Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahahaha jamaa muhuni sana mzee yani ndo ile nipige ngumi ya sikio nikupige ngumi ya jicho halafu nikuulize unaonaje[emoji28]

Hao NATO walikutana na wachovu term hii wamekutana na chuma PUTIN. Nchi za Asia zitabadili mfumo hapo ndo mtajua US ni tajir wa mchongo.

Mtu anaamua na kupanga uchumi wa nchi flani sasa si ushoga huu? Kwamba tufanyw biashara kwa dollar kwanini tusiuze madini yetu kwa Tshs??
 
Duh!! Kumbe hata wewe hushughulishi kichwa chako!! umbali kutoka USA na Urusi ni km ngapi??? km10,000 tu zinahitajika bomu kufika..
Umekurupukia mambo ndugu, hiyo sio hoja tunayojadili hapa...ukiwakuta watu wanaongea jitahidi kwanza kuelewa wanachoongelea, kisha ndio ukipata fursa ya kuchangia uchangie kwa muktadha wa nukta inayojadiliwa
 
NATO will deploy battlegroups in Romania, Bulgaria, Hungary and Slovakia.

NATO leaders have agreed to deploy four battlegroups in eastern Europe, according to a statement following a summit of participating countries in Brussels.

"We are establishing four additional multinational battlegroups in Bulgaria, Hungary, Romania and Slovakia."

In addition, the bloc members agreed to expand funding for military spending.

"The measures we are taking to ensure the security of the alliance require appropriate resources. The allies are significantly increasing their defense spending," the statement says. Galip SV Liwagu

Another outcome of the summit was the extension of the powers of Jens Stoltenberg until September 30, 2023.
IMG_20220324_173541_399.jpg
 
Hao NATO walikutana na wachovu term hii wamekutana na chuma PUTIN. Nchi za Asia zitabadili mfumo hapo ndo mtajua US ni tajir wa mchongo.

Mtu anaamua na kupanga uchumi wa nchi flani sasa si ushoga huu? Kwamba tufanyw biashara kwa dollar kwanini tusiuze madini yetu kwa Tshs??
Kwani ulikatazwa kuuza madini kwa tshs?
 
Ujumbe umekufikia...naamini muda ujao utakuwa makini
Mkuu mimi si kipokopi ovyo.. Umetaka kuonyesha unajua sana.
Sasa jua kwamba makombora ya bara hadi bara sio lazima yatoke USA moja kwa moja. Yanaweza kutokea baharini (Submarine) kwa umbali mdogo sana wa nchi husika, hizo km ni yaliyo ardhini tu.
USA anaweza kupiga kombora la nyulkia Russia kutokea bahari ya japan,(3,000km) likitoka kwenye nyambizi.
 
ilikuwa ni message sent,Kwa yeyote atakaetaka kuingilia hii vita,,kinzhal Haina air defence ya kuipangua,
bado Russia hawaja test Avagurd,,hii no underwater nuclear powered missile,inaweza zunguka hats miaka 5 kabla haijahit target
Miaka Kitano haijahit target
 
Hao NATO walikutana na wachovu term hii wamekutana na chuma PUTIN. Nchi za Asia zitabadili mfumo hapo ndo mtajua US ni tajir wa mchongo.

Mtu anaamua na kupanga uchumi wa nchi flani sasa si ushoga huu? Kwamba tufanyw biashara kwa dollar kwanini tusiuze madini yetu kwa Tshs??
Unaweza kuuza madini kwa Tsh. Jifunze kuhusu Int Trade utaelewa kwann ni dolla na si Tsh.
 
❗️The situation around the special operation in Ukraine.

The United States imposed sanctions against dozens of Russian defense enterprises and 328 State Duma deputies.

✔️The United States is ready to provide more than $1 billion in humanitarian assistance due to the situation in Ukraine and will accept up to 100 thousand refugees - White House.

✔️Zelensky called on NATO to transfer every hundredth tank and aircraft of the alliance to Ukraine.

✔️Germany is not yet able to immediately impose an embargo on coal, oil and gas from Russia, and Austria considers it unrealistic and wrong to refuse gas and oil supplies from Russia.

✔️Latvia banned 25 Russian cultural figures from entering the country. The list includes Vladimir Mashkov, Nikita Mikhalkov, Dmitry Pevtsov, Tina Kandelaki and Nikolai Rastorguev - Foreign Ministry.

✔️Gazprom supplies Russian gas for transit through Ukraine on a regular basis, in accordance with the requests of European consumers - 104 million cubic meters for March 24.

✔️Britain has imposed sanctions against the Ministry of Defense of Belarus and the Minsk Tractor Plant.

✔️Due to the situation in Ukraine, exports from Turkey to Russia almost halved, and to Ukraine completely stopped - Central Bank.

✔️YouTube restored access to the channels "Soviet Television. Gosteleradiofond" and "Soviet Radio. Gosteleradiofond"
 
Back
Top Bottom