have been destroyed.
 
The United States is mistaken in thinking that they have no competitors, the unipolar world has come to an end - Deputy Chairman of the Security Council of Russia

The Americans are no longer the masters of the planet, Dmitry Medvedev said in an interview with RIA Novosti. What else did he say:

🔹The states perceive themselves outside the context of international law, they believe that they are above everyone, that they have the right to judge everyone, to do whatever they want. But it's not.

The West uses Russophobia to achieve internal goals. To do this, you always need to find a target or an enemy.

🔹During such a situation as a special operation in Ukraine, you cannot pursue an anti-state line in Russia and criticize the country while abroad, this is a betrayal.

🔹The special operation will continue until the set goals are achieved - the denazification and demilitarization of Ukraine.

🔹About the Russians who left the country: this is their personal decision, you need to distinguish between simply leaving and betrayal. As a human being, it is a pity for the departed IT specialists, we are taking measures so that the majority remain.
 
[emoji779]️Summary of the special operation in Ukraine from the Russian Ministry of Defense. The armed forces destroyed the largest of the remaining fuel bases of the Kiev regime with a strike of "calibers".

[emoji810]It was located in the village of Kalinovka near Kiev. From this base fuel was supplied to military units in the central part of Ukraine.

[emoji810]Russian forces advanced 4 km overnight and captured Batmanka, Mikhailovka, Krasny Partizan, Stavki and Troitsky, they are developing an offensive against units of the Ukrainian 25th airborne brigade.

[emoji810]A group of "night hunters" from Ka-52 and Mi-28N helicopters destroyed 24 units of military equipment, including 7 tanks, 5 infantry fighting vehicles and 3 armored personnel carriers during night strikes. During the night, operational-tactical and army aviation hit 51 military facilities of Ukraine.

[emoji810]In total, since the beginning of the operation, 261 Ukrainian drones, 204 anti-aircraft missile systems, 1,587 tanks and other combat armored vehicles, 163 MLRS, 636 field artillery pieces and mortars have been destroyed.
Huo ni uongo,huu ndio ukweli sasa
JamiiForums475787074.jpg
 
Hujui kuwa Bunge la Ukraine lilipiga kura ya kujiunga na NATO?Baada ya hapo ndio ungefuata mchakato wa kutuma maombi NATO!Kabla hilo halijatokea ndio Putin akaona aingilie kati!
Pili,makubaliano yaliingiwa Ili NATO isijipanue east zaidi Kwa maana ya Ukraine Kwa ajili ya usalama wa Russia,lakini kuna minsk agreement!Nenda katafute mwenyewe!
Ndugu, nimeandika kwamba Ukraine imeleta maombi kupokelewa NATO mara kadhaa. Hata wameweka lengo la uanachama wa NATO katika katiba ya taifa, tayari tarehe 21 February 2019, si sasa hivi!!

Kuhusu Mapatano ya Minsk: Unaonaje kama unaisoma mwenyewe? Badala ya kufuata tu propaganda juu yake.
Makubaliano ya Minsk kuna sehemu mbili:
Minsk I ya tarehe 5 Septemba 2014, ina vipengele 12
Minsk II ya tarehe 15 Februari 2015, ina vipengele 12

Neno NATO unaona wapi? tafadhali tusijadili hewani. Taja sehemu unayomaanisha!
 
Pro NATO Wanaumia sana kuona NATO wanashindwa kumvamia Mrusi kama ilivyokuwa kwa Iraq na kinachonishangaza kuna watu zinasema siku za Russia zimefika. Najua hii inaumiza na Pro NATO hawataki kusikia lakini vita kati ya NATO na RUSSIA ni vita ya Nyuklia na kuna uwezekano isirushwe hata risasi moja.

Ukitaja kujua Russia atatumia silaha zipi vita ya tatu ni sasa ambapo hana hata Presha NATO wakija na mipango sijui tunaimarisha mpaka wa Poland sijui tunaongeza askari Lativia, Romania, Slovakia na Hungary mwenzao hana hata wasiwasi kabisa maana kauli mbiu yetu Kremlin ni HAPA NUKES TU
Yaani RUSSIA hana wac anatoa dozi huku anaangalia atakae jipendekeza ale kipigo
 
The Bank of Russia has banned the withdrawal of foreign investors' funds from the Russian Federation, whose states have frozen Russian reserves.

As the Central Bank explained, this was actually a mirror measure - a response freeze for a comparable amount.

▪️The movement of capital is limited.
▪️The sale of securities by such investors is prohibited.
▪️ It is forbidden for them to withdraw funds from the Russian financial system.
 
Back
Top Bottom