President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
⚡️ NATO leaders agree to strengthen support for Ukraine, including on cybersecurity and defence against chemical and nuclear threats
Kwani Russia Hana submarines urusi ndo strongest nuclear power yaani ni no mojaUna ndoto.. lakini haina uhalisia.
Unadhani USA wakitaka kushambulia kwa nyuklia zitatoka Ardhi yao!! Kuna submarine pembezoni mwa Urusi zitamalikza kazi [emoji23] [emoji23]
Lete statistics Acha kuropoka uongoSijui nani kawadanganya hizo nuclear weapons wanazo pekeyao. Kwanza NATO inanyingi kuliko mrussi
Poland kuna THAAD ambayo Putin alikuwa analia ikasababisha ajiondoe kwenye Mkataba wa Start.Sasa Poland inapakana na Russia kutokea upande upi? ICBM zilizopo Poland zitafanya Poland iwe nchi ya kwanza kuangamizwa kabisa
Poland ICBM hazihitajiki. ICBM inamaanisha roketi za kimabara, yaani ya zinazolenga shabaha kwa umbali mkubwa. Poland Urusi ni umbali mdogo. ICBM ziko tayari Uingereza, Ufaransa na kwenye nyambizi za Marekani baharini, pamoja na vituo huko Marekani. Vyote vimeshapangwa kwa shabaha zao katika Urusi,Sasa Poland inapakana na Russia kutokea upande upi? ICBM zilizopo Poland zitafanya Poland iwe nchi ya kwanza kuangamizwa kabisa
Urusi ana nyuklia submarine ngapi? vs USA..????Kwani Russia Hana submarines urusi ndo strongest nuclear power yaani ni no moja
Marekani alishaweka Nuclear Poland na Turkey muda mrefu sana, na hili ndilo lilifanya Russia ajiondoe kwenye ule Mkataba wa START.Poland ICBM hazihitajiki. ICBM inamaanisha roketi za kimabara, yaani ya zinazolenga shabaha kwa umbali mkubwa. Poland Urusi ni umbali mdogo. ICBM ziko tayari Uingereza, Ufaransa na kwenye nyambizi za Marekani baharini, pamoja na vituo huko Marekani. Vyote vimeshapangwa kwa shabaha zao katika Urusi,
Hatari inaanza na roketi za umbali mdogo, na mizinga inayoandaliwa kurusha makombora ya nyuklia. Kama ziko Poland tayari? Sijaona habari, lakini ziko tayari Ujerumani.
Wanasema Russia mchovu tu, waende basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena officially kabisa wasipeleke wanajeshi kimya kimya...Mpango wa siri wa Poland kupeleka kupeleka askari 10,000 wa kulinda amani Ukraine umeliki. Russia imewaambia wajaribu kuingiza pua zao Ukraine hata kwa mita 10 tu, Russia itaigeuza Poland kuwa majivu na vifusi ndaniya sekunde 2 tu. Kichapo kitahusisha makombora ya haipasoniki, na Russia ipo tayari kutumia vichwa vya nyuklia dhidi ya Poland na nchi za Balic (Estonia, Latvia and Lithuania).
View attachment 2162975
View attachment 2163001
Jamani Russia anamabomu hatari ya nuclear kuliko nchi yoyote ndo maana NATO anaepuka vita ya moja Kwa Moja na urusiUrusi ana nyuklia submarine ngapi? vs USA..????
Na sisi tunakutana wapi kuwatandika waandamanaji waliokosa kazi ilihali nchi yetu ni poor poor kabsaaZelensky kaomba dunia iandamane kupinga operation ya urusi. Hapa Tanzania tukutane wapi kuanza maandamano?
Sijaona taarifa kwamba NATO wameweka silaha za kinyuklia Poland. Hazihitajiki.Ndio unavyojidanganya,hujui kwamba kuna Intercontinental Ballistic Missile na kama hujui ni kuwa Marekani ana Silaha za nuclear hapo Poland.