Tatizo sio Umri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tatizo uwezo wa akili yako.... We ukijaa nyembe shauri yako me nakwambia t na msema kweli ni mpenzi wa dada ako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwezo wa kufikiria chini sana au umefunikwa na mahaba. Em nambie ukichukua ndoo ukaanza kuiwekea maji kama haijatoboka lazima itajaa tu. Na hata kama inavuja kiasi itajaa kulingana na speed ya uwekaji maji kwenye ndoo hiyo.
Kama kweli nduguzo wanashinda kama unavojinadi au kudanganywa na hao wajomba zenu wa magharibi inakuaje kila siku wanatuma silaha kila uchao en bado wana run out of ammunition?
View attachment 2162597
Na hapo keep in mind kua kabla ya 24Feb walikuwa na silaha nyingi tu za kutosha kiasi cha zengine kuwagawia Raia wao so zinaenda wapi ilhali wanashinda?
Wanashinda lakini unaambiwa idadi ya wanaoondoka kwenye nchi yao inakaribia theluthi ya total population... Sasa kama wanashinda kwanin Raia waendelee kuondoka?
Unaambiwa wanashinda na ku'seizure Vifaa vya Warusi ukiongeza na hivo wanavyopelekewa kila kukicha vinapotelea wapi? Ka huna akili za kitoto mbona hujiongezi vitu vidogo ka hivo?
We have been told kua jeshi la Urusi wanaua watu... Hii video chini wakaiweka ya Raia wao wakiwafukuza jeshi la Russia mikono mitupu... Kama kweli wanauwa watu kwani walishindwa kuwafyatulia risasi hapo mpaka wabadili njia????
View attachment 2162602
Kuna ule msemo wanasema hupaswi kumuamini mwongo hata kama akisema ukweli. Jana Biden katoka USA kuelekea hukooooo kwe mkutano wake NATO... Akaweka hiki kwenye ukurasa wake wa Twitter...
View attachment 2162609
Wanaoujua mji wao wakaanza kumjibu namna hiii
View attachment 2162613
Na hivi
View attachment 2162611
Na hivii
View attachment 2162612
Kama anadanganya Raia wake unaanzaje kuamini yanayotoka kinywani mwake?
Majuzi nilikwambia huzijui Geopolitics ukasema nakudharau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya leo nakusifu kabisa nakwambia una akili za kitoto hutaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikuweke kundi lipi sasa au kwa huyu HB wako apa chini
View attachment 2162619