bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
ImpossibleTujuzeni kinachoendelea kwenye hicho kikao cha NATO kinachofanyika Belgium kama wameamua kupeleka majeshi ukraine
ImpossibleTujuzeni kinachoendelea kwenye hicho kikao cha NATO kinachofanyika Belgium kama wameamua kupeleka majeshi ukraine
Watapeleka vipi majeshi wakati Ukraine ameonyesha kummudu Paper Tiger vizuri? Hapo zinapelekwa Javelin na Stinger.Tujuzeni kinachoendelea kwenye hicho kikao cha NATO kinachofanyika Belgium kama wameamua kupeleka majeshi ukraine
Kwa hiyo zikipigwa Russia ardhi yake haigeuki?Wakati ukizungumzia hizo nyuklia za Marekani ambazo Max zaweza fika umbali wa km 12,000, nyuklia za Russia zaweza kufika umbali hadi wa km 16,000.
Kisha tusitishane bwana, nyuklia zikipigwa huko Marekani au Ulaya, sio Tanzania tu bali hata kijiji kimoja cha Tanzania hakiwezi kufa kwa shambulio hilo. Ardhi ya Marekani ikigeuzwa majivu, sio kigezo cha udongo wetu kukosa rutuba mpaka watu wafe njaa.
View attachment 2163033View attachment 2163032
Hata hujui umekopi nini!!!!Jamani Russia anamabomu hatari ya nuclear kuliko nchi yoyote ndo maana NATO anaepuka vita ya moja Kwa Moja na urusiView attachment 2163014
Hivi hii ni kweli?Thubutu!!!
Kumbuka Dunia yetu tuna share same atmosphere, oceans and seas.Wakati ukizungumzia hizo nyuklia za Marekani ambazo Max zaweza fika umbali wa km 12,000, nyuklia za Russia zaweza kufika umbali hadi wa km 16,000.
Kisha tusitishane bwana, nyuklia zikipigwa huko Marekani au Ulaya, sio Tanzania tu bali hata kijiji kimoja cha Tanzania hakiwezi kufa kwa shambulio hilo. Ardhi ya Marekani ikigeuzwa majivu, sio kigezo cha udongo wetu kukosa rutuba mpaka watu wafe njaa.
View attachment 2163033View attachment 2163032
Wasimpe sababu ya kukimbilia button yake. Amalizane tu na Ukraine.Watapeleka vipi majeshi wakati Ukraine ameonyesha kummudu Paper Tiger vizuri? Hapo zinapelekwa Javelin na Stinger.
Kaka una kazi mbele yako ukitaka kuelewa mambo hayo. Hapo juu nimeshajaribu kueleza habari za "nuclear winter" mara kadhaa. Si jambo la ardhi ya Tanzania kukosa rutba.Wakati ukizungumzia hizo nyuklia za Marekani ambazo Max zaweza fika umbali wa km 12,000, nyuklia za Russia zaweza kufika umbali hadi wa km 16,000.
Kisha tusitishane bwana, nyuklia zikipigwa huko Marekani au Ulaya, sio Tanzania tu bali hata kijiji kimoja cha Tanzania hakiwezi kufa kwa shambulio hilo. Ardhi ya Marekani ikigeuzwa majivu, sio kigezo cha udongo wetu kukosa rutuba mpaka watu wafe njaa.
View attachment 2163033View attachment 2163032
Ku mmudu vipi wakati Ukraine imeharibiwa everywhereWatapeleka vipi majeshi wakati Ukraine ameonyesha kummudu Paper Tiger vizuri? Hapo zinapelekwa Javelin na Stinger.
Tuna nuclear, tuna nuclear, huo ndo wimbo.Nadhani muda wowote vita kubwa inaweza kuibuka kwa sababu putini kashachanganyikiwa akili yake kwa sasa inawaza nyuklia tyu ,ila akae kwa tahadhar wasaidizi wake hawawezi kukubali huo upuuzi wanaweza kumla shaba bila kujijua
Mwezi sasa Russia kapata hasara kiasi gani?Ku mmudu vipi wakati Ukraine imeharibiwa everywhere
Duh!! Kumbe hata wewe hushughulishi kichwa chako!! umbali kutoka USA na Urusi ni km ngapi??? km10,000 tu zinahitajika bomu kufika..Wakati ukizungumzia hizo nyuklia za Marekani ambazo Max zaweza fika umbali wa km 12,000, nyuklia za Russia zaweza kufika umbali hadi wa km 16,000.
Kisha tusitishane bwana, nyuklia zikipigwa huko Marekani au Ulaya, sio Tanzania tu bali hata kijiji kimoja cha Tanzania hakiwezi kufa kwa shambulio hilo. Ardhi ya Marekani ikigeuzwa majivu, sio kigezo cha udongo wetu kukosa rutuba mpaka watu wafe njaa.
View attachment 2163033View attachment 2163032
Anasema YohanaNadhani muda wowote vita kubwa inaweza kuibuka kwa sababu putini kashachanganyikiwa akili yake kwa sasa inawaza nyuklia tyu ,ila akae kwa tahadhar wasaidizi wake hawawezi kukubali huo upuuzi wanaweza kumla shaba bila kujijua
Unaufahamu mji wowote wa Russia ambao Ni victim wa UKRAINE attacks, yaani unapigana Vita chumban kwako still unajiita winnerMwezi sasa Russia kapata hasara kiasi gani?