Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kweli wewe ni kilaza mtoto wa nzi,embu angalia member wengine wana trophy point ngapi.
Nimepuuza hao au huyu !!? Au na wewe unataka kuyavagaaa!!!? Muulize vizuri mamaaako .... Ukija KIZEMBE utajibiwa KIZEMBE lakini katika hili sitaniii .... Muulize vizuri mamaaako ... Utaniheshimu kesho.
 
Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?

Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?

Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
Kuzuia nuclear war. Urusi keshasema, ana nuclear na vikosi vya nuclear vipo tayari.
 
Subiri waje watakutukana. Toka enzi na enzi vita vinapiganwa kwa silaha kulingana na zama husika. Zama hizi ni za nuclear na zitatumika tu Pro NATO watake wasitake yaan wakijitekenya ni kubonyeza button tu kutokea Moscow na kufuatilia runingani
Ndio utetezi mliobaki nao kana kwamba hizo nuclear anazo Russia peke yake.
 
Vaisi vesaa ....uk / us ..ukitoa nyuklia hawana kitu mbele ya moscow ...ndo uhalisia ulivo....
Urusi ilikuwa na jeshi bora sana tangu vita kuu ya pili mpaka ilipoanguka Soviet. Sisi Tanzania tulinufaika sana na misaada na mafunzo ya kijeshi miaka ile..Chuo chetu Monduli kilitoa wanajeshi bora sana kwa usaidizi wa Urusi na nchi zilizokuwa Warsaw...
Muda umepita..
Urusi imepungua uwezo wake na askari hawana mori wa vita...
lla ina nyuklia. Nyuklia na silaha za sumu ndo karata yao.
 
Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?

Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?

Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
Hakuna jibu nyooovu utapata... Majibu yao lakini kama tambi zilizochemshwa....
 
Nimepuuza hao au huyu !!? Au na wewe unataka kuyavagaaa!!!? Muulize vizuri mamaaako .... Ukija KIZEMBE utajibiwa KIZEMBE lakini katika hili sitaniii .... Muulize vizuri mamaaako ... Utaniheshimu kesho.
Kaniambia huwezi simamisha mpaka ubustiwe na la kati,nakuja pm tuje tuongee kuhusu huo msambwanda ulionao.
 
Subiri waje watakutukana. Toka enzi na enzi vita vinapiganwa kwa silaha kulingana na zama husika. Zama hizi ni za nuclear na zitatumika tu Pro NATO watake wasitake yaan wakijitekenya ni kubonyeza button tu kutokea Moscow na kufuatilia runingani
Sasa nchi kubwa zikishaanza kurushiana mvua za nuclear wewe utafuatilia kwenye runinga ipi? TBC?
 
R-36 Sarmat hizi ambazo zilitengenezwa Ukraine na alishagoma muda sana kuzipa spare parts ndio Russia anaringia. Si ajabu ziko kwenye silos uko na maintenance inasuasua
Nafkiri alimaanisha RS 28 samart. Hata hivyo Hiyo info yako kuhusu hiyo silaha kunyimwa spare kisa kutengenezwa ukraine na utabiri wako(uchwara) kwamba 'maintenance' inasua sua ni uongo mtupu!

"The Mod 5 and Mod 6 (of RS-36 samart) both received improved protection against nuclear warhead effects, improved decoys and penetration aids, increased MIRV coverage, and a rapid re-targeting capability." Hii ni taarifa ya 2016 ~ (RS20/RS36 15A14/15A18) in IHS Jane's Weapons: Strategic 2015-2016 (kutoka mtandaoni)

Mind you mzee all previous mods (1/2/3/4/5) zimeshatolewa in service only mod 6 remains operational as of 2016 na inategemewa itabakia hivyo mpaka 'successor' wa RS 36 samart yaani SS-X-30/RS 28 samart itakapokamilika (ambapo by that time 2016 ilitegemewa mpaka 2022 itakuwa tayari)

Swali la lizushi; Kama maintanance ya RS-36 samart 'inasuasua' kama ulivyodai kisa urusi kunyimwa spares na ukraine, unataka kusema urusi (ambaye sasa hivi 2022 amekamilisha project ya kutengneza successor wa hiyo RS36samart ambalo ni more advance and deadly kuliko) lkn ameshindwa kumaintaine 'previous version' kisa hana spare!? Mf. Yaani aweze kuunda gari (more advanced) lkn awe ameshindwa kumaintain bajaji (less advance)!??

