Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Majira ya wakati ni kitu ambacho kipo dhahiri kabisa kiunabii. Vita na tetesi za vita ni kitu ambacho pia kilitabiriwa muda mrefu uliopita.

Angalizo kuu tu ni kuwa vita hii isiponyoke umiliki wa wahusika wawili ambao ni Russia na Ukraine. Endapo ikifikia kiwango cha kumuhusisha Iran na Israel, "every thing will be over"

Take note that, Iranians are keenly, ambitious and willingly to unveil Mahdi. And actually they will do. The aftermath of this war will decide whether or not, the world is ready to usher in the era of anti Christ.
 
Putin angekuwa hana Nyuklia huu uvamizi NATO wangeumaliza ndani ya wiki moja tu.
Tatizo ni kwama wana dili na mwendawazimu aliye tayari kuipeleka dunia yote kwenye Nyuklia Amargeddon.
Umeongea mengi kuona kama unaelewa sana kumbe bado uwela wako wa medani uko chini, kama hujui vita ni sanaa sio kama unavyofikilia wewe, kuna vitu vingi vinatokea kwenye vita ambavyo vinahusisha uwezo wa makamanda wa vikosi ambavyo viko front, najua wengi humu ni civilian hawaijui vita in its technical sense, in fact urusi amezudiwa mbinu za medani na mabeberu ambayo yanampa backup Ukraine, cha kwanza alitumia military showoff kuwa intimidate wa ukraine na pili kitendo kufanya drilling mpakani kili wa alert ukraine na washirika wake kujiandaa kivita. Inaonekana wazi kabisa mpango wao wa uvamizi ulivuja ndio maana beberu mkuu USA aliwaomba raia wake kuondoka Ukraine alijua nini kitatokea. Kwa mwenye uwezo wa kutumia common sense Niko tayari kukoselewa mabeberu yamemzidi Putin mbinu, vikosi vyake vimeshindwa kabisa ku advance richa ya kutumia powerful fire support lakini group assualt hawapenyi kila wakisogea wanabondwa
 
Hakuna silaha aliyo nayo Russia ambayo Uingereza hana, tena za teknolojia za juu zaidi. Hakuna silaha aliyeo nayo Russia ambayo mwanachama yoyote wa NATO hawezi kuipata US au kwa mwingine yoyote.
Russia anachowea kuwazidi nacho ni wingi tu lakini wingi nao wa hausaidi kama umezidiwa akili.
Muache kufikiri na kuuliza nonsense.
UK Wana hypersonic?Mnaropoka sana
 
Ukraine inarudishwa zama za mawe
Screenshot_20220324-194528.jpg
 
Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?

Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?

Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
 
Vaisi vesaa ....uk / us ..ukitoa nyuklia hawana kitu mbele ya moscow ...ndo uhalisia ulivo....
Subiri waje watakutukana. Toka enzi na enzi vita vinapiganwa kwa silaha kulingana na zama husika. Zama hizi ni za nuclear na zitatumika tu Pro NATO watake wasitake yaan wakijitekenya ni kubonyeza button tu kutokea Moscow na kufuatilia runingani
 
[emoji635][emoji1255] Footage of one of the clashes. Video from the Ukrainian side.

View attachment 2157051

Huyu nae ni dume, ali'pretend ka mwanamke amekatwa mpakani akiwa anatoroka...Binafs naona bora huyu kuliko yule jamaa anashinda ofisini kujinsnap uku anawapa Raia silaha wanakufa ovyo...

View attachment 2157049

[emoji1255] A conscripted Ukrainian disguised as a woman was detained at a border crossing on the border with Romania.

View attachment 2157050

Kwingineko ni kuhusu huyu mzee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anazeeka vibaya.

View attachment 2157064

Zaidi za chini chini inasemekana huyu jamaa katoroka hayupo nchin kwake na video zake za karibuni zikionekama ni za "Special Effects nyuma ya Green Screen"...

[emoji1255] Zelensky again performed infront of a green screen

View attachment 2157066

Recall that the official authorities of Ukraine continue to assert that he is on the territory of the country. However, if he was still in the capital, then it would be pointless to resort to such an installation.
Sasa fanya uchambuzi kuhusu Putin kukaa umbali wa mita mia moja kutoka viongozi wake wakuu wa serikali na Jeshi huku akiwafokea kama watoto wanapojaribu kumpa mawazo mbadala.
 
Back
Top Bottom