Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna silaha aliyo nayo Russia ambayo Uingereza hana, tena za teknolojia za juu zaidi. Hakuna silaha aliyeo nayo Russia ambayo mwanachama yoyote wa NATO hawezi kuipata US au kwa mwingine yoyote.
Russia anachowea kuwazidi nacho ni wingi tu lakini wingi nao wa hausaidi kama umezidiwa akili.
Muache kufikiri na kuuliza nonsense.
lete chanzo hata kimoja chakusapoti hoja yako ya members wengine wa NATO kuwa na makombora ya hypersonic ukimtoa US ambaye mm najua ndie yupo kwenye hatua yamwishomwisho yakutengeneza nakufanyia majaribio ya hayo makombora...
 
Majeshi ya Urusi yaliyoko vitani Ukraine sasa yanatumia mbinu ya kujilinda zaidi badala ya kushambulia kama siku za mwanzo.

Kadhalika inasemekana majeshi ya Urusi yamepungukiwa chakula na mafuta.

Taarifa za kijasusi zimeeleza kutokea Pentagon.

Source: BBC
Juzi BBc walisema RAF wamebakiza chakula cha siku tatu tu. Siku ya tatu ndio leo. Ngoja tuone kama wataendelea kupigana!?

Bbc ni weupe sana kwenye propaganda. Yaani mambo wanayoyatangaza yanachekesha[emoji1787]. Siku 3 ni chache sana. Wangesema hata siku 10. Sasa wataumbuka bure, ila washazoea kuumbuka. Hii vita imewaumbua sana.

Eti kujilinda zaidi kuliko kushambulia hahaha. Si juzi tu hapa hadi wamagharibi mmesifia mbinu ya urusi ya kuzingira miji na kuiteka!?
Picha zinaonesha wanajeshi wa upande wa ukraine hasa nationalists wanavaa kama wanawake ili watoroke. Mpk zimewekwa checkpoints ukipita unakaguliwa tattoo za kinazi.
Ajabu sasa anayevaa kama mwanamke ili akimbie anaonekana ndio anashambulia na anayekagua tattoo kuhakikisha hakimbii mtu ndio anashambuliwa. Hence proved, propaganda is an art of disguising A as B.



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kikao cha leo cha Nato, je ukraine kuna msaada wowote utamuokoa? Nini kinakwamisha Nato kuingia ukraine kumsaidia?

Rais Zelensky ameomba zaidi ya mara 10 msaada wa no fly zone na kujiunga Nato, kwanini wanamtema kiana?

Mbona Libya Nato waliingia? Je libya alikua mwanachama wa Nato? Mbona iraq nato walienda? Nini wanaogopa kuingia Ukraine? Mwenye majibu yalionyooka tafadhali.
Haraka haraka majibu yake ni kuwa wanaogopa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mujib wa Zelensky mwenyewe...

Ingawa kwa macho mengine ya pembeni kinachoendelea Ukraine ni creation of "world economic crisis" ambayo inafanywa na ma-big fish nyuma ya vibaraka hawa tunaowaita maRaisiiiiiiii...

Then what comes next...? Its NWO order ambayo Kjibabu Ndezi Biden amekuwa anairudia hyo kauli mara kwa mara...

Kibaya zaidi kwenye dunia etu mengi ni fictions... Reality is just 1 out of 100... So ka huna ushabiki bora ujitulize zako pembeni utunze fikra zako kuwazia mambo ya maana yenye tija kwa mlengwa wetu wa baadae...

Its so tiredsome kila kukicha kusikia habari zile zile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakwambia hawatumi wajeda ila nyuma wanawapeleka. Kila siku vikao vya kuweka vikwazo, then kikwazo chenyewe unaambiwa wauza chocolate wamejtoa Russia [emoji23][emoji23][emoji23] Mara marufuku kununua Vodka ya Russia...

Kila kukicha ni kutuma silaha kwa ela ya walipa kodi wao uku wakiwaacha wanalia njaa kwa mfumuko wa bei... Wanaitwa International Community LOL.

So jomba me yangu ni hayo tu.
 
Milipuko ishakuwa zilipendwa mwezi sasa russia anambwelambwela tu na milipuko yake yaan kwa sasa milipuko ni kama sauti nyingine tu. Hiyo milipuko ingekuwa na maana kama russia angekuwa ashamaliza mchezo.
usichukulie vita bagia marekani ilipigika na talban miaka 20.

sasa wewe umekaa hapo umatumbini na sahani la ugali wa pumba unasema mlipuko zilipendwa unajau hali ilivyo huko kwenye huo mlipuko?
 
Italu yalalamika kuwa Russia kutaka malipo ya gesi yake yafanyike ktk sarafu ya Russia ni kukiuka mkataba wa biashara.

Mie nilidhani nchi za EU zitasusia gesi, kumbe wako wanalialia tu!

Wafuate utaratibu tu: kwanza wananunua sarafu za Urusi, kisha ndio wanatumia sarafu hizo kununulia gesi[emoji1787][emoji1][emoji16][emoji56][emoji56][emoji56]

Jino kwa Jino!

View attachment 2163389
Sasa wao kuiwekea vikwazo wanaona sawa.mkuki kwa nguruwe.
 
Eti hapa ni Rais yupo kwenye daily briefing meetingView attachment 2163283
Hii picha mm ninayo na urefu wa meza sio kama huu wa picha yako. Ngoja nione km naweza kuiweka hapa. Hii ni picha ya kupikwa. Again, Propaganda!
JamiiForums2119540243.jpg


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena kuuliza Nato wanaogopa nini kuingia Ukraine? Zelensky rais wa nchi ameomba msaada. Wanasita sita nini? Tumechoka na vipicha picha, matusi na majigambo humu. Nato waingie ulingoni kumsaidia Zelensky
 
Back
Top Bottom