Au mm ndio sielewi!?



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mwambieni Yerrico huko aliko ni kwamba Putin alivyosema leo eti gesi na mafuta yake yatanunuliwa tu kwa hela yao ya ndani - ni kichekesho. Kwanza hela yenyewe hata mie siijui..afu kuna mikataba wazi kwamba watalipa kwa uro na dola.

Wakuu yaani hela yao haijulikani jamani.. yaani Putin ashaanza kunyooka, tunzeni post hii

G7, US, Nato leo walikuwa na kikao...jamaa hachomoki...

You can not exist in this world on ur own...eti China maweeeee

Sababu kuna mikataba kwamba watalipanlwa kwa uro na dola tu ....labda kama kuna mikataba mipya.

Mwambieni kauli za Rais si sheria..labda kwa hapa Tz.
Hivyo vikwazo hakuna ambacho kulikuwa na mikataba? Hivi una akili kichwani wewe?? Wewe ukisikia vikwazo maana yake mikataba itafuatwa au haitofuatwa??
 
Urusi ilikuwa na jeshi bora sana tangu vita kuu ya pili mpaka ilipoanguka Soviet. Sisi Tanzania tulinufaika sana na misaada na mafunzo ya kijeshi miaka ile..Chuo chetu Monduli kilitoa wanajeshi bora sana kwa usaidizi wa Urusi na nchi zilizokuwa Warsaw...
Muda umepita..
Urusi imepungua uwezo wake na askari hawana mori wa vita...
lla ina nyuklia. Nyuklia na silaha za sumu ndo karata yao.
Hawana Mori na wanawagesha ..wangekuwa na Mori !!?? Shida unaziba masikio halafu unajamba ukidhani wenzio hawasikii ushuzi ... We ni mwehu ..
 
[emoji1255] Zelensky again performed infront of a green screen

View attachment 2157066

Recall that the official authorities of Ukraine continue to assert that he is on the territory of the country. However, if he was still in the capital, then it would be pointless to resort to such an installation.
Haya, tumeshaelewa humpendi unajitahidi kumwaga propaganda juu yake. Isipokuwa ni dhahiri raia zake wanamwamini.
Kwa jumla naona uwezekano mdogo kwamba raia wa Ukraine watatambua sehemu tofautitofauti anapoonekana, labda pia uwezekano mdogo kwamba wanatambua tofauti kati ya uhalisia na green screnn kuliko jenerali Mswahili wa kitandani huko Jamiiforums.
Au wenzangu wanaonaje`? Niwe na imani zaidi katika majenerali wa kitandani???
 
Hakuna silaha aliyo nayo Russia ambayo Uingereza hana, tena za teknolojia za juu zaidi. Hakuna silaha aliyeo nayo Russia ambayo mwanachama yoyote wa NATO hawezi kuipata US au kwa mwingine yoyote.
Russia anachowea kuwazidi nacho ni wingi tu lakini wingi nao wa hausaidi kama umezidiwa akili.
Muache kufikiri na kuuliza nonsense.
Hapa ndio unaonyesha upumbavu wako dhahiri.Kama Russia hana akili hizo silaha nyingi amezipataje?
 
Hakuna silaha aliyo nayo Russia ambayo Uingereza hana, tena za teknolojia za juu zaidi. Hakuna silaha aliyeo nayo Russia ambayo mwanachama yoyote wa NATO hawezi kuipata US au kwa mwingine yoyote.
Russia anachowea kuwazidi nacho ni wingi tu lakini wingi nao wa hausaidi kama umezidiwa akili.
Muache kufikiri na kuuliza nonsense.
Huu uzi sasa umeingiliwa na VICHAA. Hypersonic hao UINGEREZA wanalo??
 
Back
Top Bottom