Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uchumi wa Marekani ni mkubwa mara 20 zaidi ya Uchumi wa Rusia. Ukiunganisha uchumi wa China, India na Russia kwa pamoja bado hazifikii USA kwa ukubwa, hawa wote mshirika wao mkubwa biashara ni USA au EU sasa watakataa kutumia dola kwa sababu gani?? Sijazungumzia mataifa karibia yote duniani, na wafanyabiashara wote wanapenda na wanalazimika kweka reserves na akiba zao katika US dollars. Russia anafanya vitimbi vya kitoto tu, anapambana na superpower halisi.

Pia jifunze kwa nini US Dollar inapendelewa zaidi katika biashara duniani kote. Dollar ni pesa isiyoyumba kama mlevi, Ni currency stable kuliko zote duniani.
Sawa wewe mwenye akili nieleze yapi yatakiwa matokeo chanya iwapo dollar ya USA haitatumika kama hela ya kati katika ugavi wa bidhaa na huduma baina ya mataifa.I'm waiting......
 
Kwani Nato hawana?
Wanazo. Lakini Wakipigwa na wao wakapiga nani anakuwa na faida? Hakuna raia anayetaka nuclear, hata raia wa Urusi wenyewe sidhani kama wanataka kuona miji yao ikiwaka moto sababu na wao wameunguza ya wenzao. Ukraine tu ikiweza kutupa makombora kama inavyotupiwa Puttin anaweza kuwa kwenye presha ya maswali kutoka kwa raia.
 
Hapa badaye inaingia China,India,Venezuela, Syria na baadhi ya mataifa yanayozalisha mafuta,tumaliza kabisa mambo ya USA $ dominance.Hapo ndio watu watajua uchumi wa USA unalingana na wa Nigeria.

HUYU HANA HATA UWEZO WA KUCHAMBUA MAMBO, ETU TUNAMALIZA SHUGHULI😂😂😂
ALISHAJIONA NI MRUSI MWEUSI KABISA.
MAMBO YA DUNIA HAYAENDESHWI HIVYO KAMA UNAVYODHANI.

NYIE NDO WALE MNAOWACHUKIA WENZENU KISA WANA MAFANIKIO, MAJIRANI WENYE CHOYO NA ROHO MBAYA USIEPENDA MAFANIKIO YA WENZIO.
 
Hamna Silaa za Nyuklia zinaweza kumaliza Binadamu wote Duniani,achana na propaganda na western.

Ujue Nchi za western ni wapumbavu sana kwa propaganda, kwa kuwa Vi Nchi vyao ni vidogo vidogo-ni wazi wakishambuliwa na hayo mabomu basi kuna uwezekano mkubwa wa kufutika moja kwa moja.Sasa wamehamisha propaganda hizo kuwa swala la Dunia.
Kwani impact ya nuclear bomb kwenye Earth atmosphere na layers zake ni nni iwapo zitapigwa kwa idadi kubwa? Tuanzie hapa kwanza.

Halafu ukumbuke, hakuna kitu kinaitwa nchi, mambo ya nchi ni ya kusadikika ya binadamu kama mbwa anavyokojolea maeneo yake kuweka alama. Dunia ni single object yenye viumbe hai.

Ni sawa na meli moja kubwa yenye vyumba vyenye majina Russia, Tanzania, Rwanda, Somalia halafu anayelala chumba cha Somalia akagombana na jirani yake Kisha mmoja akaamua atoboe katundu kadogoooo kajaze maji kwenye hicho chumba. Meli inaweza isizame, ila kama itazama haitasema vyumba vya Urusi, Tanzania na Rwanda haviusiki.

download (16).jpeg
images (92).jpeg
 
Mkipata nafasi muwe mnasikiliza yanayotoka kwenye vinywa vyao...



Kwenye hayo maneno yake kuna hizi kauli
1. We have armed Ukraine to the teeth since 2014.
Tujiulize wamekuwa wanaikomaza kijeshi Ukraine toka 2014, je Ukraine ni NATO? kwanini sas hawatak kuingia ilhal wameliengeneza hilo jesh la ukraine wao wenyewe...

