Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Mpango wa siri wa Poland kupeleka kupeleka askari 10,000 wa kulinda amani Ukraine umeliki. Russia imewaambia wajaribu kuingiza pua zao Ukraine hata kwa mita 10 tu, Russia itaigeuza Poland kuwa majivu na vifusi ndaniya sekunde 2 tu.
Kichapo kitahusisha makombora ya haipasoniki (hayazuiliki na mifumo ya anga), na Russia ipo tayari kutumia vichwa vya nyuklia dhidi ya Poland na nchi za Balic (Estonia, Latvia and Lithuania).
Natamani Poland ajichanganye apeleke askari Russia impatie zawadi yake, maana Poland ina kiherehere utadhani binti aliyevunja ungo hivi punde tu.
=====
View attachment 2162975
View attachment 2163001
Hao poland ni kama mbwa anaetaka kutiwa anavokua na mapepe[emoji28]