NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Mwambie Zero Putin anze kubonyeza button halafu aone moto wake
Kwa nini msianze nyie??,mnasema Putin anaua RAIA na anaiharibu Ukraine-Nyie mnajiita NATO+USA muungano wa Nchi 28 ambapo MNA nguvu kijeshi na kiuchumi kuliko Nchi yoyote.Mnamuona Putin anaua RAIA na nyie mpo tu kila siki vikao ki mjadili Mwanaume mmoja kwa nini msitumie nguvu zenu kumnyamazisha???.Mwambie Zero Putin anze kubonyeza button halafu aone moto wake
huo ni mtazamo wake tu sina buni kuuheshimu japo mi nadhani hauna ukweli wowote, alafu katika maraisi wote waislamu waliopita sijaona hata mmoja alieegemea kwenye udini sana, naaliyetufungulia milango ya uchumi wa nchi hii bila shaka ni mwinyi ambaye ni muislamu pia...by the way mm mambo ya dini huwa sipendi kuyajadili sana kila mtu atabeba msalaba wake, mm mwenyewe nimetoka kwenye familia baba alikuwa mkristo mama muislam,mm nimeangukia kwenye uislam sister ameolewa na mkristo, dogo ndio hata simuelewi ni dini gani nikamavile anapiga kotekote...Hivi ni kweli mnairudisha nyuma TZ kamaa Venus Star anavyodaiView attachment 2162702
Nimekutana na watu wengi ubalozi wa Marekani wakiwa na tabasamu nikajiuliza lina maana gani? Kumbe wamelipwa kiasi kidogo walichokuwa wanadai kueneza propaganda. Kutokea sasa Uzi utavamiwa na Pro.USA mpaka upoteze radha maana ni wengi sana
Mzee unadhani mtu mwenye mawazo kama yako unaweza ukajadiliana na mimi!?View attachment 2162636
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah so hiyo kambi wanafanana akili mitazamo mpaka matendo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Russia yawaambia NATO kuwa wakirogwa kujitia kupeleka kikosi cha kutunza amani Ukraine, atawatwanga na ndio itakuwa vita ya tatu ya Dunia
Ninachompenda Putin, huwa akikuonya ukakaidi, anakupatia kile alichokuahidi...hana longolongo
View attachment 2162671
Shambulio LA nuclear unajikinga na mask hapo USA haamini mzoga unaenda kutumwa sebuleni kwake. Wajiandae kisaikolojia kuona jiji LA New York likiteremshwa kama bendera