2. This is not our war.
Sio vita vyao but wanatumia ela za walipa kodi na vikao kila kukicha kishughurika na Russia uko Ukraine

3. So, they want this war inside ukraine [emoji23][emoji23][emoji23] not beyond!
Wanaitaka hii vita ndani ya Ukraine sio nje ya Ukraine wanasema itakuwa na Casualties wengi? Je uko wanakotuma wanaopigana na kuumia ni maroboti?

Tukisema hawa NATO ni Terrorists Organization tunakosea?

Hii clip ya pili nayo isikilizeni vizuri.



Rep. Adam 2020 apo miaka miwili iliyopita alisema wanatoa Aid of Millitary to Ukraine to protect American national security interest in region and beyond so as they can fight Russia over there (Ukraine) and not here (America)...

Hapa kwa kauli hiyo mpika ugonvi ni yeye (American) kisha anakuja kutwambia Putin have made a mistake to pledge a war with "sovereignty" country, really?

Kitu wamekipika na kukiandaa toka mwanzo kisha leo wanatumia Media kumtangaza yule mzee wa Russia kua ni War Criminal.

Sasa nyie Pro America na Pro NATO sijuwi huwa mnatumia nn kufikiri. Kiasi mnavotetea na kuwapamba wamagharibi wenu kwa huu utumbo wanaofanya.

Jana ilikuwa 24 March 2022, ikiwa inatimiza miaka 23 tangu wailipue Yugoslavia 24 March 1999... Kama wao USA walivo na kumbu kumbu mbaya ya Sept 11. Kila mwaka Serbia nao wanakumbukumb mbaya vile vile kuhus hyo tareh waliokutania jana...

Katika hao waliokutana jana kiongozi Mmoja wapo anajinadi wazi kua ndie aliyetoa tamko la kulipuliwa kwa Yugoslavia and yet sasa nae ana gut ya kumwita mwenzie war criminal na sie uku mbumbukizi mnafatilisha anachokisema Putin n War Criminal [emoji848][emoji848][emoji848][emoji847]



"I suggested bombing of Belgrade. I suggested that American pilots go there and destroy all bridges on the Drina," Biden said. Kisha anaendelea kusema "I suggested we take their oil supply [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]" hapo ndio tujue wizi hawajaanza jana.

Nyie Pro NATO na Pro American...??? Mnatumia nini kufikiri na kuwasapoti hawa viumbe?
 
Shure wanongelea dunia kumbe wanajisema wao View attachment 2163483 nyundo kama hizi 4 zikigongwa 1 Uk na pili france na mbili zikashonwa pale us na kanada ....hiyo dunia yao wanayo izungumzia haitakuepo patabakia magofu tu ndo maana wanapiga makelele tuu....yaani wanataka mpaka afrika tuitetee dunia yao .....hawakumbuki libya ...iraki ...afghanista ....yemen ...wana pajnguza na mabomu .....dahh aisee......wao wanaogopa kufa ila kwa wengine safii...
Hakuna kitu kinaitwa nchi kwenye dunia. Nchi ni mambo ya kusadikika kama mbwa anavyoweka mpaka kutumia mkojo wake. Dunia ni single object yenye Ardhi, Maji, Anga na viumbe hai. Massive Nuclear attack impact on Earth haina mipaka.
 
Usife na tai shingoni ...nchi ya zelensikky inachomeka ishakuwa majivu .....na bado poland tutaingia huko nako maana anajifanya na yeye kaweka uwanja wa mapambano home kwake stay tune .....View attachment 2163481 unaona hizi fagio zinaenda fagia ulaya na marekani dunia ianze upya .....[emoji6][emoji6][emoji6]
Wewe kunywa maziwa ushibe,you are too young to digest solid food🙂
 
Nimekuuliza hizo hypersonic za Supapawa wa mchongo zimeleta madhara na matokeo yapi kwenye vita ya Ukraine? Sijakwambia nani anazo nani hana.
Hawa watoto wa supapawa wa makaratasi wamebobea sana katika kutaja vifaa vya kivita peke yake,ukiwauliza archievement ya Putin Ukraine,hapo unakuwa unawapelekea msiba,hawana maelezo ya kujitosheleza.
 
Back
Top Bottom