Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

1648118806684.png
 
Marekani always ilikuwa inasema Russia atatumia gesi kama leverage kwenye mgogoro, UK walivyo na chuki dhidi ya Russia hawakuitegemea. Ujerumani inapenda amani haikuwa na shaka nao, Ujerumani inanunua kiasi kikubwa kwao. Sasa wakilazimishwa wajifikirie zaidi miaka ijayo wakiamua vinginevyo itakuwa na athari, ni kama Saud Arabia wakiamua wauze mafuta kiasi kwa Yuan
 
haya yalikuwa ni magari ya msaada wa silaha huo moshi mnao uona ni gari ndogo iliyowabeba makamanda wa marekani wa kutoa ushauri wa kivita wameuawa walikuwa 4
View attachment 2162580big up majasusi wa urusi hawa ndio wana wanafatilia harakati nyingi za misaada ya wanayopata ukraine

hii kazi imefanywa na su 34
Tangu ulipoleta taarifa kuwa huyu Deadliest Sniper kafariki,hakuna anaekuamini tena
Screenshot_20220324-064344.jpg
 
Jana ndege za urusi zilipita poland mifumo ya ulinzi wa marekan patroit kwenye radar display ikashindwa kupata target nahisi ilipigwa jamming kisha ndege za urusi zikasepa

Usiku wa kuamkia leo balozi wa urusi inchi poland kachoma nyaraka za siri baadhi ya wachambuzi wanasema poland itapigwa kutokea belarus

Tatizo lingine marekani kwenye eletronic war marekani haifui dafu hata kwa iran. Hapa ndipo urusi anajibebeaga point

Balozi wa urusi akichoma nyarakaView attachment 2161366

Huyu apigwe tu hamna namna
 
Kati ya members 15 wa Security Council ni Russia na China tuu ndio wamepiga kura,wengine wote 13 hawajapiga kura. Hapa ndio mnasema Russia ana ushawishi,labda ushawishi maandazi.
UN security council ina member 5 ambao ndio wa kudumu, hizo kura hazisaidii maana watalazimika kuingia kwenye hao watano afu unakuta wawili wamesema hapana.
 
Marekani always ilikuwa inasema Russia atatumia gesi kama leverage kwenye mgogoro, UK walivyo na chuki dhidi ya Russia hawakuitegemea. Ujerumani inapenda amani haikuwa na shaka nao, Ujerumani inanunua kiasi kikubwa kwao. Sasa wakilazimishwa wajifikirie zaidi miaka ijayo wakiamua vinginevyo itakuwa na athari, ni kama Saud Arabia wakiamua wauze mafuta kiasi kwa Yuan
ndo maana uk uchumi wake haufui dawa kwa ujerumani
 
UN security council ina member 5 ambao ndio wa kudumu, hizo kura hazisaidii maana watalazimika kuingia kwenye hao watano afu unakuta wawili wamesema hapana.
Kumbe hujui kitu. Security Council ina members 15. Ambapo 5 ni permanent members na 10 non permanent members. Ili resolution ipite bila kuathiriwa na kura ya veto inahitaji wastani wa kura 9 za ndio, kwa hiyo ikipigwa kura ya ndio chini ya hizo kura 9 mswada haupiti. Ndio maana hapo China na Russia wamejikuta wana kura mbili tuu huku wengine wakiwa abstained.
 
Urusi wanajua kila kinachoendelea mkuu,na nadhani at time "t" watakasirika na kutumia nuclear weapons.Tuombe Mungu tusifike huko,ila hali ni tete sana.
Vita ya Nuclear ni mbaya.
 
Kwa jinsi wapiganaji wa Urusi wanavyoangamia ,changamoto nambari wani ya NATO ni kutokuwepo vikosi yva Urusi kukabiliana navyo baada ya vita vya Ukraini. Zelensky anamaliza kazi.
 
Back
Top Bottom