Uchumi wa Marekani ni mkubwa mara 20 zaidi ya Uchumi wa Rusia. Ukiunganisha uchumi wa China, India na Russia kwa pamoja bado hazifikii USA kwa ukubwa, hawa wote mshirika wao mkubwa biashara ni USA au EU sasa watakataa kutumia dola kwa sababu gani?? Sijazungumzia mataifa karibia yote duniani, na wafanyabiashara wote wanapenda na wanalazimika kweka reserves na akiba zao katika US dollars. Russia anafanya vitimbi vya kitoto tu, anapambana na superpower halisi.
Pia jifunze kwa nini US Dollar inapendelewa zaidi katika biashara duniani kote. Dollar ni pesa isiyoyumba kama mlevi, Ni currency stable kuliko zote duniani.