President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mwambie aende akatafuta chuma hiiLakini Russia ndiyo inamabomu makubwa kuliko USA na ushahidi upo
Avangard
Mwambie aende akatafuta chuma hiiLakini Russia ndiyo inamabomu makubwa kuliko USA na ushahidi upo
Weka hapaLakini Russia ndiyo inamabomu makubwa kuliko USA na ushahidi upo
Linaitwaje?Russia anamiliki powerful rocket on Earth US wanatambua Hilo
NdiyoMwambie aende akatafuta chuma hii
Avangard
Nuclear weapons zipo kwa ajiri ya total destruction decision to use them yabaweza kuja baada yakukosa njia zote Russia and US know that na watafanya kila ki2 ku prevent such a moveKaka bado hujaelewa matumizi ya silaha za nyuklia yanamaanisha nini? Silaha za marekani yanatosha kwa Urusi pamoja na China.... Ila hakuna anayetaka kuanza kwa sababu anaju ni mwisho wake mwenyewe pia.
Hatari iko katika usambazaji wa silaha hizo; maana warusi, Wachina na Marekani wanaelewa jambo. Dikteta mdogo huko Uarabuni, Iran, Korea Kaskazini au wapi analeta wasiwasi kama anafahamu kweli kitu hiki alichojipatia . . .
Tsar bombWeka hapa
Russia kasimamisha delivery ya Rocket engines to us in retaliation to sanctions za USLinaitwaje?
Russia ana HYPERSONIC aircraft zenye uwezo wakubeba nuclear warheads hizi hakuna ant air system yeyote Inaweza kui defeatkama ikitokea vita vya nuclear marekani itageuzwa majivu ndani dakika tano nusu kuna mnyama anaitwa sarmata hili ni kombora hatari
urusi wanayo tech ya kuzuia mashambuliz ya nyuklia marekani ya kwao ili feli hata thaad air defense system zilifeli kuyatungu makombora ya north korea pale japan
KWA WALE WA GOOGLE:Tsar bomb
Hiyo Luhansk,Crimea na Donetsk ilitekwa kwa vita hii?Hahaha una uhakika? Embu google hapa alafu share nasi screenshot. Cha kukumbusha tu, miji ya crimea, Donetsk luhansk imeenda... mariopol, odesa, na kharkiv ndio wanamalizia kuondoa raia waichukue kabisa. Unadhan Zelensky analia bure anaposema Nato haiana nguvu... amepigwa.
Umeelewa nilichojibu au umetoka tu kunya na kujibu !!?? Nilimjibu ambaye alisema URUSI HAINA SUBMARINE ZA KULIPUA makombora ya NYUKLIA ZA KUTOSHA!!?? NDIO NIKAMWAMBIA UNAZIJUA SILOS!!?? nafikri utakuwa umenielewa sasa ...haya katawaze ukalale.Una google???!!!!! 😂 😂 Silos sio kombora mkuu..
(ICBL zinakaa huko)
Mfundishe hii jinsi Viongozi wa Kislamu wanavyodumaza maendeleo ya TanzaniaNimeona unachangia katika mada hii kuhusu nuclear weapons. Je upo tayari kujifunza tukufundishe!?