[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeenhe haya bn... Ka umeboreka sorry... Lakin bado tu nakukumbusha kua we ni ndezi... Sio tusi bali nakusifia tu.
Hizo data za kunya hovyo zilikusanywa na nani [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] na zinahusiana na kipi katika nilichokizungumza apo?
Umehama umeingia kww GDP per Capita ukijua kabisa hii inaathiriwa na idadi ya watu. Unaitolea mfano India kwa GDP per Capita ilhl wajua fika India ina almot two times idadi ya watu waliopo bara zima la ulaya...
Uko juu umeitolea mfano Texas ambayo kwa Idadi ya watu ilonao ya Mil 29 ni sawa na Idadi ya watu iliyopo kwenye nchi kama Singapore, UAE, Qatar, Kuwait, Hongkong, na Republic of Ireland Combined.
Je ukichukua Total GDP ya kila nchi apo Combined il upate usawa katika Idadi ya watu ulinganishe na Texas vinafanana?
Kingine waitaja taja sana GDP, unaijua maana ake vizuri? Unajua njia zinazotumika ku'Calculate GDP ya eneo husika? Kati ya GDP Nominal na GDP by PPP yan Purchasing Power Parity ipi ni kipimo halisi cha eneo husika?
Ok then wajua tu kua China ana GDP by PPP kubwa kuliko USA? Japo ana GDP nominal second to USA? Ko unapozungumza na mie umeshaneleza unaelezea Pato la taifa kwa upande upi?
Is it Nominal? Is it by PPP? Hey Mr Ndezi, nakukumbusha sikutukani ila nakusifia tu... Apo juu kuna post wajidai ati thaman ya fedha enu ipo closer to Ruble ila kwasab ndo uwezo wa kufikri ushajua jua mnalingana Uchumi na Russia... What a Coward [emoji23][emoji23][emoji23]
Chinese Yuan ni Just 6.4 hv ka sikosei kwa dollar 1... But yet its the world second largest Economy dunian... Ka kweli kwenye hii field uko vizuri unaijua sabab za wao wachina kuiweka ela yao chini?
Kuwait Dinar ni zaidi ya 370 ya ela yenu Ksh kwa apa ni zaid ya 7600... Ilhal USD Moja ni sawa sawa na 114 au 115 ya kwenu apo huku TZ ni 2500 ka sikosei kwenye rate apo... Je kwa hizo akili zako kwa apo utatwambia Kuwait uchumi wao mkubwa kuliko USA?
Ndugu we twendelee tu kupiga kabobo apa Russia hana Msosi Russia kapigika Russia anajambishwa ila upande huu achana nao kbs.