Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hhhh kabisa MKUUNa zikitumika hizo chemical weapons atasema" the US would respond if Russia uses Nuclear weapons in Ukraine" kama alivyo sema kuhusu kuivamia kabla ya uvamizi.
Hhhh kabisa MKUUNa zikitumika hizo chemical weapons atasema" the US would respond if Russia uses Nuclear weapons in Ukraine" kama alivyo sema kuhusu kuivamia kabla ya uvamizi.
Nasubiri mwisho wa vita. Najua atawapa ujasiri wengi mno na sidhani kuna nchi itakubali vamiwa kizembeKaonyesha uzalendo na ukomavu wa akili dogo.
Jamaa bwana kwa kamba nimekunyooshea mìkono mzee daaah muongo mnourusi ikiuteka mji wa mariupoli kikamilifu pigo kwa ulaya nzima huu mji ulikuwa na wajeda wa ukraine karibia 60000 vikosi vya warusi walioenda hawafiki 4000
Ila wee jamaa umelipwa sh ngapi kwa ajili ya kueneza hizi prolaganda zako eti!!hapa ukreini imepoteza mzinga muhimuView attachment 2163823View attachment 2163824
inaitwa trophy 2c7
Mrussi Wa makunduchi itaje jina la hio media nikufundishe kitu.Media ya waMarekani wa Tandahimba
Ni kweli ila kuhusu wanajeshi katulisha matango pori Urusi ana zaidi ya wanajeshi 6000 kwenye miji huo.Jamaa bwana kwa kamba nimekunyooshea mìkono mzee daaah muongo mno
Mkuu, Imebidi nicheke kwa sauti aisee
Ukiona alichokiongea Colonel Macgregor, afisa mstaafu wa Jeshi la Marekani ni upuuzi, basi ujue wewe ima ndiye mpuuzi au ni kilaza.Unataka kukimbia na kujificha sasa baada ya kuleta upuuzi?? Hapana sitamwuliza kanali Mcgregor, sioni sababu. Wewe umeleta upuuzi hapa.
Pamoja na upuuzi kuwa kanali ndiye afisa "wa ngazi za juu kwenye Jeshi la Marekani". Hapana, mpendwa, kanali si afisa wa ngazi ya juu katika jeshi kubwa penye ngazi kadhaa juu yake. (kwenye jeshi la Luxemburg au Burkina Faso ungesema kweli, huko kanali kweli yuko juu tayari).
Basi umeleta upuuzi na hutaki kuitetea?? tttttt.....🤣
Kwa hiyo tuelewane: vikosi vya NATO havikuingia katika Ukraine, NATO haiko Ukraine, menginevyo Puti asingevamia!
Tuko pamoja, je?
Jina la media ni 'mMarekani wa Nanyamba'Mrussi Wa makunduchi itaje jina la hio media nikufundishe kitu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣HII VITA TUNAIMALIZA NDANI YA SIKU TATU...
Walisikika ma generali wa Putin wanaoishi gongo la mboto ulongoni.
Unakumbuka ile mikwara mbuzi ya yeyote atakaeisaidia Ukraine atakiona cha moto,kila siku Ukraine anapelekewa misaada tena ya silaha wazi wazi na mtoa mikwara Putin kaufyata.AKILI UNAZO LAKINI?? NATO AINGIE KAMA NANI? UKRAINE UNAJUA KUWA SIO MWANACHAMA WA NATO?? ACHA KUFIKIRI KWA KUTUMIA UBONGO WA NYUMA
NATO HAINA SABABU ZA MSINGI KUINGILIA VITA ILA NA KAMA ANAWEZA AJARIBU KUTUPA BOMU HATA KWA BAHATI MBAYA KWA MOJA WA WASHIRIKA WA NATO, UTAONA MZIKI
HII VITA TUNAIMALIZA SIKU TATU😂😂😂😂
MWEZI SASA UNAISHA
Yuko na 27yrs kwa mujibu wake,sasa hapo si unahangaika na mtoto ambae bado anakunywa maziwa unamuuliza vitu vikubwa mno,mwache kwanza ahangaike na application za kazi😀Ni mtoto mdogo? Aisee, Ookey.
Hisabati ni changamoto Tanzania. Unaleta screenshot "what are the 5 highest ranks in the (US) army? halafu unachora nafasi ya kanali ambayi ni nafasi ya sita.Ukiona alichokiongea Colonel Macgregor, afisa mstaafu wa Jeshi la Marekani ni upuuzi, basi ujue wewe ima ndiye mpuuzi au ni kilaza.
Haya, Colonel ni kuruti, si ktk maafisa wakubwa ktk jeshi la US (kwa akili yako ndogo uliyonayo)...angalia screenshot ya pili
View attachment 2163833
| Hata sijali kanali yako ni nini au nani. najali upuuzi unaonukuliwa. Hujaleta ushahidi wowote kuwa vikosi vya NATO vimefika mpaka wa mashariki wa Ukraine. Isipokuwa maneno ya kanali yako ambaye labda hajafaulu kusema yale alichotaka kusema , ila nukuu jinsi ulivyoleta ni upuuzi. Nimesikia majenerali wakubwa (Warusi safari hii) walioeleza uwongo na upuuzi kuhusu mafanikio ya jeshi lao, serikali ya Kinazi katika ukraine... na kadhalika. Usijifiche nyuma ya sare ya mtu mwingine. Simama na lete ushahidi kwa yale unayotangaza hapa jukwaani. Kama huna - basi, wako wanzako watakofariji, bila shaka. |
Kiduku ana wivu sana, kaona Putin anaongelewa kuliko yeye akaamua kutest kombora ili tu apate attention ya Dunia,hana habari na kinachomkuta rafiki yake Russia.Urafiki na China siku zote ni fake kama vitu vyao vilivyo,kule UN walimute kama hawapo vile kwenye kupiga kura😀hii vita ni ngumu kwa Mrusi, inavyoonekana kashawekwa mtu kati - mchina na Korea kaskazini si wa kutegemea hao wakati wa matatizo.