Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa UMBWA wauwaji saanaaa[emoji48][emoji48][emoji48]
Unasemaje kuhusu hili sheikh
screenshot2022-03-22--20_18_43.jpg
 
Siku moja baada ya Ujumbe wa mabalozi wa nchi za Ulaya nchini Tanzania kuitaka Tanzania na nchi nyingine za Afrika kupaza sauti kukemea uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine, nchi hiyo imetoa msimamo wake leo na kusema yenyewe haifungamani na upande wowote.

View attachment 2162649Msimamo huo unapigiwa mstari na uamuzi wa taifa hilo la Afrika Mashari la kutokupigia kura azimio la baraza Kuu la Umoja huo, UNGA kupitisha lililopitishwa mapema mwezi huu, kuitaka Urusi kusimamisha mara moja mashambulizi yake dhidi ya Ukraine na kuyaondoa majeshi yake katika nchi hiyo.

Waziri wa Masuala ya kigeni wa nchi hiyo, Liberata Mulamula amesema kwa miaka mingi sasa Tanzania inaamini katika kutafuta muafaka na marudhiano kwa kutumia njia ya diplomasia ili kumaliza migogoro.
Kutokana na muafaka na maridhiano kutopatikana katika mzozo wa Urusi na Ukraine, Waziri Mulamula anasema: “ndio maana katika kupiga tukaamua kutofungamana na upande wowote, lakini ilikuwa sio kutofungamana na pande zote mbili lakini ni kutoa ujumbekuonyesha kwamba sisi msimamo wetu na sera yetu na msingi wetu wa sera ya mambo ya nje ni kutokufungamana na pande zozote hasa katika hali kama hii”, alisema Mulamula.

Tanzania ilikua miongoni mwa mataifa 35 wanachama wa Umoja wa Mataifa ambayo hayakupiga kura kuunga wala kukataa azimio hilo lililoungwa mkono na mataifa 141, huku mataifa matano ya Urusi, Belarus, Syria, Korea Kaskazini na Eritrea, yakipinga azimio hilo.

Hapo jana ujumbe wa Mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania pamoja na kuzitaka nchi za Afrika ikiwemo Tanzania kupaza sauti zao kulaani uvamizi huo wa Urusi, waliitaka pia Urusi kumaliza mzozo wake na Ukraine bila kupigana vita.​
Safi hii
 
The United States will reportedly receive Russia's Krasukha-4 mobile electronic warfare system, which was recently captured in Ukraine.



This is one of Russia's most capable Electronic Warfare Systems and potentially an intelligence goldmine.View attachment 2162722
Russia watafanya wawezalo wailipue ili wakose wote maana ikifika Poland tu, hawana lao
 
Russian IT companies to be exempted from scheduled inspections for three years - prime minister

Mikhail Mishustin stressed at the meeting that the moratorium on inspections applies to all Russian companies until the end of the year. Firms now need to reconfigure production processes and save staff. What other measures will the government take to help the economy:

✔️Young entrepreneurs under the age of 25 will be able to receive a grant from 100 to 500 thousand rubles to develop their own business. If they open a business in the Arctic zone, the amount of the grant will increase to 1 million rubles.

✔️The Cabinet of Ministers will additionally allocate 2 billion rubles to increase the supply of grain and fertilizers to the regions.

✔️Regions will be able to receive additional loans from the federal budget to pay off commercial loans.

✔️The budget will allocate about 7.5 billion rubles in 2022 to a program to refund half the cost of a ticket to children's vacations.

✔️It is important to prevent strong price fluctuations in the food market, this requires comprehensive measures.
 
🇺🇸"We should occupy their country like Germany or Japan."

Biden shares plans on the eve of NATO aggression against Yugoslavia.

The current US president has said that it was he who proposed bombing Belgrade.
 
Nachoamini hutojua chochote zaidi ya kusoma au kuelezwa fikra za watu tofauti tofauti kulingana na mwenendo husika lakini nini anawaza utakiona baada ya kile kitu kufanyika.

Kuna vita ya kiuchumi upande huo so sio rahisi mtu kuonesha 'karata' zake kwa adui yake ya kile nini anaenda kufanya 'next'.

NATO wanateam yao ya mipango na naamin Russia vivo hivo wana team yao ya mipango kwenye hilo linaloendelea.

Njoo tunywe Al kasusu Mujarrab tusubir tuone nan atapoteana Dk 90 zikiisha. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaa
Naja MKUU ila umesema kweli
 
Propaganda video ya RT ambayo warusi watajutia -video ilifichua uwepo meli ya kivita ya Urusi ikipakua silaha Ukraine. Hatimaye vikosi yva ukraine waliivizia na kuilipua.
Evidence ya kushambuliwa kwa hii meli ya Urusi sijapata. Ngoja nifanye assumption kwamba imeungua bahati mbaya mpaka pale tutakapoelezwa imekuwaje
20220324_133345.jpg
 
The Kremlin confirmed that Roman Abramovich acted as an intermediary between Moscow and Kiev

Before that, information appeared that the Russian billionaire flew to Belarus during several rounds of Russian-Ukrainian negotiations.

Then The Wall Street Journal reported that Zelensky asked the US not to impose sanctions against Abramovich, as he could be useful in negotiations.
 
Polish Prime Minister Mateusz Morawiecki assessed the consequences of anti-Russian sanctions: "Prices are growing very strongly. This means that the wallets of Poles and other European citizens are losing weight"
 
Back
Top Bottom